Handeni walimu wako bize na bodaboda na tigo-pesa

Mkuu sio ujinga, elimu ndio kitu kinachoweza kumfanya mtoto wa maskini pia aweze kuwa Mkuu wa Wilaya yake, kama mwl. anashindwa kufundisha kwa kisingizio chochote kile hafai na ni adui mkubwa kwa watoto, wazazi na wanajamii wanaoimiliki shule, ni heri akaachana na hiyo ajira ili pengo lionekane wazi kuliko kujifanya hafundishi mshahara mdogo. kama mshahara mdogo hela ya kununulia bodaboda, tv/solar/king'amuzi na float ya tigo-pesa/m-pesa ulipata wapi?
Ya bodaboda IPO ila unasema mshahara mdogo waache KAZI wakawe mabodaboda
 
Kama wewe in MWL basi in MWL tahira manake kama KAZI ya ualimu hailipi so ukafanye hizo za tigo pesa uache ualimu huo ni ukilaza WA hali ya juu
Pia wewe ni mzazi taahira,huwezi mpeleka mwanao afundishwe na mwalimu but mwalimu huyohuyo akidai apewe na aboreshewe maslahi yake kutokana na hali ya maisha unaanza kutoa maneno ya kashfa kwa walimu...ukijifanya huna akili kuna wasio na akili zaidi yako we kama unaona mwanao afundishwi vizuri acha kulialia mpeleke private...njaa zako zisitujazie comment na thread za kijinga hapa jf
 
Broo watoto WA maskini ndo wanaoumia si unajua vita vya panzi ni ....
Iv unatambua mchango wa mwalimu katika Taifa lolote lile? Mwalimu ni nyenzo kubwa ya mafanikio kwa wengi ila kiukwel kibong bong walimu wanadharaulika na kunynyasik

Inafk hatua mtu kama liza form six ukimwambia aende ualimu anaona kama umemtukania mama ake
 
Pia wewe ni mzazi taahira,huwezi mpeleka mwanao afundishwe na mwalimu but mwalimu huyohuyo akidai apewe na aboreshewe maslahi yake kutokana na hali ya maisha unaanza kutoa maneno ya kashfa kwa walimu...ukijifanya huna akili kuna wasio na akili zaidi yako we kama unaona mwanao afundishwi vizuri acha kulialia mpeleke private...njaa zako zisitujazie comment na thread za kijinga hapa jf
Unatetea upuuzi, acha kazi mkuu. Mtaji wa tigo-pesa na bodaboda wanaupata kwenye ualimu na ndiyo maana wanaonekana vijijini huko kama watu wenye hela kuliko wanavijiji. Lakini, darasa la wanafunzi zaidi 40 kupata wanafunzi wasiozidi 5 wenye ufaulu wa daraja B na waliobakia ni D, E na C chache kwenye mitihani ya darasa la saba, mfano ni kuonyesha kuwa walimu hawafanyi kazi yao. mwalimu lazima apate muda wa kujiandaa kufundisha, kuandaa somo, kufundisha, kupima uelewa wa mwanafunzi na kutoa mrejesho kwa wanafunzi. Kazi zote hizi haziwezekani kama mwalimu anafanya kazi ya bodaboda, tigo-pesa na kuonyesha video/tv mchana kutwa, hata usiku mwl anaamshwa kupeleka abiria sehemu.
 
Iv unatambua mchango wa mwalimu katika Taifa lolote lile? Mwalimu ni nyenzo kubwa ya mafanikio kwa wengi ila kiukwel kibong bong walimu wanadharaulika na kunynyasik

Inafk hatua mtu kama liza form six ukimwambia aende ualimu anaona kama umemtukania mama ake
uligundua lini kuwa kibong bong walimu wanadharaulika na kunynyasik? ulilazimishwa kusoma uwalimu? Mtu anayo hiari ya kuajiriwa au la, lakini akishaajiriwa hana hiari ya kufanyakazi. It is whether "ALL or NONE", not in between.
 
Unatetea upuuzi, acha kazi mkuu. Mtaji wa tigo-pesa na bodaboda wanaupata kwenye ualimu na ndiyo maana wanaonekana vijijini huko kama watu wenye hela kuliko wanavijiji. Lakini, darasa la wanafunzi zaidi 40 kupata wanafunzi wasiozidi 5 wenye ufaulu wa daraja B na waliobakia ni D, E na C chache kwenye mitihani ya darasa la saba, mfano ni kuonyesha kuwa walimu hawafanyi kazi yao. mwalimu lazima apate muda wa kujiandaa kufundisha, kuandaa somo, kufundisha, kupima uelewa wa mwanafunzi na kutoa mrejesho kwa wanafunzi. Kazi zote hizi haziwezekani kama mwalimu anafanya kazi ya bodaboda, tigo-pesa na kuonyesha video/tv mchana kutwa, hata usiku mwl anaamshwa kupeleka abiria sehemu.
Mimi natetea upuuzi lakini wewe ndo mpuuzi kabisa,wanafanya hayo sababu ya maslahi duni..wangekuwa na maslahi mazuri wasingeangaika na bodaboda..watu wanapodai stahiki zao na maboresho ya maslahi yao mmekuwa ni watu wa kuwajibu utumbo eti waache kazi...nyie mbona mkiambiwa kama mnaona hawafundishi wapelekeni watoto private mnaweweseka nini...kumbe inauma eeeh kujibiwa utumbo ukileta upumbavu??? We kama njaa zako zinasababisha ushindwe kupeleka toto lako private usihamishie stress zako kwa walimu..alafu ulivojinga mwanao akifeli lawama zote kwa walimu,unadhani ufaulu wa mtoto wako unaletwa na mwalimu peke yake...sasa mzazi kama anaakili kama yako mtoto akirithi unafikiri atapata nini zaidi ya zero
 
Pumbavu sana. Serikali ambayo haijapandisha taraja mwl kuanzia mwaka 2012, na mwl maisha yake na mahitaji yameongeza kwa kipindi chote hicho[emoji846] nawashauri hao walimu na walimu wengine wote wafanye mambo Yao. Ni ujinga kufikiri mtu anaweza fanya kazi zako kwa kiwango kile kile wakati humlipi. Piga bodaboda mwl. Familia isije lala njaa. Familia Ni muhimu kuliko wanasiasa wanaokutesa
 
Inasikitisha sana!
Kwa majadiliano hayo ni wazi kuwa kuna tatizo mahala!
Hizo tuhuma alizoleta mleta mada huenda zikawa na ukweli ndani yake!
Sijui tuziite tuhuma au malalamiko au nini sijui!
Naamini System iko on 24hrs bila shaka zitafanyiwa kazi!
Ni vema kila Mtu akatimiza wajibu wake Kwa wakati husika!
 
Walimu Handeni hawafundishi kabiiiisa, muda wao mwingi unamalizikia kwenye biashara ya bodaboda, tigo-pesa na kuonyesha TV/Video. Hii inasababisha taaluma Handeni kushuka sana.

Wakaguzi nendeni Handeni kimya kimya mkajionee walimu wanaokula pesa za bure bila kazi, biashara zote vijijini ni za walimu.
Elimu yenyewe iko wapi? Motisha je!
 
Inasikitisha sana!
Kwa majadiliano hayo ni wazi kuwa kuna tatizo mahala!
Hizo tuhuma alizoleta mleta mada huenda zikawa na ukweli ndani yake!
Sijui tuziite tuhuma au malalamiko au nini sijui!
Naamini System iko on 24hrs bila shaka zitafanyiwa kazi!
Ni vema kila Mtu akatimiza wajibu wake Kwa wakati husika!
Mkuu Kuna mishe Kama hazikuhusu huwezi jua. Ila nakuthibitishia kina watu wamechoka. Na sometime tatizo Ni la baadhi ya watu. Yaani kina watu wa utumishi kwa baadhi ya halmashauri Ni mizigo. Na ndo watu wanaoingiza watu kwenye hizi mishe. Kuna watu hata kile wanachostahili hawakipati
 
Pumbavu sana. Serikali ambayo haijapandisha taraja mwl kuanzia mwaka 2012, na mwl maisha yake na mahitaji yameongeza kwa kipindi chote hicho[emoji846] nawashauri hao walimu na walimu wengine wote wafanye mambo Yao. Ni ujinga kufikiri mtu anaweza fanya kazi zako kwa kiwango kile kile wakati humlipi. Piga bodaboda mwl. Familia isije lala njaa. Familia Ni muhimu kuliko wanasiasa wanaokutesa
Acha KAZI kuna watu wanautaka huo ualimu we kapige bodaboda au tigo pesa mh Godwin Gondwe njoo uone walimu wako huku wamekuwa mawakala na mabodaboda
 
We unafikiri hata ukiupa huo ualimu huku hupewi stahiki zako una maana, ndo maana nikasema Kama huko kwenye huo ualimu huwezi nielewa
 
Mkuu kuna aina nyingi za mgomo mojawapo ni huo(mgomo barib)
Hawezi elewa. Kuna watu tuna miaka tuko kwenye mgomo. Na maisha yanaendelea. Kama hawaelewi unafanyaje sasa. Huku unazuga[emoji847] maisha yanaendelea
 
Back
Top Bottom