Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,428
- 11,850
Kasomee ualimu nawe ule pesa za bure. Wewe si ulikimbia umande, wacha jua likuwakie mpaka udate. Pumbafu thana weWalimu Handeni hawafundishi kabiiiisa, muda wao mwingi unamalizikia kwenye biashara ya bodaboda, tigo-pesa na kuonyesha TV/Video. Hii inasababisha taaluma Handeni kushuka sana.
Wakaguzi nendeni Handeni kimya kimya mkajionee walimu wanaokula pesa za bure bila kazi, biashara zote vijijini ni za walimu.
Mishahara haitoshiWalimu Handeni hawafundishi kabiiiisa, muda wao mwingi unamalizikia kwenye biashara ya bodaboda, tigo-pesa na kuonyesha TV/Video. Hii inasababisha taaluma Handeni kushuka sana.
Wakaguzi nendeni Handeni kimya kimya mkajionee walimu wanaokula pesa za bure bila kazi, biashara zote vijijini ni za walimu.
Mishahara haitoshi