Haloo!!! Hapana chezeya kuwa dumped. Unaweza kunywa sumu

Haloo!!! Hapana chezeya kuwa dumped. Unaweza kunywa sumu

WHAAAATTTT!!!!!
7YRS!!!
GF & BF!!!
Aiseeeeeeee!!!! Hadi nmeshtuka!
Kwanza pole kwa jamaa maana kama binadam stress inauma,pili
the 'girlfriend' was smart, aliona hakuna mwelekeo,anazidi kusuguliwa bila faida akaona isiwe tabu! Na beleive me huyo mume utakuta ameanza nae long like a year or, maana inaelekea hajakurupuka.
We jaman kukaa na mtoto wa mwenzio unamhold namna hiyo,ninini!
Huyo cousin wako mpe pole sana,mwambie atapata wa ubavu wake,Mungu atampa,ila asikae nae muda mrefu.
Wadada tunazeeka mapema, mwanaume hata miaka 60 ataoa esp awe na uwezo, tena ataoa binti mbichiii...!!!
Ila sie miaka 30 ikifikisha wakaka wanakuona kiporo!

Kutendwa kunauma ila lakini, i'been there i know how it feels Atake time though, kovu litapoa ila akome,chelewa chelewa mwali atachukuliwa.
 
Kaka hizi mambo zisikie kwa watu tu, ila ukiwa mhusika lazima ukose uchangamfu kwa muda!
Kibavu uko sahihi sana, mi pia nimepita njia hiyo inauma sana, tena sana ni maumivu yasioelezeka kwa wepesi acha kabisa.

U can imagine, miaka minne ya uhusiano ghafla mtu anaibua sababu zisizokuwa na kichwa wala miguu, eti ndugu zangu wamenishauri niachane na uhusiano..

Kibaya zaidi muda wote huo wa uhusiano mnakuwa hamkuwahi kuivunja ile amri ya6..
So painful, mpe pole mjomba.

Na Wewe Kibavu usiwachukie wanawake hivo,, haya mambo yapo tu mkuu.
 
Royna umeongea ukweli mtupu...Kwa sasa nahisi sina hamu hata ya kuwa na mahusiano na hata sifurahii 'mechi' kabisa mpaka nahofia uwezo wangu usije fika mwisho hata kabla sijaoa
Kibavu, ni bora mwanamke akuache kwenye uchumba kuliko kuishi ndoa ya taabu. je ungemuoa akakucheat na aliyemuoa ungefanyaje? tafadhali, nakuomba mfute yule mdada akilini, omba Mungu akupe mwingine,anaweza kuja kuwa mzuri kuliko huyo mdada, na ukawa na ndoa nzuri sana. Ushauri wangu ni uangalie tu usije ukawa mume mbaya kwa mkeo ajaye kwa kutumia bad experience ya nyuma! It is you and your children that will suffer. Halafu angalia usientertain sana kuwaza hiyo kitu, inaweza kukuathiri nguvu za kiume na hata kwenye uzazi.
 
WHAAAATTTT!!!!!
7YRS!!!
GF & BF!!!
Aiseeeeeeee!!!! Hadi nmeshtuka!
Kwanza pole kwa jamaa maana kama binadam stress inauma,pili
the 'girlfriend' was smart, aliona hakuna mwelekeo,anazidi kusuguliwa bila faida akaona isiwe tabu! Na beleive me huyo mume utakuta ameanza nae long like a year or, maana inaelekea hajakurupuka.
We jaman kukaa na mtoto wa mwenzio unamhold namna hiyo,ninini!
Huyo cousin wako mpe pole sana,mwambie atapata wa ubavu wake,Mungu atampa,ila asikae nae muda mrefu.
Wadada tunazeeka mapema, mwanaume hata miaka 60 ataoa esp awe na uwezo, tena ataoa binti mbichiii...!!!
Ila sie miaka 30 ikifikisha wakaka wanakuona kiporo!

Kutendwa kunauma ila lakini, i'been there i know how it feels Atake time though, kovu litapoa ila akome,chelewa chelewa mwali atachukuliwa.
  • Huwa naamini na naendelea kuamini linapokuja swala la mahusiano "girls are very smart"
 
Usiombee yakukute kama yaliyo mkuta binamu yangu aliye kula yamini kwa just a girlfreid tu. After 7 years ya mapenzi yao motomoto yaliyo kuwa kama shamba darasa kwa sisi wengine tusio kuwa na uwezo wa kuinvest sehemu moja, kapigwa chini.

Just imagine seven years alikuwa akiwaona wasichana wengine wote as if wanaume wenzake kwa kuhakikisha anatunza uaminifu kwa mpezi wake. Alihakikisha maitaji yaliyo magumu na mapesi kwa mpenzi wake anampatia. Alifanya yote hayo ili mpenzi wake asijutie kuwa naye.

Kipindi ambacho ameanza kufikiria kumuoa, ehee binti kamjia na kali ya mwaka. Binti kamwambia is over between them coz someone kisha peleka posa kwao. Namnukuu binti alivyo muambia (Naomba usinielewe vibaya, nimepata shinikizo kutoka kwa wazazi ndugu jamaa na marafiki niolewe. Nisamehe sana)

Mapenzi bhaana, nouumaa. Binamu yangu kawa mlevi wa kupindukia, sigara na yeye. Anajiuliza why akumuambia kama anaitaji kuolewa!!!! Ili afanye haraka haraka kutimiza ndoto zake.

Amechanganyikiwa sana, hata mipombe anayo kunywa aimsaidii chochote. Sababu kila siku akiamka ajielewe anaenda wapi, ametoka wapi. Anaona ugumu wa kuanza na mpenzi mpya, Kikubwa ambacho naona kinamsaidia ni kupungua kilo coz jamaa alikuwa overweight.

Husia wangu kwa nyinyi vijana ambao mnatoa roho zenu kuwapa wapenzi wenu as if ni mioyo yao. Muache haraka sana, mtakufa siku si zenu. Msijiwekee mzima mzima, miguu yote ndani kama mazuzu.

Halafu kitu kimoja unaweza fanya majaribio uone tu kama ina work or not. (Ukitaka kufitinisha mapenzi ya watu, tangaza ndoa kwa msichana) just fanya yale ya mwanzoni mwanzoni, mtambulishe kwenu ili umuakikishie kama unamuoa. Utasikilizia habari yake.
mwanamke mwaminifu ni mama mzazi peke yake aliyekubali kubeba mimba na kukuzaa, wengineee usijidanganye nao ni majanga tu
 
  • Huwa naamini na naendelea kuamini linapokuja swala la mahusiano "girls are very smart"
my dear... girls are smart! wale wadada wa zamani wa me nawewe milele aisee alizikwa nazo Nyerere..wadada wa saivi (baadhi)ili kupunguza machungu wanabalance ili likitokea lakutokea haumii sana!its all about timing and playing safe nakuwa focused..bhaas
 
ila miaka saba maee ode ma! kiruu! :A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1:
 
Kwamtoro,umeonyesha mwanamke tu ndo kakosea!
Y asiwe huyo binamu?,manaake ukute binti wa watu ameona hakuna future je?...yaani hyo binamu anasubiri aambiwe kwani yy haoni?

7yrs? Ndo yaleyale,yaliyonifanya nione wanaume wote walewale!
Lkn Mungu mwema lyf goes on

....binafsi nilikuwa na bf nimekaa nae since form 3 mpaka form 6,ile naingia tu chuo, akaoa!!!ulishawahi kujua hayo maumivu yake ya mtu ambae unajua ndo mume wako kuoa?(yy ndo sbb ya mm kuwa portable up 2 date,na ishapita miaka kadhaa).
Bt thanx God niko ok nw
..so msitulaumu tu wadada ht nyie mnasababisha
Mimi moyoni mwangu ki ukeli kabisa, naamini kila mahusiano siyo lazima yaishie na ndoa. Ndoa ndio imekuwa tatizo kubwa sana kwa wadada wengi kumegwa kwa kurubuniwa. Binafsi Nikiwa na girlfreind she must know kwamba mapenzi siyo lazima yaishie na ndoa. Kwa hiyo kwangu kuachwa, kuacha ni kitu cha kawaida. Back years nilikuwa player, nimepata udhoefu mwingi sana wa haya makitu mapenzi.
 
duh angalieni asiozeshe figo,mapafu na maini wakati mwenzie anakula bata huko kwa raha zake

Hata wanawake wenyewe wanasema msitupatie asilimia miammoja. wakimaanisha muwe na wengi. walau watatu hata wanne. Wakati mwingine hata sio lazima kugegedua yaani. ili ila ukishaoa bila kujali umefunga ndoa, ndo tulia. lakini haya ya kwenye simu, aaaaaaaaaaaa wap
 
...katika mapenzi kuna kuchezewa kweli? au maneno ya mkosaji?
 
Husia wangu kwa nyinyi vijana ambao mnatoa roho zenu kuwapa wapenzi wenu as if ni mioyo yao. Muache haraka sana, mtakufa siku si zenu. Msijiwekee mzima mzima, miguu yote ndani kama mazuzu.
Hii huwa inatokea automatically mkuu
 
my dear... girls are smart! wale wadada wa zamani wa me nawewe milele aisee alizikwa nazo Nyerere..wadada wa saivi (baadhi)ili kupunguza machungu wanabalance ili likitokea lakutokea haumii sana!its all about timing and playing safe nakuwa focused..bhaas

take a kiss mwaaaaaas!!!!!
 
mdada alikuwa anataka ndoa,mjamaa anachelewesha mdada kapata wa kumuoa mjamaa anaanza kulalamika eti kama ulikuwa unataka ndoa ungeniambia tuharakishe.
Mdada yupo sahihi kabisaaaa

Huyo dada yupo sahihi kabisa, miaka saba huongelei suala la kumwoa ulifikiria nini? aliona wewe huna future nae kapata alietayari kumwoa kamwambia. Hawa wanaume ingawa sio wote kila siku wanasema eti ukiwa nae tu siku mbili unataka ndoa sasa kipi bora kusema au kukaa kimya. Go ahead dada kaolewe achana na huyu anaetaka kukuchezea muongo mmoja inahuuu...
 
Hata sielewi kwani huyu mkaka yeye alikuwa nataka kukaa na huyu dada miaka mingapi ndo amwoe? Badala ashukuru dada kapata mwanaume wa kumwoa coz yeye ameshindwa afu anajikondea tu tupa kureeeeeeeee.
 
  • Thanks
Reactions: bah
Usisikitike saaaana, kama vile ni jambo ambalo limekutokea wewe tu au kama vile ni jambo ambalo linafanywa na wanawake tu la hasha!
Wanawake pia tumekubwa na dhoruba inayofanana na hiyo sana tu.
Na majeraha ni makubwa ambayo hayawezi kupona. Wengine waliishia kujiua, wengine wakachanganyikiwa lakini tupo tulioweza kuhimili hiyo shock na maisha yameendelea.
Hivyo suluhu si kulalamika, tubadilike, kila mmoja aanze na nafsi yake.

Acha hizo wewe,na wewe mwaga yako ya moyoni tuone kweli uliumia,ila inavyoelekea wewe ni kati ya wale wanaowaumizaga sana wanaume,the way ulini quote it seems ujumbe ulikuwa wa kwako!!!pole ila wanawake ni makatili sana!!!!

Usiombee yakukute kama yaliyo mkuta binamu yangu aliye kula yamini kwa just a girlfreid tu. After 7 years ya mapenzi yao motomoto yaliyo kuwa kama shamba darasa kwa sisi wengine tusio kuwa na uwezo wa kuinvest sehemu moja, kapigwa chini.

seven years alikuwa akiwaona wasichana wengine wote as if wanaume wenzake kwa kuhakikisha anatunza uaminifu kwa mpezi wake. Alihakikisha maitaji yaliyo magumu na mapesi kwa mpenzi wake anampatia. Alifanya yote hayo ili mpenzi wake asijutie kuwa naye.

Kipindi ambacho ameanza kufikiria kumuoa, ehee binti kamjia na kali ya mwaka. Binti kamwambia is over between them coz someone kisha peleka posa kwao. Namnukuu binti alivyo muambia (Naomba usinielewe vibaya, nimepata shinikizo kutoka kwa wazazi ndugu jamaa na marafiki niolewe. Nisamehe sana)

Mapenzi bhaana, nouumaa. Binamu yangu kawa mlevi wa kupindukia, sigara na yeye. Anajiuliza why akumuambia kama anaitaji kuolewa!!!! Ili afanye haraka haraka kutimiza ndoto zake.

Amechanganyikiwa sana, hata mipombe anayo kunywa aimsaidii chochote. Sababu kila siku akiamka ajielewe anaenda wapi, ametoka wapi. Anaona ugumu wa kuanza na mpenzi mpya, Kikubwa ambacho naona kinamsaidia ni kupungua kilo coz jamaa alikuwa overweight.

Husia wangu kwa nyinyi vijana ambao mnatoa roho zenu kuwapa wapenzi wenu as if ni mioyo yao. Muache haraka sana, mtakufa siku si zenu. Msijiwekee mzima mzima, miguu yote ndani kama mazuzu.

Halafu kitu kimoja unaweza fanya majaribio uone tu kama ina work or not. (Ukitaka kufitinisha mapenzi ya watu, tangaza ndoa kwa msichana) just fanya yale ya mwanzoni mwanzoni, mtambulishe kwenu ili umuakikishie kama unamuoa. Utasikilizia habari yake.

Mpe pole sana ndugu yetu. Hapo cha kujifunza ni kwamba kati yetu wanaume na wanawake tuna mtazamo tofauti lipokuja suala la uhusiano. Wakati mwanaume ameweka ngono ndiyo chaguo lake la Kwanza na ndoa baadaye, Ni kinyume na Mwanamke ambao mara nyingi uweka ndoa ndio chaguo la kwanza ngono baadaye. Sasa wewe utaendelea na sifa zako na kuendelea kula uroda kumbe mwenzio anaitaji kuwa na familia. Mi nampongeza huyu binti kwa uamuzi sahihi, Jamaa ngoja aendelee na kula uroda
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom