kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 17,936
- 17,357
- Thread starter
- #121
hii si kwa walimu tu, ni watumishi wote wa uma. hivi siku ukienda hospitali saa 9 mchana jino linakuuma sana na ukakuta dk yuko kibanda cha tigopesa anajiongezea kipato chake utasema ni sawa? Je, na polisi akienda kuonyesha tv kujiongezea kipato wakati ulipokwenda kutoa taarifa ya kuibiwa bodaboda yako utasema na yeye yuko sawa? Walimu tuache kulalamika ovyo kama vile watu wasiokuwa na uwelewa mpana wa mambo. Lazima tujisikie aibu shule yako kubakia mkiani kila wakati sawa na dk anavyotakiwa kujisikia vibaya wagonjwa wake wanapokosa huduma kwasababu ameenda kwenye mambo yake mengine.Uloleta uzi kwanza ww inaonekana u have low thinking capacity ko unataka walale kwa darasa ama???ilihali mshahara mwisho wa mwez daraja E take home n lak nn sasa vp wa daraje D na wengine inshort mshahara haukidhi mahitaj na kaz inayofanywa n kubwa binafs kama n mm nmepangiwa kitua maduka kama yote yananihusu sku hz na wazaz wanajua kujiongea ko ambao hawajiongez shaur yao s elmu bure bhana
Mara nyingi mtumishi anayo hiari ya kuajiriwa lakini hana hiari ya kufanya kazi.