Handeni walimu wako bize na bodaboda na tigo-pesa

Handeni walimu wako bize na bodaboda na tigo-pesa

Hivi we mwl gani hutambui mamlka za MKUU WA wilaya wewe Nina wasiwasi na elimu yako
Mkuu wa wilaya hausiki kwa namna yoyote katika masuala ya kutoa maamuzi dhidi ya mwalimu pale anapokuwa na makosa ya kinidhamu,kuna mamlaka husika zinazousika katika kumsimamia mwalimu..nishukuru kwa kukutoa ujinga leo
 
[emoji16][emoji16] Ulivyomaliza ' biashara zote handeni ni za walimu nimekupuuza' ulitaka ziwe za nani? Zungumza la walimu kutokufanya kazi umiliki wa biashara acha au ufungue yako.
 
Mkuu wa wilaya hausiki kwa namna yoyote katika masuala ya kutoa maamuzi dhidi ya mwalimu pale anapokuwa na makosa ya kinidhamu,kuna mamlaka husika zinazousika katika kumsimamia mwalimu..nishukuru kwa kukutoa ujinga leo
Hawezi elewa huyo . Hajui hata mwl akikosa ana watu wa TSC ambao ndo wanahusika na matatizo ya kinidhamu ya mwl. Who is mkuu wa wilaya hapo
 
Mimi natetea upuuzi lakini wewe ndo mpuuzi kabisa,wanafanya hayo sababu ya maslahi duni..wangekuwa na maslahi mazuri wasingeangaika na bodaboda..watu wanapodai stahiki zao na maboresho ya maslahi yao mmekuwa ni watu wa kuwajibu utumbo eti waache kazi...nyie mbona mkiambiwa kama mnaona hawafundishi wapelekeni watoto private mnaweweseka nini...kumbe inauma eeeh kujibiwa utumbo ukileta upumbavu??? We kama njaa zako zinasababisha ushindwe kupeleka toto lako private usihamishie stress zako kwa walimu..alafu ulivojinga mwanao akifeli lawama zote kwa walimu,unadhani ufaulu wa mtoto wako unaletwa na mwalimu peke yake...sasa mzazi kama anaakili kama yako mtoto akirithi unafikiri atapata nini zaidi ya zero
IQ yako iko chini sana kumudu kuwa mwalimu, bila shaka ulikuwa na division 4 ya point 30.
 
IQ yako iko chini sana kumudu kuwa mwalimu, bila shaka ulikuwa na division 4 ya point 30.
Mkuu Kama huyo hastahili kuwa mwl mi nimeelewa alichokiongea na mi Ni mwl wa masomo ambayo uliyakimbia. Vipi na Mimi nilipata division 4 ya point 30
 
Mkuu Kuna mishe Kama hazikuhusu huwezi jua. Ila nakuthibitishia kina watu wamechoka. Na sometime tatizo Ni la baadhi ya watu. Yaani kina watu wa utumishi kwa baadhi ya halmashauri Ni mizigo. Na ndo watu wanaoingiza watu kwenye hizi mishe. Kuna watu hata kile wanachostahili hawakipati

Nimejaribu kukusoma vizuri!
Ila hebu niambie mfano wa shahili zipi?
Maana Kwa mfano Ninachojua mishahara ya walimu miaka ya Siku hizi haichelewi au siyo?
 
Kila Mtu apambane na hali yake..

Hapana hii haipaswi kusemwa kila mahali!
Hapa kwa namna flani tunazungumzia swala maslahi ya umma Kwa namna moja ama nyingine !
Haiwezekani Mtu alipwe Mshahara unaotokana na kodi za wananchi halafu aache kutimiza wajibu wake anaopaswa!
 
Nilikua na division 4 ya point 30 lakini bado unamleta mwanao nimfundishe,mpaka hapo mwenye IQ ndogo anaonekana ni nani
Uliletwa Tu shuleni kwetu hatukufahamu kuwa IQ yako iko chini hivo. Sasa hv ndo tunagundua kutokana na majibu yako humu. Huna insight
 
Hawajapandishwa vyel wala kupewa mishahara mipya kwa miaka mitatu sasa. Unataka waiahije na gharama za maisha zimepanda? Acha wajiongeze, provided maisha yanasonga!
Walimu Handeni hawafundishi kabiiiisa, muda wao mwingi unamalizikia kwenye biashara ya bodaboda, tigo-pesa na kuonyesha TV/Video. Hii inasababisha taaluma Handeni kushuka sana.

Wakaguzi nendeni Handeni kimya kimya mkajionee walimu wanaokula pesa za bure bila kazi, biashara zote vijijini ni za walimu.
 
WANANCHI WENGINE NUKSI SANA UTADHANI UNAPEWA TUZO YA NOBLE YA KUJITUMA KWAHIYO UNATAKA WALIMU TUTEMBEE NA SURUALI IMECHANIKA KWENYE MAKALIO NDO ROHO YAKO IFURAHI
Mkitumbuliwa kwa kutowajibika mnaanza kulialia.
 
Back
Top Bottom