Inashda gan kwan had hucielewHii 4G ya voda ndio siielewi
Mwanza hakuna 4g ya vodaHv Mwanza voda, wana 4G kweli?Maana nlijaribu siku 1 sikuipata nshawahi itumia nlpokua Dom na Dar tu...
Sawa mkuu..Mwanza hakuna 4g ya voda
Ndo maana nkasema kuwa 4g ya halotel bado haijasambaa bora hata tgo na voda wana 4g mpk kjjn
Mbn mm npo huku miliman masama kilimanjaro 4g ya voda na tigo inakamata vzur bla tatzKuna sehemu kibao tu VODA hajafika.
Mbn mm npo huku miliman masama kilimanjaro 4g ya voda na tigo inakamata vzur bla tatz
Kwan issue kushk 4g ni milima au eneo ulpo kama kun mnara wa 4gMilimani ni. Kuzur ungekuwa mabondeni ukaona.