Hana swaga, atapata mpenzi kweli?

Hana swaga, atapata mpenzi kweli?

Wana jf habari zenu za jioni, huku muhimbili tnateseka wenzenu, msituone tunagraduate kuwa madoctor mkazani sisi ndo sisi. Kiukweli kuna mambo ya kimaisha mojawapo ikiwa mapenzi yamekuwa challange kubwa sana. Kuna jamaa tuko nae hana swaga, (wanawake wamekuwa wakimwambia) ataweza pata mpenzi kweli kama ni poor convertionilist?

Ndiyo nini hiyo kwenye blue...au ndiyo swagg!
 
atafute hela 2 atawakimbia yeye mwenyewe
 
ze keke, hii thread inafanana na ile uliyoitoa masaa 48 yaliyopita.wakati ule ulijizungumzia wewe na sasa umeamua kutumia mtu mwingine.Kulikoni? mbona naona kama ulishajibiwa? kama hukuelewa nina wasiwasi kama kweli unasoma muhimbili au unakaa karibu na muhimbili.
swaga kwa matumizi ya vjana wetu, inamaanisha namna ya kuwasiliana pamoja na kujiweka in a way that unakuwa na sexual attraction kwa opposite sex.
 
Last edited by a moderator:
swaga ni kwenda sambamba na mitindo ya kisasa ya maisha ya kila siku kama mavazi burudani vinywaji starehe nk
 
jamaa hana swagger kwny kutembea,kuongea,
mavazi,au swaga ipi sasa mwenzetuuuuuu?fafanua bas!
 
swaga ni kwenda sambamba na mitindo ya kisasa ya maisha ya kila siku kama mavazi burudani vinywaji starehe nk
Kazi kweli kweli kina Kaka kwani uvaaji ndio nimpende Mtu? au kuwa na nyumba ?
mbona ni mateso hasa maana hata raha ya penzi hutaiona maana kila mara hivi vitambaa vya mezan mwenzako kanifumia! mara sahani za mwenzako alinunua
Namshauri mtoa mada aende polepole atapata tu hata bila swaga wala kutanguliza hela
 
mwambie awe anamtumia msg afu anazima simu.... yani hivi "i love you" afu anazima simu kama anaogopa majibu akiamka asubuh hajajibiwa atume message kuulizia notes za mwalimu..... au kwa sababu.ni dokta mkalilishe haya maneno...
"Nakupenda kama mgonjwa aliyeko mahututi anavyopenda uhai wake... Niko ICU na dokta kasema bila upendo wako naeza poteza Maisha i will be your panador when u have headache and i will protect ur heart from disesase sababu sitakusababishia heart diseases nakupenda kama navyopenda somo la anatomy na ukinikataa ntapasua mtu kichwa badala ya mguu
 
Hii ndio tofauti ya wanawake wa kiafrika na wakizungu, wenzenu wanamaliza hamu wakati wa utoto na chuo. Kungekuwa na wanawake wa maana dude angekuwa in demand.

Tatizo lenu wadada waki-afrika particularly wa ki-tanzania are not security conscious, badala ya kuangalia wanaume wenye huwezo wa kuwawekea security za maisha wao hoo, anamvuto sijui swaga. What about your security and that of your children in the future.

Sijapata kuona wanawake useless kama wakibongo asilimia kubwa.
 
Hana swagga kivipi wakati jamaa ni kichwa? Kufika kusomea utabibu Muhimbili is no mean feat.

Mpaka hapo alipofikia ni swagga tosha kabisa. Hahitaji hata kuhonga kama ilivyo kwetu sisi wabeba maboksi.

Halafu hakuna mtu asiye na swagga kwa sababu kila mtu ana swagga zake.
Hata hizi pia mi naziona ni swaga zako
 
Hata hizi pia mi naziona ni swaga zako

Hehehee poa tu. Wala hamna ubaya. Nimeshaonwa mengi mabaya kuliko hata unionavyo wewe but I'm still here, same 'ol me - a cocksure bad ass that losers and suckers love to hate.
 
Nina pata wakati mgumu kuamini upo Muhimbili College..No wonder mnapasua watu vichwa badala ya mguu..... sasa hapa unatupa taarifa au unataka tujadili mada au unahitaji ushauri?

Labda hawana swaga katika taaluma yao na ndiyo maana wanajikanyaga hivyo!
 
teh teh teh!!! haya sasa. madaktari wanataka swaaaagaaa
 
duh chuo cha ma witch doc,swagga kwako inaweza kuwa sio swagga kwa mwenzako and vice versa is true, navyoona kama vile umemchukulia mwenzako bibi ake the huyo bibie anajifanya kukwambia bwanake hana swagga
 
Back
Top Bottom