Halotel wana network ya 4g??

Halotel wana network ya 4g??

Ni mobile Wifi router gani hasa Huawei iko compartible na 4G ya Halotel nimejaribu yangu imekataa.
 
mkuu ipotezee tu maana jamaa speed kiducho,
Bora TTCL na Airtel wanaeleweka.
mkuu seems hawa halotel wameblock wifi tethering, atleast kwangu, nikishare wifi na computer ama simu nyengine inakuwa slow ila nikitumia usb tethering ipo fast sana,

halo.PNG

ila kwa speed wapo vizuri, sasa hivi server ndio zinanikwamisha zipo slow na sio internet speed
 
mkuu seems hawa halotel wameblock wifi tethering, atleast kwangu, nikishare wifi na computer ama simu nyengine inakuwa slow ila nikitumia usb tethering ipo fast sana,

View attachment 1208622
ila kwa speed wapo vizuri, sasa hivi server ndio zinanikwamisha zipo slow na sio internet speed
. kwenye mvungu hadi nitakapoona kuna badiliko ndio nitaifukua.
 
Hizo ndio speed zao wanapoanza lakini baada ya muda zinapungua. Mfano tigo walipozindua 4G yao Tarime, Mara hii ndio speed ya siku ya kwanza.
Screenshot_20190522-175644_Speedtest.jpg

Na hii ni baada ya siku kadhaa.
Screenshot_20190916-104524_Speedtest.jpg
 
Haha dah...100 zimekatika fasta

Huu ndio muda wa kushusha games zote ambazo sikucheza ...

Kuhusu speed ilo lazma watabana tu..au wataweka limit baada ya gb 30 labda za kasi then mwendo wa Kobe
Nimepanga GB 100, nimeamka saa 11 asubuhi completed vyote. Wakizindua official hiki kifurushi watakitoa ama watabana speed.
 
Kwa atakaye fanikiwa kupata line ya halotel ya LTE kwa DSM atujulshe humu JF kwa maan na shda nayo kwa maan hapa na ya 3g lkn speed yake ni inatsha
Screenshot_20190917-142111.jpeg
 
Back
Top Bottom