Hapa ndo ninaposhindwa kumuelewa mwanamke

Hapa ndo ninaposhindwa kumuelewa mwanamke

Siyo kweli! Wanawake wana akili klk wanaume kwenye mambo ya mahusiano na wanajua wanachokifanya, wanawake wanajua kwamba mwanaume kwao ni dhaifu na ndiyo maana unaona kamrudia jamaa na jamaa atamchukua tu tena halafu baada ya atapata jamaa mwingine huyo mshikaji atapigwa chini tena!
Kwenye mahusiano mwanamake hushinda siku zote kwa maana wana akili kuzidi wanaume!
Mkuu ktk hili upo sahihi sanaaa,wanaume wengi ni wadhaifu kwa wanawake...hapo huyo binti akienda tu kulia machozi kwa jamaa bas jamaa atamsamehe tu na warudiane.
 
Mkuu ktk hili upo sahihi sanaaa,wanaume wengi ni wadhaifu kwa wanawake...hapo huyo binti akienda tu kulia machozi kwa jamaa bas jamaa atamsamehe tu na warudiane.
Hiyo iko hivyo tangu enz mwanaume ni dhaifu kwa mwanamke lakn wanautumia udhaifu vibaya
 
Hiyoo ni shidaa ya mwanamke akishapataa kaelimu kidogooo...
Atajiona yeye ndo yeyee
Na km ndigu yangu elimu yako ilkuwa ya kufutaa ujinga tuu
Hapo lazimaa umwagee....
Kumbe ndo maana huwa wanasema mwanamke msomi ni jipu
 
Hapa ndo hua napata majibu Kwa nn Inventors na Inovetors wakubwa duniani Kwa nn hawakuoa, kina Plato, Isaac Newton, Wright brothers, Faraday na wengineo
Aiseee na Mimi ndo unanifungua macho
 
Mjomba kaka, humu ndani kuna mdada aliwahi kusema namnukuu "Mara nyingi sisi wanawake hatujui tunataka nini". Na mara zote wakijakugundua kilichokuwa sahihi kinakuwa kishapotea tayari na namna ya kukipata ni shughuli.
 
Na kweli hawajui wanachokihitaj aisee kwa hali hii
 
Hawa mwalimu wao alishakufa, but walifanikiwa kuwa na akili ya kuvukia barabara tu! kuoa badae sana[emoji15]
 
Mwanamke ametokana na ubavu ambao wenyewe umepinda.....ukitaka kuunyoosha lazima utavunjika na ukisema uuache lazima uwe na madhara kwako.....ndio maana aliowaumba ametuagiza tuishi nao kwa akili sana......kwa kuwa sisi ndio viongozi wao.....
 
Hapo ninaweza amino kuwa hawa viumbe wanaishi kwa hisia aisee maana saiz yuko bizee jamaa anamuambia anamchumba lakn bado haamini

Aisee haya mambo acheni kabisa!..
Na sie ambao tumevumilia mtu akiwa hana kitu,baadae kapata anakuona wa nn anatafuta mwanamke mwingine tusemeje?!

Tuombe Mungu tu!
 
Wanawake wengi hawajui maisha ni nini, tamaa pia zinawasumbua mpaka apate shida ndo anaanza kuelewa akili inamkaa sawa, huyo ndugu yangu hafai piga chini anataka kukutumia kwa shida zake
 
Back
Top Bottom