Halotel wana network ya 4g??

Halotel wana network ya 4g??

Pa1 kuwa cna utaalam vzur na hch k2 ngoja na mm nkuulze swal.

Je kama cm yng ikiw inasupport 4G na nmeweka lne ya 3G kasi yake itakuaj?

Swali lngne niambh kat ya cm na line ipi inayomboost mwenzak.
Kikawaida ukiweka line ya 3G kwenye simu ya 4G utapata tu speed ya 3G, Ila Ni vyema kuwa na simu ya 4G maana utapata modem ya kisasa ya 3G pia.

Simu karibia zote za 4G Zina maximum theoretical speed ya 3G yaani 42mbps, hii inapita baadhi ya simu za 3G zisizo na 4G zenye speed ya 7.2mbps ama 14.4mbps.

Kwa lugha nyengine Kuna simu za 3G zisizosupport H na H+ (Hspa) zinakubali tu technology za zamani Kama WCDMA, hivyo ukiwa na simu ya 4G Ni uhakika 3G yako itakuwa na HSPA.

Kuhusu simu na line vinaenda sambamba. Simu inakuwa na technology husika kwenye modem yake na line inatumia hizo technology, kitu kimoja kikimiss toka kwa mmoja wapo haitafanya kazi. Mfano simu ikiwa na 4G na laini haina 4G simu haitashika 4G, vice versa pia Ni sawa, Lina ikiwa na 4G na simu haina 4G pia simu haitashika 4G, inabidi technology iwe kotekote.
 
Sijui tatizo ni sim nnayo tumia au laa
Baada ya kuona huu uzi nili enda china plaza

Nika sajili line ya chuo tshs 7000
Nika swap kwenda 4G tshs 2000
Vocha nika weka ya tshs 2000 week GB 5
Natumia internet ila haisomi 4G LTE ina ishia kusoma 4g tu sim ni izi LG G3 at&t mda wote ina icon ya 4g lakin speed ya kawaida kama 3g

Wataalamu emb nisaidien nifanyaje

Screenshot_2019-09-21-10-54-28.jpeg
 
View attachment 1212712
Hizi simu za kimarekani uwe na 3G ama 4G zinaandika 4G. Ulikuwa Ni mchezo wao kuwadanganya wateja kwamba Hspa Ni 4G.
 
Sijui tatizo ni sim nnayo tumia au laa
Baada ya kuona huu uzi nili enda china plaza

Nika sajili line ya chuo tshs 7000
Nika swap kwenda 4G tshs 2000
Vocha nika weka ya tshs 2000 week GB 5
Natumia internet ila haisomi 4G LTE ina ishia kusoma 4g tu sim ni izi LG G3 at&t mda wote ina icon ya 4g lakin speed ya kawaida kama 3g

Wataalamu emb nisaidien nifanyaje

View attachment 1212712
2000 gb 5 kwa wiki? Kifurushi gani hicho mkuu
 
Mnipe ushauri guys nilikua natumia Tigo saizi yako gb2 kwa buku 2 siku 3 sasa leo naona wamepandisha ni buku 5 gb 1 nataka kuhama mtandao wa net.
Sasa mtandao gani nitapata vifurushi kwa bei nafuu kidogo ila isiwe ttcl maana tabata haisomi kabisa net.
 
Ttcl si wanatumia minara ya Tigo pia? Umeweka roaming?

Ukitoa ttcl Kuna Airtel (uwe na line ya chuo) na Halotel (huna haja ya line ya chuo).

Mitandao yote miwili inatoa mb sawa na shilingi moja yaani kwa 500 unapata mb 500, 1000 unapata 1GB, 2000 2GB etc.
 
2000 gb 5 kwa wiki? Kifurushi gani hicho mkuu
Kifurushi ni cha chuo uki enda kweny menu wame andika tshs 2000 gb 1.5 plus 500 mb kweny youtube
Ila ukisha kinunua wana kupa Gb 5 ndo mwenyew nilipo shangaa maana kifurushi kina kwisha j3 ila salio nime angalia sasa hiv nna kama 2.6 Gb zilizo salia mpka sasa
Screenshot_2019-09-21-11-52-24.jpeg
Screenshot_2019-09-21-11-51-48.jpeg
 
Ttcl si wanatumia minara ya Tigo pia? Umeweka roaming?

Ukitoa ttcl Kuna Airtel (uwe na line ya chuo) na Halotel (huna haja ya line ya chuo).

Mitandao yote miwili inatoa mb sawa na shilingi moja yaani kwa 500 unapata mb 500, 1000 unapata 1GB, 2000 2GB etc.
Asante mkuu nadhani halotel anaweza saidia hapo.
 
Ttcl si wanatumia minara ya Tigo pia? Umeweka roaming?

Ukitoa ttcl Kuna Airtel (uwe na line ya chuo) na Halotel (huna haja ya line ya chuo).

Mitandao yote miwili inatoa mb sawa na shilingi moja yaani kwa 500 unapata mb 500, 1000 unapata 1GB, 2000 2GB etc.
Hiyo roaming siijui kwakweli mkuu.
 
Nimecheki saiz hapa naona imerud bei ya mwanzo,jana usiku ikabdi nisijiunge mana nilikuta 1500 kwa gb 10
Au ulichanganya night offer na vifurushi maalum? Maana halotel Wana vifurushi viwili vya usiku, kimoja 1000 na chengine 1500.
 
Au ulichanganya night offer na vifurushi maalum? Maana halotel Wana vifurushi viwili vya usiku, kimoja 1000 na chengine 1500.
Itakua nilichnganya...niliingia Internet nikakuta night pack kama kawaida..ila bei ikawa tofaut

Basi ngoja leo niwape tabu
 
Nimekitumia jana Lakini speed wameshusha sana! Hata 3GB sikudownload!!

Sidhani kama ni wao sababu japo sikuwa na kazi kubwa kwa jana ila speed hii ilinitosha ukizingatia pia bado nipo na chip ya 3G.
IMG_1779.jpg
 
Back
Top Bottom