Halotel MIFI

Halotel MIFI

nyumbani kwenu

Senior Member
Joined
Aug 11, 2020
Posts
159
Reaction score
169
Habarini wana Jf, anaemiliki hiki kifaa cha halotel MIFI, ambayo wamekitangaza hivi karibuni, atusaidie kutoa mrejesho, speed yake ya internet ikoje, kifaa kinakaa na chaji kwa muda gan, na iyo ofa wanayokupa ya unlimited internet ya 10mbps mwanzon wa kununua kifaa ni kwel?
 

Attachments

  • IMG_4436.jpeg
    IMG_4436.jpeg
    116.1 KB · Views: 1
Back
Top Bottom