Wengine sema wewe inakusumbua huku halo iko bomba sana. Kwetu huku Tigo mpaka utafute kichuguu ns Voda bora Airtel . Ttcl mtandao wa mjini tu tusiongopeane nje ya mji hawana nyimbo hata vocha hupati.
Uongo kwa upande wako maana eneo Ulipo haisumbui, wengine inatusumbua

