Halotel waja kivingine

Halotel waja kivingine

Halotel mizinguo tu netwerk yao mpaka upande kwenye mti ndo unapata 3G ukishuka tu network E... Watafaid wachache sana hii huduma
 
Pole mkuu.Huku kwetu halotel ndio mkombozi haswaaaaaaaa.
 
Halotel mizinguo tu netwerk yao mpaka upande kwenye mti ndo unapata 3G ukishuka tu network E... Watafaid wachache sana hii huduma
Huwa namshangaa mtu anaposema mtandao Fulani haufai kwa sababu network yake ipo chini, hili si kweli mtandao kupanda inategemea na eneo ulilopo ,unaweza kuta mahali ulipo Halotel haina nguvu lakini kuna mwingine alipo unakuta ina kasi tu....Kwahyo mtandao kuwa na kasi ama kutokuwa inategemea na eneo ulilopo na si kujumuisha kwamba mtandao Fulani upo slow kwenye net
 
Ni kweli, lkn Halotel imezidi. Sehemu nyingi internet haishiki vizuri na sio nje ya mji.
 
Huwa namshangaa mtu anaposema mtandao Fulani haufai kwa sababu network yake ipo chini, hili si kweli mtandao kupanda inategemea na eneo ulilopo ,unaweza kuta mahali ulipo Halotel haina nguvu lakini kuna mwingine alipo unakuta ina kasi tu....Kwahyo mtandao kuwa na kasi ama kutokuwa inategemea na eneo ulilopo na si kujumuisha kwamba mtandao Fulani upo slow kwenye net
Yan kiongoz mara yakwanza mtandao ulkuwa vzur cjui lmeharibika sikuiz mpaka tupande kwenye mlima au mti hivyo ile sehem yenye 3G had nyas zmekauka tokea mwez wa1
 
Nilikuwa natumiaga hii,ilikuwa 6000 th kumi,walivyokuja kupunguza gb nikawahama...ngoja nirudi tena.
 
Back
Top Bottom