Hapa ndo ninaposhindwa kumuelewa mwanamke

Hapa ndo ninaposhindwa kumuelewa mwanamke

Acha uongo na wewe usijifanye wewe tu ndio umefika ulaya, ulaya wengine sisi ishakuwa kama kwenda mkoani tu, maisha yao tunayajua na wengine tumeyaishi haya unayosema hapa si kweli ni kwa kiwango kidogo sana na kwa baadhi ya watu wanaodha i wako kwenye life revolution lk maisha ni kama ya bongo tu linapokuja swala la mahisiano tofaiti ni mila na tamaduni.

Mahusiano ni Hiari ya wahusika na yanategemea Nyakati na wakati hivyo, usimshangae huyo Dada kwa maamuzi yake, hata Jamaa yako pia angeweza kufanya maamuzi mengine. wenzetu hasa ulaya kwa kutambua hilo wanawekeana Mkataba wa Mahusiano ,muda ukifika wa kuendeleza Mkataba mnaanza upya huku kwetu bado tunaenda na tamaduni zetu ambazo zimeacha Majeraha makubwa sana kwa Watu ambazo ni Kifo hadi kiwatenganishe kwa baadhi, wengine talaka 3 ilhali Wangali kwenye Mahusiano wanaanzisha Nyumba ndogo, Serengeti Boy, kidumu, Buzi Mchepuko nk. haya yote yana sababu. Uvumilivu ndio unasaidia na kuonyesha Mahusiano Mengi yako sawa lakini kuna tatizo.
 
Hahahhaaaa umenifanya nicheke nakuwaza pia maana kuna manzi yuko 27 yrs now ananiganda kinyama najaribu kufikiria huko nyuma alikuwa anafanya nini hadi anigande leo
anataka kuolewa uyo kaka, andaa mahali
 
Na hawajifunzi kwa wenzao kamwe! Yani mwanamke hasikii raha mpaka limkute mwenyewe, ndo ataanza sema shetani, najuta n.k, hata humu wanasoma huu Uzi, yani hawezi kujifunza, Ila likimkuta Tu! Ndo anaridhika! Anatuliza kojoleo lake chini Na kukumbuka zamani!
 
Na hawajifunzi kwa wenzao kamwe! Yani mwanamke hasikii raha mpaka limkute mwenyewe, ndo ataanza sema shetani, najuta n.k, hata humu wanasoma huu Uzi, yani hawezi kujifunza, Ila likimkuta Tu! Ndo anaridhika! Anatuliza kojoleo lake chini Na kukumbuka zamani!
Kumbe wanasema mwalimu wao kipofu hawakosei
 
Kweli wanawake wengin hukomaa kihakili baada ya miaka 27
Aiseeeee ninaye wa miaka 27 kila baada ya siku mbili lazima anune anapokutana na majibu yasiyo ya kuridhisha anapouliza nitaenda lini kwako kujitambulisha
 
wanawake wa kibongo wengi wanapata akili kwenye age ya 27 na apo baada ya kuchezewa sanaa tu ...chini ya iyo age ni majoka tu

daaah malikia wa nguvu!!!
Nakubalina na hili unalolisema. Wengi huwa na expectations zisizokuwa na reality. Ni baada ya kuona muda unakwenda hujikuta wanachokifikiri sicho. Sasa hapo ndo tatizo hutokea. Mbaya zaidi ni wale waliowahi kutumia lugha mbaya kwa x wao.Hujikuta katika wakati mgumu.
 
Habari za weekend wapendwa, natumaini muwazima wa afya, naomba niende moja kwa moja kwenye lengo kuu kilichonisukuma kuongea hivyo ni huu mkanganyiko ninauona kwa hawa wanawake kwa kutokuwa na msimamo ambao sio wote ni baadhi lakin wengi wao....
Kuna jamaa yangu alikuwa na mpenz wake na Mimi nilimuita shemej kama kawaida japo sijawah kumuona live kutokana na umbali hivyo niliongea naye kwa simu tu walikuwa wanapendana na jamaa alitokea kumuelewa sana kwa kipind hicho mwanamke alikuwa na umri wa miaka 23 alikuwa chuo mwaka wa mwisho lengo lao ilikuwa mwanamke akimaliza wafanye process za ndoa lakin mwanamke alikuja kugeuka ghafla sijui nini kilimpata na jamaa alipojaribu kumuuliza hakuna na jibu lolote juu ya mabadiriko hayo,baadaye mwanamke akataka waachane huku akimrushia lawama nying jamaa kwamba hajui kuhandle Mara anamhisi na mwanamke mwingine hakuishia hapo akaonyesha kila aina ya dharau na kufikia hatua ya kumtamkia jamaa kuwa yeye ni mrembo na umri wake bado mdogo hivyo atapata mwanaume wa kuendana naye yaani mwanaume wa saizi yake.
Jamaa hakuna na namna ikabidi akubaliane na hali halisi maisha yakaendelea miaka ikasonga kumbe mwanamke alipata mwanaume mwingine mwanafunz mwenzake akampa mimba na kumtelekeza kwakuwa mwanamke amesomea kozi ya ualimu ameweza kumlea mtoto na maisha yanaendelea na jamaa yangu amepata mchumba na process zina endelea miez michache ijayo atafunga ndoa.
Sasa yule mwanamke amerudi na anataka jamaa warudiane na amuoe tena huku ajifanya anamahaba ya hali ya juu na msg nzuri za mapenzi huku akisema jamaa ni mwanaume Mwenye huruma sijui anayejal hapa ndo ninapopata mkanganyiko kwa hawa viumbe saizi ana mtoto ndo anataka jamaa amuoe Wakt hana alisema jamaa si wa hadhi yake, yaani malue lue, hivi kwanini wanawake mkipata wanaume sirias huwa mnawadharau? Kwanini?
Ndo walimu walivyo,,,,
 
yaani huyo binti acha aisome namba na jamaa asijaribu kabisa kurudisha majeshi kwa huyo x wake, akomae na dem wake mpya wafunge ndoa....
 
Back
Top Bottom