Halotel waja kivingine

Halotel waja kivingine

Utoto huo, hizi limitation za kijinga jinga zipo Africa tu. Ulaya internet unailipia kama Bima. Aidha utatumia ama usipotumia wenzio watatumia sehemu yako uliochangia na mtandao ni wa kasi ya ajabu bila limits hata uache laptop ina stream youtube mwezi mzima huduma haikati.

Ni wewe tu utachagua uache kazi ushinde mtandaoni au uende kazini maana mwisho wa mwezi bills zinakusubiria na hamna msalia mtume, ulaya hamna mda wa kupoteza labda uwe filthy rich.
Hata ttcl nao wanalimitations kwenye Kifurushi flani Unapewa GB 4 ila GB 3 unatumia usiku tuu
 
Hata ttcl nao wanalimitations kwenye Kifurushi flani Unapewa GB 4 ila GB 3 unatumia usiku tuu
Sasa si utoto huo, wanajua kabisa muda wa ala za roho wenye mabibi zao watakuwa wanabinjuana tu. We umetengewa papuchi utakimbilia laptop??? Nevaaa!!! Wao ndio wanatembea na hilo Gap utajikuta kwenye GB4 utakuwa umetumia moja tu maana mpaka kufikia saa 6 usiku ushapiga vitu vyako umelala.
 
Hapo ndio patamu...
Ila kwa hiyo pesa 10000 afadhali waweke limit tu.
Maana huwezi spend 15gb kwa 10000 in one or two days mkuu.
Ni afadhali ujinyime usingizi kwa zile night bundle kwa 1000, 10gb or unlimited.
Hiyo bundle ya night inaanza saa ngapi?
 
Internet ipo VODA tu wengine wote wajirekebishe NO HARD FEELINGS!!!!!
 
Halotel kwangu ndio namba 1 upande wa internet kwa eneo nilipo mimi.
Nimeipenda hii menu ya kwenye halopesa.
Ila najijuaaa nikiweka huu mzigo wa gb15, najua mwezi hauishi nishazimaliza.
Huo unalimit kwahy lazima utoboe yan kwa mwez maana kila siku wanakupa Mb 500
 
mi hua naandaa list, saa sita kamili nazipanga kwenye idm movie zote na series nakadiria kama gb 9 hivi nalala zangu, nikishtuka au nikiamka nakuta mzigo upo vizuri.
 
Airtel bhandugu, yani siiachi walaii
Screenshot_2019-04-24-10-23-19.jpeg
 
Kuna mambo mawili mkuu
1. Mtandao unawezakuwa na vifurushi vizuri shida ikawa ni network kulingana na eneo.

2. Mtandao ukawa na speed nzuri shida ikawa bandles zao mb kiduchu.

Mfano hiyo Airtel nilipo mimi ina 3G lakini haifungui hata picha yenye 10Kb.
hii ni kweli, nishaunga cha usiku, sikutumia hata mb 1! tangu siku hiyo niliwatoa airtel kwenye orodha
 
Ni kweli mkuu, nikiwa mbeya mjini huwa ni mtandao wangu ila huku nilipo nikitaka kuchati sharti nitoke nje ya nyumba ni kero kwa kwenda mbele navumilia tu
Kuna mambo mawili mkuu
1. Mtandao unawezakuwa na vifurushi vizuri shida ikawa ni network kulingana na eneo.

2. Mtandao ukawa na speed nzuri shida ikawa bandles zao mb kiduchu.

Mfano hiyo Airtel nilipo mimi ina 3G lakini haifungui hata picha yenye 10Kb.
 
Kwa kupitia menu yao ya halopesa,yaani *150*88#,kisha namba 3 yenye vocha na vifurushi,kisha namba 2 yenye mega bando, halotel wanakupa mb 500 na dkt 50 kwa siku kwa sh500,1gb na dk 100 kwa wiki kwa sh 1000 na gb 15 kwa mwezi kwa sh10000.Ahsante Halotel.Mkombozi wa mawasiliano vijijini.
nimejiunga mapema jana hii ni kwa wale wenye line za chuo peke yake ama wote mkuu?
 
Back
Top Bottom