Handeni walimu wako bize na bodaboda na tigo-pesa

Handeni walimu wako bize na bodaboda na tigo-pesa

Kama mshahara hautoshi siuache Tu kazi au goma Kwa uwazi watu wote waelewe kuliko kugoma kimyakimya?
Kwani wewe unatoshekaga na mshahara wako ?. Sometimes mnaandama walim tu wakati ninyi wazaz hamna cooperation na walimu wala watoto wenu wenyewe kweny masomo yao .pambana na hali yako na tutapiga kazi hapa kaz tuu .
 
Handeni kubwa mkuu...! Rudi kafanye tafiti upya au andika upya kwa ufafanuzi mzuri!
Unajibaraguza
Handeni kubwa mkuu...! Rudi kafanye tafiti upya au andika upya kwa ufafanuzi mzuri!
Kote, nilianizia
Kwani wewe unatoshekaga na mshahara wako ?. Sometimes mnaandama walim tu wakati ninyi wazaz hamna cooperation na walimu wala watoto wenu wenyewe kweny masomo yao .pambana na hali yako na tutapiga kazi hapa kaz tuu .
Mimba za wanafunzi ni chanzo chao cha mapato pia Kwa kushirikiana na katibu mtendaji kata.
 
WANANCHI WENGINE NUKSI SANA UTADHANI UNAPEWA TUZO YA NOBLE YA KUJITUMA KWAHIYO UNATAKA WALIMU TUTEMBEE NA SURUALI IMECHANIKA KWENYE MAKALIO NDO ROHO YAKO IFURAHI
Kufanya KAZI za ziada za kujitafutia kipato sio vibaya lakini kama inaathiri utendaji KAZI wako no HATARI
 
Walimu Handeni hawafundishi kabiiiisa, muda wao mwingi unamalizikia kwenye biashara ya bodaboda, tigo-pesa na kuonyesha TV/Video. Hii inasababisha taaluma Handeni kushuka sana.

Wakaguzi nendeni Handeni kimya kimya mkajionee walimu wanaokula pesa za bure bila kazi, biashara zote vijijini ni za walimu.
Acha ujinga wafanyeje sasa wakati serikali hii haijaangalia maslahi ya watumishi was umma ? Kama ilivyokua. Miaka yote
 
Ma ~ Professor Wengine Ni Wa Hovyo Hawana Uzalendo Mmoja Nilimfukuza Hapo Hapo
 
Hao walimu ni wa kuigwa.
Hivi kwa mshahara wa mwalimu ukiondoa wale waliodumu kwenye utumishi kwa muda mwingi mwenye Astashahada, stashahada na shahada atawezaje kuleta ustawi kwenye familia yake bila kujiongezea kipato kwa ujasiriamali?.
Mishahara ni midogo, sio kwa walimu tu bali kwa watumishi wengi. Ila kuna taasisi zina unafuu, kuna lunch allowance, nauli na overtime na ukiingia ukizunguka hapa na pale unapata elfu 20,30 per day .
Au unataka waibe vitabu ?
Wewe umewakagua umeona vipindi hawahudhurii?
 
Maendeleo ya elimu humgusa kila MTU sio kama ni umbea
Hiv unadhan na huyo mwalimu hana familia wote tunajua mshahara wa mwalimu haukidhi mahitaj yake so akiamua kufany vitu nje ya elimu nayo ni kosa

Na ww uache umbea
 
Kama ni kweli basi nakupongeza mleta Mada Kwa kuonesha uzalendo mkubwa kiasi hiki!
Ni vema walimu na watumishi wengine watimize kwanza majukumu Yao ya msingi Kisha baada ya Masaa ya kazi ndipo wafanye hizo shughuli zao nyingine Za ziada!
 
Ni kosa kubwa kutumia muda wa kazi kwa shughuli zako nyingine bunafsi huku unalipwa Mshahara !
 
Msimchukulie udhaifu wa wananchi wa huko Kwa kule kutokuwa na mwamko wa elimu kiasi cha kuacha kutimiza wajibu wenu
 
Zamani sijajua Kama bado ipo, walimu wengine walikuwa wakichotewa Maji na wanafunzi toka mbali sana, walimu walikuwa wakilimiwa mashamba na wanafunzi , Kwa Bahati mbaya wazazi wanaona ni Sawa Kumbe ni makosa makubwa!
 
Handeni kuna matatizo mengi sana, shida ya Maji ni kubwa sana tangu uhuru, Hata pale Chanika hospital bomani Maji hakuna Yani Mtu ukitafakali inasikitisha sana kusema kweli
 
Walimu Handeni hawafundishi kabiiiisa, muda wao mwingi unamalizikia kwenye biashara ya bodaboda, tigo-pesa na kuonyesha TV/Video. Hii inasababisha taaluma Handeni kushuka sana.

Wakaguzi nendeni Handeni kimya kimya mkajionee walimu wanaokula pesa za bure bila kazi, biashara zote vijijini ni za walimu.
Mbona unawaza kama una kinyesi ndani ya kichwa chako...?
Sasa wasipojiongeza watakula nini wataishije na familia zao? ...unakuta mwalimu ana madai ya miaka na miaka....kuliko kukaa siku 31 na kusubiri mshahara wa laki 3 ni bora wajiongeze ili maisha yaende na zaidi walimu Saivi hakuna recognition yoyote wanayopewa sasa hivi ...
 
Acha ujinga wafanyeje sasa wakati serikali hii haijaangalia maslahi ya watumishi was umma ? Kama ilivyokua. Miaka yote
Mkuu sio ujinga, elimu ndio kitu kinachoweza kumfanya mtoto wa maskini pia aweze kuwa Mkuu wa Wilaya yake, kama mwl. anashindwa kufundisha kwa kisingizio chochote kile hafai na ni adui mkubwa kwa watoto, wazazi na wanajamii wanaoimiliki shule, ni heri akaachana na hiyo ajira ili pengo lionekane wazi kuliko kujifanya hafundishi mshahara mdogo. kama mshahara mdogo hela ya kununulia bodaboda, tv/solar/king'amuzi na float ya tigo-pesa/m-pesa ulipata wapi?
 
Mbona unawaza kama una kinyesi ndani ya kichwa chako...?
Sasa wasipojiongeza watakula nini wataishije na familia zao? ...unakuta mwalimu ana madai ya miaka na miaka....kuliko kukaa siku 31 na kusubiri mshahara wa laki 3 ni bora wajiongeze ili maisha yaende na zaidi walimu Saivi hakuna recognition yoyote wanayopewa sasa hivi ...
Rais kasema kama unaona mshahara mdogo acha kazi ukafanye kazi zako. sio kutoa povu
 
Back
Top Bottom