Shaffin Simbamwene
JF-Expert Member
- Nov 16, 2008
- 2,156
- 1,539
Poa poa.Shukran kwa mrejesho mkuu,
Huku nadhani mnara wa 4G upo mbali na Manzese so speed haijachangamka bado.
Hata 3g yao ipo vizuri kushinda 4G
View attachment 1203693
Poa poa.Shukran kwa mrejesho mkuu,
Hii band Ni pasua kichwa mkuu, ukiwa nje pia huipati?Poa poa.
Huku nadhani mnara wa 4G upo mbali na Manzese so speed haijachangamka bado.
View attachment 1203693
inapanda na kushuka!!!!Hii band Ni pasua kichwa mkuu, ukiwa nje pia huipati?
Inawezekana kuwa na band zaidi ya moja mkuu, Tigo na TTCL Wana bands mbili.Halotel 4G hapa Bukoba inaonyesha band inayotumika ni B1 2100MHZ vipi wanaweza kutumia band tofauti kulingana na location.Kwenye router imekataa lakini kwenye simu naipata vizuri.View attachment 1204528View attachment 1204530
Inawezekana kuwa na band zaidi ya moja mkuu, Tigo na TTCL Wana bands mbili.
Bado wako kwenye majaribio tuwape muda kwanza.View attachment 1205030
View attachment 1205031
Tabata Matumbi hiyo Barabarani kabisa hapa Mandela rd.
Hii 4g ina ukakasi kwakweli maana simu nimeiweka auto alafu kitukinasoma 4g mda wote tena signal zinajaa full but speed kichekesbo.
mkuu Mimi shinda yangu kubwa Ni ping kwa ajili ya kucheza games online, Sasa Hivi napata shida Sana na Voda japo vifurushi ghali inabidi niunge hivyo hivyo.
Sichezi mkuu Hilo gamechief mkawa pubg mobile unatumia id gani niku add
Sichezi mkuu Hilo game
Tatizo ni band mkuu! Em Google bands za 4G zinazotumiwa na hizo sim zako uone kama 2600 ipo...Halotel 4G ni pasua kichwa nimejaribu simu mbili imegoma (IPhone 6s Plus ,One plus )
4G bands za IPhone 6s,,,, Alafu hiyo OnePlus ndo sim gan?Halotel 4G ni pasua kichwa nimejaribu simu mbili imegoma (IPhone 6s Plus ,One plus )
Maana najua zipo models nyingi mkuu za OnePlus... Naona 2600 haipo hapo mkuu4G bands za IPhone 6s,,,, Alafu hiyo OnePlus ndo sim gan?Maana najua zipo models nyingi mkuu za OnePlus... View attachment 1206227
Hatuwezi kujua mkuu, unless utaje eneo Kama Kuna mtu karibu tunafanishie na speed anayopata.Kibukila ,CHIEF MKWAWA hizi takwimu za speed test nitajuaje eneo langu internet ni kubwa sana yaani nielewesheni maximum ni ipi na minimum ni ipi maana mimi sio mtaalamu wa juu wa utambuzi wa internet
Ila hii Ni 3G, Kama 4G ipo then speed itaongezeka.