Hana swaga, atapata mpenzi kweli?

Hana swaga, atapata mpenzi kweli?

Hivi umemsahau ze keke?
Kila siku ana lalamika humu

hivi swagger umemuona?
Nina pata wakati mgumu kuamini upo Muhimbili College..No wonder mnapasua watu vichwa badala ya mguu..... sasa hapa unatupa taarifa au unataka tujadili mada au unahitaji ushauri?
 
Last edited by a moderator:
Hivi wewe umeshaweza kujua maneno ya kuongea na yule msichana wako?

Wana jf habari zenu za jioni, huku muhimbili tnateseka wenzenu, msituone tunagraduate kuwa madoctor mkazani sisi ndo sisi. Kiukweli kuna mambo ya kimaisha mojawapo ikiwa mapenzi yamekuwa challange kubwa sana. Kuna jamaa tuko nae hana swaga, (wanawake wamekuwa wakimwambia) ataweza pata mpenzi kweli kama ni poor convertionilist?
 
Mmmmh...!! Hapo ulivyoiongelea muhimbili...!!..

Hilo ni tatizo la mtu binafsi wala halihusiani kabisa na kuwa doctor..!! Kuna madaktari wana swaga balaaa..!
 
Mmmmh...!! Hapo ulivyoiongelea muhimbili...!!..

Hilo ni tatizo la mtu binafsi wala halihusiani kabisa na kuwa doctor..!! Kuna madaktari wana swaga balaaa..!

Naomba kuuliza wenzangu nyie mkongo mnaupata?
 
SWAGA= Secretly we are Gays!

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Acha chuo, fanya swaga! Kwani walosoma hapo wote ni maseja?
 
Swagger limetokana na neno SWAG an abbreviation for secretly we are gays lilitumika na wafungwa kutambulisha wanaokimbizwa na kukimbiza wenzao.Back to the topic mapenzi hayana formula kijana kuna mtu atampenda vivyo hivyo alivyo na nyie wa swag mtapendwa na swag wenzenu.
 
Back
Top Bottom