Haloo!!! Hapana chezeya kuwa dumped. Unaweza kunywa sumu

Haloo!!! Hapana chezeya kuwa dumped. Unaweza kunywa sumu

Kwamtoro,umeonyesha mwanamke tu ndo kakosea!
Y asiwe huyo binamu?,manaake ukute binti wa watu ameona hakuna future je?...yaani hyo binamu anasubiri aambiwe kwani yy haoni?

7yrs? Ndo yaleyale,yaliyonifanya nione wanaume wote walewale!
Lkn Mungu mwema lyf goes on

....binafsi nilikuwa na bf nimekaa nae since form 3 mpaka form 6,ile naingia tu chuo, akaoa!!!ulishawahi kujua hayo maumivu yake ya mtu ambae unajua ndo mume wako kuoa?(yy ndo sbb ya mm kuwa portable up 2 date,na ishapita miaka kadhaa).
Bt thanx God niko ok nw
..so msitulaumu tu wadada ht nyie mnasababisha
 
miaka 7!!! hapo si mtoto keshakua na kujua herufi zote???? hiyo miaka ni mingi ndo maana dada kaona husomeki kakumwaga!!
wanawake tunaweza oyeeee!!! ukipata wa kumtenda unatenda... halafu wanaume wanene wanapumua vibaya usiku kama nguruwe pori!!!! na ukute hajui kutumia hicho kubamia lol utajuta!!!!

Haaahaaaahaaa uwiii jamani umenichekeshajee
 
aaa wapi umechemka.Sitaki kusema mengii ila mioverweight ....hell no kwanza kidude kinamezwa na tumbo inshort kinarudi ndani kinakuwa mtoto wa kibamia

haahaaahaaa AMU bana umenichekesha!
hiv kwann eti mabonge wengi wanakuwa hivyo ni kwamba kitu huwa kinamezwa na kitambi/minyama o wat?
Khaaa!
 
Mkuu mpe pole sana jamaa. Nilipatwa na hali kama hiyo miezi kama kumi iliyopita. Nilipatwa na depression ghafla! Bahati nzuri niliamua kujihusisha na kazi zingine nyingi ili kuondoa muda wa kukaa idle na kuwaza sana mchumba alokuacha. Niliwachukia wanawake wote mpaka dada zangu. Kuna wakati nilikuwa nawajibu hovyo mpaka wakanikalisha kikao kuniuliza kulikoni na kuanza kunishauri. Walinionea huruma sana mpaka leo huwa hawaamini kama nimerudi kwenye hali yangu ya kawaida. Hakuna viumbe wakatili kama wanawake! Ni bora mwanaume anaanza kukuônesha uplay boy mapema ili ujipange. Hawa watu anakupa taarifa ghafla na ukiwa kwenye hatua za mwisho mwisho.

Mkuu acha kabisa hii mambo inayumbisha sana tena sana... Sijui niandike vp nieleweke. Pole sana, namshukuru Mungu niko hai mpaka sasa ila duh!!!
 
nilichogundua hapa kutokana na hiz comment wengi wetu,wadada/wakaka tumetedwa!
..hii nayo inachangia sn watu kuogopa kuingia kwby mahusiano ya kudumu, coz mtu anawaza nikiwekeza hapa yasije kunikuta yaleyale.
...ila Mungu mwema jamani tusiwahukum wengine kutokana na bad experience tulizonazo
 
Mjumbe kwa hilo hitimisho lako hapo chini ni kama vile hujawahi kupenda hivyo hujui huo ugonjwa unavyomaliza taratibu…I have been there I can imagine how the brother feels. Mwanaume ukipenda, siku ukitendwa maisha yanabadilika. Nina miezi kama mitatu tangu mtu niliyekuwa na mahusiano naye tangu December, 2007 anitamkie kwamba ananipenda lakini hatuwezi kuwa na ‘future’ pamoja kwani ‘ndugu zake hawapendi mahusiano yetu’ na ameamua kuolewa na mtu ambaye kashajitambulisha kwao. Na amefanya haya nikiwa nimeshamtambulisha kwetu na ilikua zamu ya mimi kwenda kwao. INAUMA!!! Nilijaribu kunywa pombe, kuvuta sigara vyote havijanisaidia. Kwa sasa nawaheshimu wanawake kama mama zangu na dada zangu, tu! Lakini ninawachukia na hata sifikirii kuingia kwenye taasisi hiyo anytime soon japo umri umeanza kunikimbia.
MPE POLE BINAMU

Kibavu uko sahihi sana, mi pia nimepita njia hiyo inauma sana, tena sana ni maumivu yasioelezeka kwa wepesi acha kabisa.

U can imagine, miaka minne ya uhusiano ghafla mtu anaibua sababu zisizokuwa na kichwa wala miguu, eti ndugu zangu wamenishauri niachane na uhusiano..

Kibaya zaidi muda wote huo wa uhusiano mnakuwa hamkuwahi kuivunja ile amri ya6..
So painful, mpe pole mjomba.

Na Wewe Kibavu usiwachukie wanawake hivo,, haya mambo yapo tu mkuu.
 
Mimi nilibwagwa na demu wangu kipindi ambacho ni vigumu kusimulia,halafu baadaye akaja home akisema anakuja kunisalimia huku akiwa na mimba ya huyo mchumba wake ambaye mimi nilikuwa sijui kwamba ndiye alisababisha yote,iILA ALIKUJA KWA LENGO LA KUTAKA KUNIKABIDHI ILE MIMBA MAANA KWAO ALISEMA KWAMBA NI MIMBA YA KWANGU NA ALISHASABABISHA MIMI NIONEKANE MBAYA KWAO KWA KUMPA MIMBA NA KUMTEREKEZA KUMBE KIJANA WA WATU NILIKUWA KWENYE MAUMIVU MAKALI YASIYOTAMKIKA,MAANA NILIKUWA NINA TAYARI MIAKA MITATU KSORO HATUJADUU SASA HIYO MIMBA MIMI NIL;IMPA VIPI,ila ninajua ni kwa sababu ya hali ya maisha niliyokuwa nayo ingawa yeye akawa anasema kwamba eti aliambiwa kwamba nina msiochana mwingine,Mimi kitu nilichomwambia ni kwamba je yeye alichukua hatua gani,maana mimi binafsi nilijitahidi kutaka kusuluhisha tena kwa kumtumia dada yake tuliyekuwa tunasoma nae chuo,lakini ikawa ngumu,mwisho wa siku mimi kwa klweli niliamua kuchukua mke baada ya kukamilisha taratibu zote za kimila. Yeye akawa bado anataka mawasiliano na mimi,nimeamua kumkatili mawasiliano mazima na mara ya mwisho nilimwambia wazi kwamba sina chochote kizuri cha kukumbuka kutoka kwake zaidi ya maumivu ya muda mrefu,maana kwa kweli alinitesa sana,na hilo anatambua mpaka kesho maana nilimpenda sana yule binti wa Kinyakyusa,ingawa kwa sasa anaishi Mtwara na huyo Bwana wake,fikiria unakuwa na mahusiano na binti kwa miaka mitatu na kipindi hicho chotye unapitwa na VIMWANA WENGI TU WAZURI AMBAO WANGEFAA KUWA WAKE ZANGU,NA WENGINE WALIKUWA NA INTEREST NA MIMI,BUT MWISHO WA SIKU UAMINIFU WAKO UNAKUWA SAWA NA BURE!!!!!NIMEMSAMEHE LAKINI SITASAHAU.

Nakupongeza kwa kumsamehe msamehe mara mia9!!
Usipomsamehe ishu inaendelea kukuumiza, ni muhim sana kusamehe.
 
Baaaaasi,umemaliza kila kituq
Mambo ya kukaa kiboyaboya,kupotezeana muda sio kabisa!
...ila hapa wanaume huwa hawapendi,ukimuuliza utaona anakwepa kujibu,ukiona hivyo jiondoe taratibu

Noooo!! A thousand times no,
Kuhakikishiwa ndoa ndo security..
Too low.. Ukifikiri kama Wewe jua kichwa yako inahitaji overhaul!!!
 
nashukuru aliye nibwaga bila sababu ya msingi ndiye aliyenipa chance ya kumkaribia muumba wangu otherwise leo jf nisingeingia maana nilitaman kumtowesha dunian kabisa,
now niko huru, nna aman, nina furaha zaid ya mwanzo baada ya kuniona nime-settle na akili imetulia eti Ooh ni wazaz walinilazimisha nioe kabila letu...khaaa!! staki kukumbuka nilikopita na kuiona sura ahis ni al-shabaab amenivamia..

all in all, hiyo ni safar ya kuelekea utu uzima, so binamu yako atafutecha kumpa ubizy asahau maumivu na sio pombe,

"USIMPE ADUI NAFASI YA KUJUA UDHAIFU WAKO ATAKUDHARAU"
 
Mjumbe kwa hilo hitimisho lako hapo chini ni kama vile hujawahi kupenda hivyo hujui huo ugonjwa unavyomaliza taratibu…I have been there I can imagine how the brother feels. Mwanaume ukipenda, siku ukitendwa maisha yanabadilika. Nina miezi kama mitatu tangu mtu niliyekuwa na mahusiano naye tangu December, 2007 anitamkie kwamba ananipenda lakini hatuwezi kuwa na ‘future’ pamoja kwani ‘ndugu zake hawapendi mahusiano yetu’ na ameamua kuolewa na mtu ambaye kashajitambulisha kwao. Na amefanya haya nikiwa nimeshamtambulisha kwetu na ilikua zamu ya mimi kwenda kwao. INAUMA!!! Nilijaribu kunywa pombe, kuvuta sigara vyote havijanisaidia. Kwa sasa nawaheshimu wanawake kama mama zangu na dada zangu, tu! Lakini ninawachukia na hata sifikirii kuingia kwenye taasisi hiyo anytime soon japo umri umeanza kunikimbia.
MPE POLE BINAMU

Wanawake bhana!
 
overweight?mwambie anywe mipombe sana na diet awe makini bora mdada alivyomtosa kisa cha kuolewa na muoverweight ni nini?kisa cha kujambiwajambiwa na mibonge nyanya ni nini?hapo alikuwa anavumiliwa tu kama alikuwa na mkwanja mrefu baaas
umenchekesha mamito
 
Kaka miaka saba ni mingi mno wenzio hata mitatu haikufika mtu kila mkikutana ndio topic, D lini sasa unakuja nyumbani? mama anakusalimia sana! sasa huyo jamaa saba hakuwahi kuambiwa hata hilo hasomi alama za nyakati mwambie akiona kobe kainama ajue anatunga sheria!
Binti asilaumiwe lawama kwa jamaa, weanzie tulipoonekana bado tunatafuta maisha walio na maisha yao walijitambulisha hata nusu ya hiyo saba haikufika!!!
 
........Husia wangu kwa nyinyi vijana ambao mnatoa roho zenu kuwapa wapenzi wenu as if ni mioyo yao. Muache haraka sana, mtakufa siku si zenu. Msijiwekee mzima mzima, miguu yote ndani kama mazuzu.........
  • ​Mwenye kusikia na asikie.
 
Mimi nilibwagwa na demu wangu kipindi ambacho ni vigumu kusimulia,halafu baadaye akaja home akisema anakuja kunisalimia huku akiwa na mimba ya huyo mchumba wake ambaye mimi nilikuwa sijui kwamba ndiye alisababisha yote,iILA ALIKUJA KWA LENGO LA KUTAKA KUNIKABIDHI ILE MIMBA MAANA KWAO ALISEMA KWAMBA NI MIMBA YA KWANGU NA ALISHASABABISHA MIMI NIONEKANE MBAYA KWAO KWA KUMPA MIMBA NA KUMTEREKEZA KUMBE KIJANA WA WATU NILIKUWA KWENYE MAUMIVU MAKALI YASIYOTAMKIKA,MAANA NILIKUWA NINA TAYARI MIAKA MITATU KSORO HATUJADUU SASA HIYO MIMBA MIMI NIL;IMPA VIPI,ila ninajua ni kwa sababu ya hali ya maisha niliyokuwa nayo ingawa yeye akawa anasema kwamba eti aliambiwa kwamba nina msiochana mwingine,Mimi kitu nilichomwambia ni kwamba je yeye alichukua hatua gani,maana mimi binafsi nilijitahidi kutaka kusuluhisha tena kwa kumtumia dada yake tuliyekuwa tunasoma nae chuo,lakini ikawa ngumu,mwisho wa siku mimi kwa klweli niliamua kuchukua mke baada ya kukamilisha taratibu zote za kimila. Yeye akawa bado anataka mawasiliano na mimi,nimeamua kumkatili mawasiliano mazima na mara ya mwisho nilimwambia wazi kwamba sina chochote kizuri cha kukumbuka kutoka kwake zaidi ya maumivu ya muda mrefu,maana kwa kweli alinitesa sana,na hilo anatambua mpaka kesho maana nilimpenda sana yule binti wa Kinyakyusa,ingawa kwa sasa anaishi Mtwara na huyo Bwana wake,fikiria unakuwa na mahusiano na binti kwa miaka mitatu na kipindi hicho chotye unapitwa na VIMWANA WENGI TU WAZURI AMBAO WANGEFAA KUWA WAKE ZANGU,NA WENGINE WALIKUWA NA INTEREST NA MIMI,BUT MWISHO WA SIKU UAMINIFU WAKO UNAKUWA SAWA NA BURE!!!!!NIMEMSAMEHE LAKINI SITASAHAU.

Usisikitike saaaana, kama vile ni jambo ambalo limekutokea wewe tu au kama vile ni jambo ambalo linafanywa na wanawake tu la hasha!
Wanawake pia tumekubwa na dhoruba inayofanana na hiyo sana tu.
Na majeraha ni makubwa ambayo hayawezi kupona. Wengine waliishia kujiua, wengine wakachanganyikiwa lakini tupo tulioweza kuhimili hiyo shock na maisha yameendelea.
Hivyo suluhu si kulalamika, tubadilike, kila mmoja aanze na nafsi yake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom