Hivi ule mtandao wa Halotel wa wanyonge uliishia wapi?

Melki the Storyteller

JF-Expert Member
May 3, 2022
5,701
9,779
1. HALOTEL
Hawa jamaa ili upate MB za maana unatakiwa uweke salio kwenye Halopesa kisha piga *150*88# kisha chagua namba 3 utachagua Mega Bando
Tsh 1000 = GB 1 kwa siku 7
Tsh 3000 = GB 3 kwa siku 7
Tsh 500 = GB 1 saa 6 usiku mpaka 12 asubuhi

Nowdays wanachokifanya ni bla blaa tu. Full kudanganywa tu, mara eti hii ni laini ya chuo, mara ooh! Hii ni laini ya Chamwino, na mbwembwe nyingine kibaaao

Ila yote kwa yote, still ni mtandao unaoshikilia kinara kwenye masuala ya wepesi wa bando la internet kulinganisha na mitandao mingine ya kitajiri

Wafanye namna walau kwenye ule muda wa usiku. Au kama ni ngumu watufungulie Home Wi-Fi kwa gharama nafuu

Karibuni ibadani, tuko kwenye mapambio
 
.
IMG_20230828_170153.jpg
 
Hii michezo anacheza samia na yule nape ili wabongo wasipate internet ndo maana wanaviminya vifurushi
 
Back
Top Bottom