Marketing manager wa vod....Network mbovu.
Simalizi Mb 20 kwa siku
Mwenye uzi ni market manager wa hatlMarketing manager wa vod....
Hawa jamaa wapo vizuri,namiliki laini yao kwa ajili ya data tu na speed ni balaa ndio maana nakushangaaMwenye uzi ni market manager wa hatl
Unaishi Tanzania nzima?Hawa jamaa wapo vizuri,namiliki laini yao kwa ajili ya data tu na speed ni balaa ndio maana nakushangaa
Ndio hiyo niliyokuwa nazungumzia mkuu!!!Hivi ile 4g coming soon ambao vijana wa Halotel walikuwa wanavaa kwenye T sheti, imefia wapi?
Ndio mkuuUnasajili line mkuu?
Tatizo networkBado hakujanoga mkuu
Tigo na voda kinachowapa jeuri ni speedIla Tigo na Voda hawapo serious kabisa na sisi,yani kutufanyie usiku pack GB 2 Daah acha nibaki Halotel GB10.....
Tena hao tG ndio wa hovyo kabisa!Ngoja nikajitafutie laini yao chap....huku Tigo na Voda ni magumashi tu
Hawana nia nzuri kabisa na sisi Hawa,wanachotaka ni kutukamua tuTena hao tG ndio wa hovyo kabisa!
We nenda kajaribu Yupo sawa kwa sisi watumiaji Wa halopesa tuna offer hyo?Ebu tuweke sawa 10k ilikuwa gb6 kwa mwezi, wewe unasema 10k ni gb 15 nadhani umekosea
Aisee wewe sio mzima kabisaBila shaka wewe utakuwa umetoka moja kati ya maeneo haya, Bariadi, Chato, Lamadi, Kakola, Misungwi au Kishapu.
maelezo tafadhali kwa hiyo idmyaani kama unatumia idm kwa pc au adm kwa smartphone sio lazima ukeshe ni kustart download tu na kulala