Handeni walimu wako bize na bodaboda na tigo-pesa

Hapana hii haipaswi kusemwa kila mahali!
Hapa kwa namna flani tunazungumzia swala maslahi ya umma Kwa namna moja ama nyingine !
Haiwezekani Mtu alipwe Mshahara unaotokana na kodi za wananchi halafu aache kutimiza wajibu wake anaopaswa!
Watumishi wa umma wana shida sana hasa was vijijin, kwa nini tusifikie mahali tuangalie uwajibikaji wa mtu? kama natakiwa kufundisha mpaka saa nane na baada ya hapo naenda kwenye miradi yangu kuna shida gani au mnataka muone mtu yupo nyumban baada ya saa za kazi amelala ndo mridhike? Kwa kweli binadamu hatutakiani mema
 
Walimu Handeni hawafundishi kabiiiisa, muda wao mwingi unamalizikia kwenye biashara ya bodaboda, tigo-pesa na kuonyesha TV/Video. Hii inasababisha taaluma Handeni kushuka sana.

Wakaguzi nendeni Handeni kimya kimya mkajionee walimu wanaokula pesa za bure bila kazi, biashara zote vijijini ni za walimu.
Mshahara pekee hautoshi kujiongeza muhimu
 
Kuna walimu wengine wanafanyiwa kila kitu na wanafunzi [emoji108]🏻[emoji108]🏻 mfano; kuchotewa Maji toka mbali,
Kukatiwa kuni, kufuliwa , kuoshewa vyombo, kudekiwa, kupikiwa n.k
Msimu wa kilimo watoto wa Watu hawasomi ni kwenda mashambani kulima, na wanalima mashamba ya waalimu!
Haipaswi kuwa hivyo Hata kidogo!
Msitumie ujinga wa wazazi wao kuwatendea Kwa hiyana wanafunzi hao!
 
Wako wanafunzi wanaowekewa zamu za kuwapikia walimu chakula cha mchana shuleni
 
Watumishi wa umma wana shida sana hasa was vijijin, kwa nini tusifikie mahali tuangalie uwajibikaji wa mtu? kama natakiwa kufundisha mpaka saa nane na baada ya hapo naenda kwenye miradi yangu kuna shida gani au mnataka muone mtu yupo nyumban baada ya saa za kazi amelala ndo mridhike? Kwa kweli binadamu hatutakiani mema
Kazi ya mwalimu haiazii saa mbili asubuhi. Mwalimu lazima apate muda wa kuandaa mada, kufundisha, kupima uelewa wa mwanafunzi na kutoa mrejesho, kupata muda wa kukaa ofisini kusikiliza na kupokea wanafunzi na wazazi wanaotafuta ushauri wa kitaaluma na kijamii. Sasa mwalimu akiondoka saa nane na kwenda kuendesha bodaboda atapata wapi muda ya kuyatenda yote haya?

Heri uache kazi ukafanye kazi yenye maslahi lakini sio kutafuta mtaji kwenye uwalimu bila kutimiza wajibu wa uwalimu.
 
Nataman nikutusi ki....
 
Siamini kama mtu anaweza acha majukumu yake ndani ya masaa ya kazi akaenda kuendesha bodaboda bila dharula ya muhimu huku mwalimu mkuu yupo, Afsa elimu kata yupo, Wawakilishi wa wananchi yani Mwenyekiti kijiji na diwani wapo.
Zipo ngazi nyingi za kuweza kupima utendaji kazi wa watumishi wote na yako malengo waliyopewa ili wayatekeleze
Baada ya kusoma uzi wa mtoa mada na majibu anayotoa kwa wenzake nimemwelewa ifuatavyo

Kwanza, Hana kazi ya msingi anayofanya yani ni wale wakaa vijiweni kuanzia asubuhi mpaka jioni kujadili matukio na ndilo kundi la watu wanaofikiri kidogo sana

Pili, hajui taratibu za utumishi wa Umma wa Umma katika kutenda kazi zake, hata kama ni malalamiko kuhusu walimu yana taratibu zake za kuwasilishwa kwenye Serikali za mtaa, yeye anataka mkuu wa wilaya awachape viboko walimu ili ashangilie, hana elimu, hana exposure kwenye field yoyote na hajui changamoto walau kidogo za ajira.

Tatu, pengine naye ni dereva bodaboda na mfanyabiashara ndogondogo anayeamini ili kupunguza ushindani kwenye biashara na jinsi vyuma vilivyokaza ni kuwachongea walimu, nashauri kuwa biashara ni kauli na sanaa, watu wako radhi kumsubiri mwalimu atoke darasani awapeleke kuliko yeye mwenye kasoro nyingi.

Nne, Mtoto wake Ana matokeo mabaya sana darasani na anaamini mwalimu ndiye hafundishi, ushauri hapa mpe mtoto chakula kizuri chenye makundi yote, Alale mapema na asisumbuliwe na chawa, afanye mazoezi mdogo pia mtengenezee ratiba na molari ya kufanya mambo.

Pia hudhuria vikao vya wananchi na Lisemee hilo Swala la walimu kuendesha bodaboda kama kero, mamlaka itachunguza ukweli wake na utapewa majibu, hakikisha una ushahidi kuwa wao huendesha mda wa kazi kwani baada ya mda wa kazi kila mtumishi ana haki ya kufanya mambo yake.

Pia kama huna kazi tafuta kazi ya kukukeep busy kuepukana na Wivu Ukiona wenzako wanafanikiwa.
 
Mbona huhoji Ccm kutumia ujinga wa wazazi wao kujipatia kura ,,na kuzidi kuwafanya maskini kwa kuwahonga doti za khanga,na pilau nyama??

Hilo nalo Neno!
Lakini siyo Mada iliyopo mezani, kama vipi andaa Uzi wake kama Mada inayojitegemea uilete jamvini tuijadili !
Kwa hiyo swala hilo haliwezi kupelekea kuhalalisha kile mnachokifanya kimakosa!
Acheni kutumikisha watoto wa Watu jamani !
 
WANANCHI WENGINE NUKSI SANA UTADHANI UNAPEWA TUZO YA NOBLE YA KUJITUMA KWAHIYO UNATAKA WALIMU TUTEMBEE NA SURUALI IMECHANIKA KWENYE MAKALIO NDO ROHO YAKO IFURAHI
Alafu ukifulia unapewa masimango mpaka afya inalegalega, utaambiwa "alikuwa mwalimu ona sasa alivyochoka hata mia hana"
 
Walimu Handeni hawafundishi kabiiiisa, muda wao mwingi unamalizikia kwenye biashara ya bodaboda, tigo-pesa na kuonyesha TV/Video. Hii inasababisha taaluma Handeni kushuka sana.

Wakaguzi nendeni Handeni kimya kimya mkajionee walimu wanaokula pesa za bure bila kazi, biashara zote vijijini ni za walimu.
Hongera sana walimu wa Handeni kwa kubuni njia mbadala za kujikwamua kiuchumi
 
Serikali imeshindwa kuwekeza katika elimu acha waalimu wawekeze katika uchumi
 
Sipendi heshima za kipuuzi, fundisheni watoto. Hiyo kazi mliiomba wenyeeewe.
Unaangalia faida zako tu.
Endeleeni kufyatua watoto. Mmeshidwa hata kuwapa huduma ya chakula wanalamba vichips vya watu matokeo yake mimba. Kwa jamii za waelevu kama moshi Arusha wazazi wanahamasika hata kuchangia taaluma ninyi huko muheza mmekalia kukalili elimu bure maeneo hayo mtoto hata daftari mnadhani atapewa shuleni.
You are not gonna make it, just prepare yourself to load sacks of oranges to kariakoo market, thats what you can do.
Lakini unawazo pia
 
Siamini kama mtu anaweza acha majukumu yake ndani ya masaa ya kazi akaenda kuendesha bodaboda bila dharula ya muhimu huku mwalimu mkuu yupo, Afsa elimu kata yupo, Wawakilishi wa wananchi yani Mwenyekiti kijiji na diwani wapo.
Zipo ngazi nyingi za kuweza kupima utendaji kazi wa watumishi wote na yako malengo waliyopewa ili wayatekeleze
Baada ya kusoma uzi wa mtoa mada na majibu anayotoa kwa wenzake nimemwelewa ifuatavyo

Kwanza, Hana kazi ya msingi anayofanya yani ni wale wakaa vijiweni kuanzia asubuhi mpaka jioni kujadili matukio na ndilo kundi la watu wanaofikiri kidogo sana

Pili, hajui taratibu za utumishi wa Umma wa Umma katika kutenda kazi zake, hata kama ni malalamiko kuhusu walimu yana taratibu zake za kuwasilishwa kwenye Serikali za mtaa, yeye anataka mkuu wa wilaya awachape viboko walimu ili ashangilie, hana elimu, hana exposure kwenye field yoyote na hajui changamoto walau kidogo za ajira.

Tatu, pengine naye ni dereva bodaboda na mfanyabiashara ndogondogo anayeamini ili kupunguza ushindani kwenye biashara na jinsi vyuma vilivyokaza ni kuwachongea walimu, nashauri kuwa biashara ni kauli na sanaa, watu wako radhi kumsubiri mwalimu atoke darasani awapeleke kuliko yeye mwenye kasoro nyingi.

Nne, Mtoto wake Ana matokeo mabaya sana darasani na anaamini mwalimu ndiye hafundishi, ushauri hapa mpe mtoto chakula kizuri chenye makundi yote, Alale mapema na asisumbuliwe na chawa, afanye mazoezi mdogo pia mtengenezee ratiba na molari ya kufanya mambo.

Pia hudhuria vikao vya wananchi na Lisemee hilo Swala la walimu kuendesha bodaboda kama kero, mamlaka itachunguza ukweli wake na utapewa majibu, hakikisha una ushahidi kuwa wao huendesha mda wa kazi kwani baada ya mda wa kazi kila mtumishi ana haki ya kufanya mambo yake.

Pia kama huna kazi tafuta kazi ya kukukeep busy kuepukana na Wivu Ukiona wenzako wanafanikiwa.
Huoni aibu shule yako kukosa mwanafunzi hata mmoja mwenye ufaulu wa daraha A na B? Kazi ya kufundisha na mwanafunzi kufaulu ni ya mwalimu, mzazi ni stimulus/catalyst tu kwenye tukio. Hapo ni maana ama mwalimu ana kichwa cha nazi koroma au anadhani wazazi kijijini wamelala usingizi wa pono hawajali matokeo ya watoto wao
 
Mkuu sio ujinga, elimu ndio kitu kinachoweza kumfanya mtoto wa maskini pia aweze kuwa Mkuu wa Wilaya yake, kama mwl. anashindwa kufundisha kwa kisingizio chochote kile hafai na ni adui mkubwa kwa watoto, wazazi na wanajamii wanaoimiliki shule, ni heri akaachana na hiyo ajira ili pengo lionekane wazi kuliko kujifanya hafundishi mshahara mdogo. kama mshahara mdogo hela ya kununulia bodaboda, tv/solar/king'amuzi na float ya tigo-pesa/m-pesa ulipata wapi?
Hujui wanakopa.
We wawapi aisee
 
Rais kasema kama unaona mshahara mdogo acha kazi ukafanye kazi zako. sio kutoa povu
Nadhani angetangaza yuko tayari kulipa masurufu yao hasa ya kujitoa,wengi wako tayari ila kama halipi hakuna dawa zaidi ya hii
 
Hujui wanakopa.
We wawapi aisee
wanakopa kwa dhamana ya uwalimu, wewe vepe? taasisi gani itamkopesha mtu asiyekuwa na uhakika wa kurejesha alichokopa? ni uwalimu tu unaomfanya aaminiwe. Aaache kazi basi aone nani atamkoposha
 
Ya bodaboda IPO ila unasema mshahara mdogo waache KAZI wakawe mabodaboda
Kwa hasira zako aidhani kama unaweza hata kimlipa mwanao hela chakula shuleni yaani utakuwa bora mzazi. Elimu bure bila wadau kushughulikiwa ni kelele
 
We nyumbu mini.rais alisema "KAMA UNAONA MSHAHARA HAUTOSHI ACHA KAZI".unalalamika maslahi duni lakini bado unautaka ualimu very stupid
Ualimu ni taaluma, sio mdomo ambao kila mtu anao. Unaonekana kama ni mwalimu aliyekosa ajira.
 
Back
Top Bottom