Hapa ndo ninaposhindwa kumuelewa mwanamke

wanawake mm nasema akili zao zipo nusu tena chin kabisa ya kiwangoo hawana maono ya mbele kabisa wao huangalia hapa tu

Siyo kweli! Wanawake wana akili klk wanaume kwenye mambo ya mahusiano na wanajua wanachokifanya, wanawake wanajua kwamba mwanaume kwao ni dhaifu na ndiyo maana unaona kamrudia jamaa na jamaa atamchukua tu tena halafu baada ya atapata jamaa mwingine huyo mshikaji atapigwa chini tena!
Kwenye mahusiano mwanamake hushinda siku zote kwa maana wana akili kuzidi wanaume!
 
Kwa kweli hapo majuto ni mjukuu hawachelewi kwenda kuroga ili wapate nafasi
Kwakweli mimi nashindwa kuwaelewa wanawake, anaewaambia ukweli ndiyo kwao uongo..........ila uongo kwao ndiyo ukweli.
 
Hawa Ni Wazazi, Dada, Wake Na Wtt Wetu!! Ila Ni Changamoto Kubwa Mno!!!
 
Ukimwambia ukwelii anaona unamdanganya
 
Hawa Ni Wazazi, Dada, Wake Na Wtt Wetu!! Ila Ni Changamoto Kubwa Mno!!!
Na malezi nayo yanachangiaa, watoto walilelewa upande mmoja binti amelelewa na mama peke yake, baba yake alifariki labda pengine ni sababu iliyochangia
 
yeye ni mrembo na umri wake bado mdogo hivyo atapata mwanaume wa kuendana naye yaani mwanaume wa saizi yake.

KAULI KAMA HIZI SIO ZA KUTOA...HUKU NDIO KUAMGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA....UW KE AU ME ACHA KUKTOAKAULI HIZI...AMEFUNA ALICHOPANDA HAPO MI SIOI
 
wanawake mm nasema akili zao zipo nusu tena chin kabisa ya kiwangoo hawana maono ya mbele kabisa wao huangalia hapa tu
rama umesema kweli kabisa hawa wanawake hawaonagi mbali na wakipata kidume huwaga wanaringa sana kana kwamba hakuna kesho ila malipo yakisharudi huwaga wanalia sana hata kufanya vituko.
iila ndugu usiseme hawana akili akili zipo nyingi mno ndo maana wanatudanganya wanaume daily tunaingia mkenge kama huamin angalia kila mada inayoletwa hapa ni akina nan wanaongoza kuumizwa hivi viumbe vina akili sana ndugu ila huwaga havioni mbali/future
 
Habari za weekend wapendwa, natumaini muwazima wa afya, naomba niende moja kwa moja kwenye lengo kuu kilichonisukuma kuongea hivyo ni huu mkanganyiko ninauona kwa hawa wanawake kwa kutokuwa na msimamo ambao sio wote ni baadhi lakin wengi wao....
Kuna jamaa yangu alikuwa na mpenz wake na Mimi nilimuita shemej kama kawaida japo sijawah kumuona live kutokana na umbali hivyo niliongea naye kwa simu tu walikuwa wanapendana na jamaa alitokea kumuelewa sana kwa kipind hicho mwanamke alikuwa na umri wa miaka 23 alikuwa chuo mwaka wa mwisho lengo lao ilikuwa mwanamke akimaliza wafanye process za ndoa lakin mwanamke alikuja kugeuka ghafla sijui nini kilimpata na jamaa alipojaribu kumuuliza hakuna na jibu lolote juu ya mabadiriko hayo,baadaye mwanamke akataka waachane huku akimrushia lawama nying jamaa kwamba hajui kuhandle Mara anamhisi na mwanamke mwingine hakuishia hapo akaonyesha kila aina ya dharau na kufikia hatua ya kumtamkia jamaa kuwa yeye ni mrembo na umri wake bado mdogo hivyo atapata mwanaume wa kuendana naye yaani mwanaume wa saizi yake.
Jamaa hakuna na namna ikabidi akubaliane na hali halisi maisha yakaendelea miaka ikasonga kumbe mwanamke alipata mwanaume mwingine mwanafunz mwenzake akampa mimba na kumtelekeza kwakuwa mwanamke amesomea kozi ya ualimu ameweza kumlea mtoto na maisha yanaendelea na jamaa yangu amepata mchumba na process zina endelea miez michache ijayo atafunga ndoa.
Sasa yule mwanamke amerudi na anataka jamaa warudiane na amuoe tena huku ajifanya anamahaba ya hali ya juu na msg nzuri za mapenzi huku akisema jamaa ni mwanaume Mwenye huruma sijui anayejal hapa ndo ninapopata mkanganyiko kwa hawa viumbe saizi ana mtoto ndo anataka jamaa amuoe Wakt hana alisema jamaa si wa hadhi yake, yaani malue lue, hivi kwanini wanawake mkipata wanaume sirias huwa mnawadharau? Kwanini?

Mahusiano ni Hiari ya wahusika na yanategemea Nyakati na wakati hivyo, usimshangae huyo Dada kwa maamuzi yake, hata Jamaa yako pia angeweza kufanya maamuzi mengine. wenzetu hasa ulaya kwa kutambua hilo wanawekeana Mkataba wa Mahusiano ,muda ukifika wa kuendeleza Mkataba mnaanza upya huku kwetu bado tunaenda na tamaduni zetu ambazo zimeacha Majeraha makubwa sana kwa Watu ambazo ni Kifo hadi kiwatenganishe kwa baadhi, wengine talaka 3 ilhali Wangali kwenye Mahusiano wanaanzisha Nyumba ndogo, Serengeti Boy, kidumu, Buzi Mchepuko nk. haya yote yana sababu. Uvumilivu ndio unasaidia na kuonyesha Mahusiano Mengi yako sawa lakini kuna tatizo.
 
Habari za weekend wapendwa, natumaini muwazima wa afya, naomba niende moja kwa moja kwenye lengo kuu kilichonisukuma kuongea hivyo ni huu mkanganyiko ninauona kwa hawa wanawake kwa kutokuwa na msimamo ambao sio wote ni baadhi lakin wengi wao....
Kuna jamaa yangu alikuwa na mpenz wake na Mimi nilimuita shemej kama kawaida japo sijawah kumuona live kutokana na umbali hivyo niliongea naye kwa simu tu walikuwa wanapendana na jamaa alitokea kumuelewa sana kwa kipind hicho mwanamke alikuwa na umri wa miaka 23 alikuwa chuo mwaka wa mwisho lengo lao ilikuwa mwanamke akimaliza wafanye process za ndoa lakin mwanamke alikuja kugeuka ghafla sijui nini kilimpata na jamaa alipojaribu kumuuliza hakuna na jibu lolote juu ya mabadiriko hayo,baadaye mwanamke akataka waachane huku akimrushia lawama nying jamaa kwamba hajui kuhandle Mara anamhisi na mwanamke mwingine hakuishia hapo akaonyesha kila aina ya dharau na kufikia hatua ya kumtamkia jamaa kuwa yeye ni mrembo na umri wake bado mdogo hivyo atapata mwanaume wa kuendana naye yaani mwanaume wa saizi yake.
Jamaa hakuna na namna ikabidi akubaliane na hali halisi maisha yakaendelea miaka ikasonga kumbe mwanamke alipata mwanaume mwingine mwanafunz mwenzake akampa mimba na kumtelekeza kwakuwa mwanamke amesomea kozi ya ualimu ameweza kumlea mtoto na maisha yanaendelea na jamaa yangu amepata mchumba na process zina endelea miez michache ijayo atafunga ndoa.
Sasa yule mwanamke amerudi na anataka jamaa warudiane na amuoe tena huku ajifanya anamahaba ya hali ya juu na msg nzuri za mapenzi huku akisema jamaa ni mwanaume Mwenye huruma sijui anayejal hapa ndo ninapopata mkanganyiko kwa hawa viumbe saizi ana mtoto ndo anataka jamaa amuoe Wakt hana alisema jamaa si wa hadhi yake, yaani malue lue, hivi kwanini wanawake mkipata wanaume sirias huwa mnawadharau? Kwanini?

Kama mwanamke alikukataa alikuwa hakupendi kwa dhati, akatafuta wa afadhali ambae hakudumu nae. So anataka arudiane nawe kwa sababu anaitaji mtu wa kuishi nae, ama labda kajilaume anajiona alio fanya ni upumbavu, yamemkuta. Hasirudiane ngoooo, anataka kuplay games.
 
Tatizo Hakuna Mifumo Ya Elimu Za Malezi Baada Ya Utoto Kuisha, Si Kwa Wanawake Tu. Bahati Mbaya Nature Imeamua Kuwa Elimu Sahihi Aipatayo Mtu Si Ya Kufundishwa Na Mtu Bali Kujifunza Mwenyewe Kulingana Na Mazingira Aliyopo
 
Mwanamke hawezi kujifunza mambo ya love affairs kupitia maneno, mpaka waharibikiwe ndio wanajifunza. Nina uzoefu nao.
 
Back
Top Bottom