Halotel wana network ya 4g??

Halotel wana network ya 4g??

Habari wadau ivi halotel wamezindua huduma ya 4gView attachment 1198134
Ni FIRE Hii itatufirisi pesa za bundles sasa! Wacha usiku ni subscribe Ramadan Ofa ya 1k nitetemeshe server!
Screenshot_20190909-125931.jpeg
Screenshot_20190909-124407.jpeg
IMG_20190909_130121.jpeg
 
Katika harakati zangu Za kutafuta mtandao wenye ahueni, Nimepenyezewa ka nyuzi Halotel wanazindua 4G Yao rasmi ndani ya siku 3. Kwa speed nasikia haitakuwa na mpinzani kwani mitambo Yao ni ya kisasa zaidi (Sina uhakika though ni kweli au ni marketing tu)
 
Claim Kama hizi zilikuja kwenye 3G na ilipotoka ilikuwa vizuri, wateja walivyojaaa kidogo speed ikawa ya Kobe,

Unless wawe wamefanyia kazi capacity Yao na hio 4G watu wakijaa pia itakuwa slow. Wanao enjoy halotel Ni wale wanaokaa maeneo yenye watu wachache Kama wilayani.

Ushauri wangu kwa Tanzania usifunge ndoa na mtandao mmoja, we angalia upepo tu, kwenye speed na huduma nzuri hamia huko, ukiona wanazingua Hama tafuta kwengine.
 
Duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuhh!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Spidi kama hii nimeshawahi tumia chuo ambapo kulikuwepo na Fibre Optic connection. Nimefurahi sana kwa kuwa najua spidi zitacheza hapa, maana ninapoishi watumiaji wa Internet wachache sana. Naomba Halotel walete vifurushi vinavyoendana na hii spidi
 
Hata hapa Mwanza mjini watumiaji wa Halotel ni wachache sana! Ukilinganisha na Voda, tiGO na Airtel....
 
Hio ni 80mbps, sio mchezo mkuu, Voda mwenyewe akasome, speed kubwa ya Voda kuona ni 60mbps.

Hope na wao hawatapandisha Bei ya vifurushi.

Dar nimejaribu mawakala kibao, story na ujanja ujanja mwingi Ila line hawana, sijaenda makao makuu bado.
Mkuu hiyo App ya Ebay 43MB nme download kwa sec 2 tu duuh... Mkuu hii speed inafaa kwa Unlimited ya Ramadan Ofa... Maana bundles za kupima tutafirisika tu... Nafikiri hata Loyal bundle ita make sense kwa hii speed baada ya zile GBs za kasi kuisha...
 
mkuu Mimi shinda yangu kubwa Ni ping kwa ajili ya kucheza games online, Sasa Hivi napata shida Sana na Voda japo vifurushi ghali inabidi niunge hivyo hivyo.
 
Halotel 4G LTE band B07 aka 2600
Screenshot_20190909-174205.jpg

Na 2x2 antenna Kama sijakosea Ni LTE Advance,

Kwa hii frequency watakimbiza Sana sema signal kwa indoor zitakuwa weak.

Speed
Screenshot_20190909-174544.jpg

Ila ping bado hawajani convince Sana.
 
Back
Top Bottom