Halotel waja kivingine

Halotel waja kivingine

Niliwahi kuwajaribu lakini speed ya internet ikiwa ndogo mno kiasi kwamba niliichukulia kama kiro.
Sasa sijajua kama ni eneo nililokua au ni mtandao wenyewe.
.
Na vipi kuhusu line kusajili si ni mpaka upeleke dole gumba ofisini kwao?
dole gumba ni kuanzia mwezi ujao bosi
 
Kwa kupitia menu yao ya halopesa,yaani *150*88#,kisha namba 3 yenye vocha na vifurushi,kisha namba 2 yenye mega bando, halotel wanakupa mb 500 na dkt 50 kwa siku kwa sh500,1gb na dk 100 kwa wiki kwa sh 1000 na gb 15 kwa mwezi kwa sh10000.Ahsante Halotel.Mkombozi wa mawasiliano vijijini.
Imekaa vizuri
 
Halotel kuna muda unaweza kuhisi ni scam
 
Net ipo slow sana ila kwa kuwa kuna GB kibao tunabembeleza hivyohivyo hakuna namna
 
Hivi ile 4g coming soon ambao vijana wa Halotel walikuwa wanavaa kwenye T sheti, imefia wapi?
 
Tangu tigo wapunguze zile gb 4 kifurushi cha usiku nilikua natafuta mbadala ngoja niwajaribu hao halotel
 
Back
Top Bottom