Handaki lisilotumika la kujikinga na mashambulizi ya anga lageuzwa uwanja wa sanaa na kuwavutia watu kupiga picha mjini Chongqing, China

ldleo

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
1,023
1,046
Chumba cha sanaa cha "Stone House" kilichobadilishwa kutoka handaki lisilotumika la kujikinga na mashambulizi ya anga huko mjini Chongqing, China kimewavutia watu wengi kupiga picha. Handaki hilo lenye urefu wa mita 68 na upana wa mita 3.2, ni sanaa iliyoundwa na picha, uchoraji, taa, nk.

Hali joto ndani ya handaki hilo hudhibitiwa kati ya nyuzi 22 hadi 26 kwa mwaka mzima,na kuwavutia watu wengi kusoma vitabu, kunywa chai, na kujifunza uchoraji na kuwa humo wakikwepa joto.



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…