Dadii
JF-Expert Member
- Nov 14, 2010
- 749
- 1,183
mkuu inauma,, nilimiminwa na mtarajiwa ndo kwanza naingia mwaka wa kwanza chuo Engineering, tushapanga nikigudua shule tu kituu pingu za maisha.
Mbona chuo nilikiona kigumu,,,misigara, mimeli,wala mipombe haikusaidia,shule ikawa ngumu balaa,, thanks namba zikawa zinapanda na met wangu anajua sana kumeza. then tukwa benet mi nasolve namba jamaa anacopy yy ananipa mielezo nakopi kwenye pepa.
Shule iliisha pouwa,,, kifupi nilidelete simu ya bibie maaana ukiona namba yake unaumiaje? nikajiapia from there siamini tena mademu atakayekatiza mbele yangu nabanjua nasepa kweli nilkuwa eat and run napo nikagundua sio issue but ktk huo mkakati niligundua kuwa wengine wanupendo wa dhati nilipima vigezo na mwenendo nikapta mwenza na maisha yanaendelea na nimatamu tu na familia inasonga tu.
Binamua atulie tu ajipange upyaaaaa! mifegi na mipombe wala haina raha ile kitu ya kati achana nayoo bana ina raaha yake atafute nyingine bana si unaona anavyoweweseka, wadada wazuri wapo kibao, atafute mmoja amchukue akune kitambi hichoooo. asiwe ------ -----------nyaji bana. pole yake.