Hana swaga, atapata mpenzi kweli?

Hana swaga, atapata mpenzi kweli?

ze jj

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2012
Posts
522
Reaction score
630
Wana jf habari zenu za jioni, huku muhimbili tnateseka wenzenu, msituone tunagraduate kuwa madoctor mkazani sisi ndo sisi. Kiukweli kuna mambo ya kimaisha mojawapo ikiwa mapenzi yamekuwa challange kubwa sana. Kuna jamaa tuko nae hana swaga, (wanawake wamekuwa wakimwambia) ataweza pata mpenzi kweli kama ni poor convertionilist?
 
as if 95 percent ya Watanzania wanajua maana ya swagger ni nini.........
 
Hana swagga kivipi wakati jamaa ni kichwa? Kufika kusomea utabibu Muhimbili is no mean feat.

Mpaka hapo alipofikia ni swagga tosha kabisa. Hahitaji hata kuhonga kama ilivyo kwetu sisi wabeba maboksi.

Halafu hakuna mtu asiye na swagga kwa sababu kila mtu ana swagga zake.
 
Nina pata wakati mgumu kuamini upo Muhimbili College..No wonder mnapasua watu vichwa badala ya mguu..... sasa hapa unatupa taarifa au unataka tujadili mada au unahitaji ushauri?

umempaje za kichwa
umzima???
 
Nina pata wakati mgumu kuamini upo Muhimbili College..No wonder mnapasua watu vichwa badala ya mguu..... sasa hapa unatupa taarifa au unataka tujadili mada au unahitaji ushauri?

toa ushauri, qn mark ukuiona?
 
Mwambie atafute Pesa watakuja wenyewe, Ratio ya Nyuchi to mtalimbo ni 2;1 so zitajileta zenyewe zimejaa kama bidhaa za kichina kariakoo!
 
How do you define Swagger?

Bila hili kwa wengine tusiojua hayo maswaga mnayatafsiri vipi nyie itakuwa ni sawa na usiku wa giza kwetu na hakuna wazo mtu anaweza kutoa kwa kushindwa kuconnect "swagga" (as you define) na kuweza kupata mwenza
 
We unadhani uko deep kwenye swaga? Noo lolote. Atafute domo zege mwenzake.
 
How do you define Swagger?

Bila hili kwa wengine tusiojua hayo maswaga mnayatafsiri vipi nyie itakuwa ni sawa na usiku wa giza kwetu na hakuna wazo mtu anaweza kutoa kwa kushindwa kuconnect "swagga" (as you define) na kuweza kupata mwenza

swaga kwa matumizi ya vjana wetu, inamaanisha namna ya kuwasiliana pamoja na kujiweka in a way that unakuwa na sexual attraction kwa opposite sex.
 
Makubwa..kwa hiyo anayehitaji ushauri ni wewe au chuo kizima au huyo jamaa ambaye hana swaga!?
Anyway mie ushauri wangu kwenye sylabus yenu wawaongezee somo la kujitambua au MMU.
lol! C ndo unataka tuwapasue vchwa badala ya magoti, unataka tukeshe usiku mzima tnakariri script za mapenzi, maana na kazi ya MMU ya jf inatosha kusolve mambo.
 
lol! C ndo unataka tuwapasue vchwa badala ya magoti, unataka tukeshe usiku mzima tnakariri script za mapenzi, maana na kazi ya MMU ya jf inatosha kusolve mambo.

Basi someni kwanza hayo mabuku yenu makubwa..Hizo swaga za mapenzi zitakuja mkimaliza chuo
 
Back
Top Bottom