Utoto huo, hizi limitation za kijinga jinga zipo Africa tu. Ulaya internet unailipia kama Bima. Aidha utatumia ama usipotumia wenzio watatumia sehemu yako uliochangia na mtandao ni wa kasi ya ajabu bila limits hata uache laptop ina stream youtube mwezi mzima huduma haikati.
Ni wewe tu utachagua uache kazi ushinde mtandaoni au uende kazini maana mwisho wa mwezi bills zinakusubiria na hamna msalia mtume, ulaya hamna mda wa kupoteza labda uwe filthy rich.








Pengine wanataka na mambo mengine ufanye.Nilisema kabla kwamba hicho kifurushi wamekiwekea limitation Kuna Vichwa humu vilikuwa vinabisha.
Unlimited ya kweli ilikuwa Enzi zile za CProxy, PDproxy, pdvpn,NMD VPN na Tunel Guru.
Muda wote unaterezesha tu hadi TB inajaa







Airtel bhandugu, yani siiachi walaiiView attachment 1079681
Hamna mkuu TTCL zile 3.5 zinaanzia saa 2 usiku so nikianza kushusha vitu kwa mwendo wa 4G hata saa 3 usiku haifiki.Sasa si utoto huo, wanajua kabisa muda wa ala za roho wenye mabibi zao watakuwa wanabinjuana tu. We umetengewa papuchi utakimbilia laptop??? Nevaaa!!! Wao ndio wanatembea na hilo Gap utajikuta kwenye GB4 utakuwa umetumia moja tu maana mpaka kufikia saa 6 usiku ushapiga vitu vyako umelala.
Lakini ni kuanzia saa 2 boss na kama 4G inakamata vizuri maeneo yenu wala haichukui Muda kitu kina kuwa chali!!Hata ttcl nao wanalimitations kwenye Kifurushi flani Unapewa GB 4 ila GB 3 unatumia usiku tuu
Hiyo ni kwaajili ya kile cha usiku 10GB kuanzia saa 6 siyo bandika bandua ya 4GB maana nazimalizaga mapema kabla ya mda wa shangazi haujafikaMkuu wengi tunafanya hivi unaandaa kabida list yako ya files unazo taka ku download hiyo siku then unaziachia.
Una rudi kuhudumia ndoa 12 Asubuhi unahakiki tu umekamua Gb ngapi?
Ila ruksa kukesha pia.
Kama hivyo sawaHamna mkuu TTCL zile 3.5 zinaanzia saa 2 usiku so nikianza kushusha vitu kwa mwendo wa 4G hata saa 3 usiku haifiki.
*149*81#Mkuu nielekeze namna ya kupata hivi vifurushi kwa airtel!!
Hao ni Halotel boss nilishaachana nao maana kiaanza saa 5 au 6 Afu speed sio kabisa huku kwetu mbaya zaidi kina disconnect ovyo wakati siruhusiwi gusa laptop baada ya saa 4 usikuKuna cha 10Gb, na cha unlimited
Cha unlimited pitia kwenye
Ofa maalum. Baada ya kupiga *148*66#
Kiliwekwa l think tangu Ramadhani ya 2018.
Vp mdau mbona washarudsha saiv freshToka voda wazngue halotel amekuwa mfariji wangu
TTCLMtandao gani huu mkuu, maana kazi zangu na online ni samaki maji
hichi cha toka ramadhani sikijui ajabu kila siku niko kwa menyu ya *148*55# hope ntakifuatilia.Kuna cha 10Gb, na cha unlimited
Cha unlimited pitia kwenye
Ofa maalum. Baada ya kupiga *148*66#
Kiliwekwa l think tangu Ramadhani ya 2018.