Ppmosile
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 1,232
- 1,890
Na hzo 4g znasupport mikoa yote au ndo DSM tuNimepata line ya 4G hapa duka lao la mlimani city nime-swap kwa gharama ya elf 1000 na wanakupa 4gb
Na hzo 4g znasupport mikoa yote au ndo DSM tuNimepata line ya 4G hapa duka lao la mlimani city nime-swap kwa gharama ya elf 1000 na wanakupa 4gb
Hv kwa mfano kama nnayo ya chuo nkaswap itaendelea vlevle kuwa ya chuo
Kwa atakaye fanikiwa kupata line ya halotel ya LTE kwa DSM atujulshe humu JF kwa maan na shda nayo kwa maan hapa na ya 3g lkn speed yake ni inatsha View attachment 1209797
Sawa kiongozi nmekupataInabaki kuwa ya chuo kama zamani hata yangu ilikuwa ya chuo nimeswap kwenda 4g ona zile ofa za chuo kama kawa
Inabaki kama kawa ona hapa kwanguNgoja tucheki View attachment 1209865
Inabaki kama kawa ona hapa kwanguView attachment 1209890
N kwel mzee ngoja n jarb kuchek kama huku mikoan ntaipat hyo line hl n swapInabaki kama kawa ona hapa kwanguView attachment 1209890
N kwel mzee ngoja n jarb kuchek kama huku mikoan ntaipat hyo line hl n swap
Yeah! Kila kitu kinabaki normal tu..Hv kwa mfano kama nnayo ya chuo nkaswap itaendelea vlevle kuwa ya chuo
Kuswap ni bure kwenye shop zao! We wamekupiga 1k tena? Duuh..Nimepata line ya 4G hapa duka lao la mlimani city nime-swap kwa gharama ya elf 1000 na wanakupa 4gb
Labda alinunua lain mpyaKuswap ni bure kwenye shop zao! We wamekupiga 1k tena? Duuh..

Labda alinunua lain mpya![]()
Kweli! Watu tuna swap bure na unapata 4GB bure za kutumia week ye analipia!Unaclaim vipi 4GB? Sijazipata hizi.![]()
Kweli! Watu tuna swap bure na unapata 4GB bure za kutumia week ye analipia!
Uwa zinaingia kimya kimya kwa baadhi Ya laini inaweza kuwa umezitumia zimeishaUnaclaim vipi 4GB? Sijazipata hizi.
Yaap nimeona ilo bahadhi Ya sehemu wanawatoza pesa hadi elfu 5Sehemu nyingi wanatupiga bei kuswap
China plaza wanaswap kwa buku 2
Halotel makao makuu bureeee
Mawakala wana njaa sio mchezo yaani kuswap tu pesa au zile gb 4 ofa wanataka tuwalipe
Yametimia..Wameweka GB 10 na bei ni 1500Nimepanga GB 100, nimeamka saa 11 asubuhi completed vyote. Wakizindua official hiki kifurushi watakitoa ama watabana speed.
Pa1 kuwa cna utaalam vzur na hch k2 ngoja na mm nkuulze swal.Je Kama Nina simu haisapoti 4G,,,inasapoti 3g je nikiweka line ya 4g speed ya internet unaweza kuongezeka kidogo tofaut na mwanzo nikitumia 3g