Halotel wana network ya 4g??

Halotel wana network ya 4g??

Hio ni 80mbps, sio mchezo mkuu, Voda mwenyewe akasome, speed kubwa ya Voda kuona ni 60mbps.

Hope na wao hawatapandisha Bei ya vifurushi.

Dar nimejaribu mawakala kibao, story na ujanja ujanja mwingi Ila line hawana, sijaenda makao makuu bado.
Mimi niliwauliza kabisa kama wana 4G wakasema hawana, lakini wanategemea kuleta hivi karibuni. Sijui wakuu wanapataje such speeds
 
2600, sio band common, Hapa lazima kuwe na heshima kwa wenye iPhone/Samsung ama flagship na mchina wa Bei rahisi.
Hii band kweli kwa TZ sijawahi iona ona kwenye network ya 4G kuliko 1800 na 2800
 
Hio ni 80mbps, sio mchezo mkuu, Voda mwenyewe akasome, speed kubwa ya Voda kuona ni 60mbps.

Hope na wao hawatapandisha Bei ya vifurushi.

Dar nimejaribu mawakala kibao, story na ujanja ujanja mwingi Ila line hawana, sijaenda makao makuu bado.
Mimi niliwauliza kabisa kama wana 4G wakasema hawana, lakini wanategemea kuleta hivi karibuni. Sijui wakuu wanapataje such speeds
 
Mimi niliwauliza kabisa kama wana 4G wakasema hawana, lakini wanategemea kuleta hivi karibuni. Sijui wakuu wanapataje such speeds
nenda makao makuu ya haloteli mahala husika wana swap line, matawi madogo hawana hizi line kwa sasa
 
what about modems. Wana modem za 4G?
sijaulizia mkuu, ila modem za 4g za bei rahisi ni zantel unapata
D-Link DWM-222
kwa shilingi 25,000 na unaweza kui unlock itumie mitandao yote kwa kuflash software toka official website ya dlink.

nimecheki online ina band 800/1800/2600 hivyo itakubali halotel 4g, sema ni vyema wadau wenye hii modem waki confirm kwanza.
Shaffin Simbamwene
 
Nina royal ila inazingua kwa hapa arusha,nikitoka nje kidogo tu ya mji inabidi nirudishe simu yangu mfukoni,inabaki network ya kutuma msg tu,tena msg yenyewe inapaa baada ya dakika 20
 
Mkuu wapi uhakika unajua wanaswap? Maana nimezunguka Sana na hata customer care hawatoi ushirikiano.
Kwa halotel mkuu kuwa mvumilivu hadi mwishon mwa mwezi au mwezi wa kumi mwanzoni ,naona uongozi wao wamewapa maagizo kwamba wasifanye sim swap kwenda 4g,hadi watakapowaruhusu,maana ilikuwa sio official
 
sijaulizia mkuu, ila modem za 4g za bei rahisi ni zantel unapata
D-Link DWM-222
kwa shilingi 25,000 na unaweza kui unlock itumie mitandao yote kwa kuflash software toka official website ya dlink.

nimecheki online ina band 800/1800/2600 hivyo itakubali halotel 4g, sema ni vyema wadau wenye hii modem waki confirm kwanza.
Shaffin Simbamwene
Bado sijaswap line.
Nipe Ramani kesho nikaswap tuone!!!
Kwa hiyo band 7(2600) Jamaa wamegonga penyewe Wacha niipanguse vumbi One plus 2 A2005 yangu 😁😁
 
Kwa halotel mkuu kuwa mvumilivu hadi mwishon mwa mwezi au mwezi wa kumi mwanzoni ,naona uongozi wao wamewapa maagizo kwamba wasifanye sim swap kwenda 4g,hadi watakapowaruhusu,maana ilikuwa sio official
Naona Voda mnataka kuzuia Counter attack!!!
Kesho nitawaibukia nijue mbivu na mbichi.
Chief-Mkwawa je hawana zengwe hao jamaa au wanatoa kama Bhangi?
 
Chief-Mkwawa Tayari nimeswap kwenda 4g ila maeneo ya huku kwetu haipo stable.
Oneplus 2 A2005 Inasoma ukiforce kwenye 4G only.
Modem ya Zantel DWM-222 ukiiswitch kwenye 4G haisomi hata kwa dawa.
Nahisi hii modem Itakuwa inatumia band 38(2600MHZ) na Siyo band 7(2600MHz) ya hawa Halotel.

IMG_20190910_122228.jpg
 
View attachment 1203681
Shukran kwa mrejesho mkuu,
 
Back
Top Bottom