Haloo!!! Hapana chezeya kuwa dumped. Unaweza kunywa sumu

Haloo!!! Hapana chezeya kuwa dumped. Unaweza kunywa sumu

kwamtoro

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2010
Posts
4,922
Reaction score
3,245
Usiombee yakukute kama yaliyo mkuta binamu yangu aliye kula yamini kwa just a girlfreid tu. After 7 years ya mapenzi yao motomoto yaliyo kuwa kama shamba darasa kwa sisi wengine tusio kuwa na uwezo wa kuinvest sehemu moja, kapigwa chini.

Just imagine seven years alikuwa akiwaona wasichana wengine wote as if wanaume wenzake kwa kuhakikisha anatunza uaminifu kwa mpezi wake. Alihakikisha maitaji yaliyo magumu na mapesi kwa mpenzi wake anampatia. Alifanya yote hayo ili mpenzi wake asijutie kuwa naye.

Kipindi ambacho ameanza kufikiria kumuoa, ehee binti kamjia na kali ya mwaka. Binti kamwambia is over between them coz someone kisha peleka posa kwao. Namnukuu binti alivyo muambia (Naomba usinielewe vibaya, nimepata shinikizo kutoka kwa wazazi ndugu jamaa na marafiki niolewe. Nisamehe sana)

Mapenzi bhaana, nouumaa. Binamu yangu kawa mlevi wa kupindukia, sigara na yeye. Anajiuliza why akumuambia kama anaitaji kuolewa!!!! Ili afanye haraka haraka kutimiza ndoto zake.

Amechanganyikiwa sana, hata mipombe anayo kunywa aimsaidii chochote. Sababu kila siku akiamka ajielewe anaenda wapi, ametoka wapi. Anaona ugumu wa kuanza na mpenzi mpya, Kikubwa ambacho naona kinamsaidia ni kupungua kilo coz jamaa alikuwa overweight.

Husia wangu kwa nyinyi vijana ambao mnatoa roho zenu kuwapa wapenzi wenu as if ni mioyo yao. Muache haraka sana, mtakufa siku si zenu. Msijiwekee mzima mzima, miguu yote ndani kama mazuzu.

Halafu kitu kimoja unaweza fanya majaribio uone tu kama ina work or not. (Ukitaka kufitinisha mapenzi ya watu, tangaza ndoa kwa msichana) just fanya yale ya mwanzoni mwanzoni, mtambulishe kwenu ili umuakikishie kama unamuoa. Utasikilizia habari yake.
 
Hahahaaaaaaaaaa! @ shamba darasa na alikuwa overweight imemsaidia kupunguza kilo!!!!!!!!!! Una vimaneno weweee! Back to topic Moyo wa mtu ni kiza kinene! Unaweza jiona wa maana kumbe kwake ni wa kuzugia!
 
Usiombee ya kukute kama yaliyo mkuta binamu yangu aliye kula yamini kwa just a girlfreid tu. After 7 years ya mapenzi yao motomoto yaliyo kuwa kama shamba darasa kwa sisi wengine tusio kuwa na uwezo wa kuinvest sehemu moja, kapigwa chini.

Just imagine seven years alikuwa akiwaona wasichana wengine wote as if wanaume wenzake kwa kuhakikisha anatunza uaminifu kwa mpezi wake. Alihakikisha maitaji yaliyo magumu na mapesi kwa mpenzi wake anampatia. Alifanya yote hayo ili mpenzi wake asijutie kuwa naye.

Kipindi ambacho ameanza kufikiria kumuoa, ehee binti kamjia na kali ya mwaka. Binti kamwambia is over between them coz someone kisha peleka posa kwao. Namnukuu binti alivyo muambia (Naomba usinielewe vibaya, nimepata shinikizo kutoka kwa wazazi ndugu jamaa na marafiki niolewe. Nisamehe sana)

Mapenzi bhaana, nouumaa. Binamu yangu kawa mlevi wa kupindukia, sigara na yeye. Anajiuliza why akumuambia kama anaitaji kuolewa!!!! Ili afanye haraka haraka kutimiza ndoto zake.

Amechanganyikiwa sana, hata mipombe anayo kunywa aimsaidii chochote. Sababu kila siku akiamka ajielewe anaenda wapi, ametoka wapi. Anaona ugumu wa kuanza na mpenzi mpya, Kikubwa ambacho naona kinamsaidia ni kupungua kilo coz jamaa alikuwa overweight.

Husia wangu kwa nyinyi vijana ambao mnatoa roho zenu kuwapa wapenzi wenu as if ni mioyo yao. Muacha haraka sana, mtakufa siku si zenu. Msijiwekee mzima mzima, miguu yote ndani.

Halafu kitu kimoja unaweza fanya majaribio uone tu kama ina work or not. (Ukitaka kufitinisha mapenzi ya watu, tangaza ndoa kwa msichana) just fanya yale ya mwanzoni mwanzoni, mtambulishe kwenu ili umuakikishie kama unamuoa. Utasikilizia habari yake.

Mjumbe kwa hilo hitimisho lako hapo chini ni kama vile hujawahi kupenda hivyo hujui huo ugonjwa unavyomaliza taratibu…I have been there I can imagine how the brother feels. Mwanaume ukipenda, siku ukitendwa maisha yanabadilika. Nina miezi kama mitatu tangu mtu niliyekuwa na mahusiano naye tangu December, 2007 anitamkie kwamba ananipenda lakini hatuwezi kuwa na ‘future' pamoja kwani ‘ndugu zake hawapendi mahusiano yetu' na ameamua kuolewa na mtu ambaye kashajitambulisha kwao. Na amefanya haya nikiwa nimeshamtambulisha kwetu na ilikua zamu ya mimi kwenda kwao. INAUMA!!! Nilijaribu kunywa pombe, kuvuta sigara vyote havijanisaidia. Kwa sasa nawaheshimu wanawake kama mama zangu na dada zangu, tu! Lakini ninawachukia na hata sifikirii kuingia kwenye taasisi hiyo anytime soon japo umri umeanza kunikimbia.
MPE POLE BINAMU
 
Mkuu mpe pole sana jamaa. Nilipatwa na hali kama hiyo miezi kama kumi iliyopita. Nilipatwa na depression ghafla! Bahati nzuri niliamua kujihusisha na kazi zingine nyingi ili kuondoa muda wa kukaa idle na kuwaza sana mchumba alokuacha. Niliwachukia wanawake wote mpaka dada zangu. Kuna wakati nilikuwa nawajibu hovyo mpaka wakanikalisha kikao kuniuliza kulikoni na kuanza kunishauri. Walinionea huruma sana mpaka leo huwa hawaamini kama nimerudi kwenye hali yangu ya kawaida. Hakuna viumbe wakatili kama wanawake! Ni bora mwanaume anaanza kukuônesha uplay boy mapema ili ujipange. Hawa watu anakupa taarifa ghafla na ukiwa kwenye hatua za mwisho mwisho.
 
overweight?mwambie anywe mipombe sana na diet awe makini bora mdada alivyomtosa kisa cha kuolewa na muoverweight ni nini?kisa cha kujambiwajambiwa na mibonge nyanya ni nini?hapo alikuwa anavumiliwa tu kama alikuwa na mkwanja mrefu baaas
 
amu duu kazi kweli kweli. Tambua vibonge kwenye shughuli wapo vyema, fat, protin za kutosha.
 
Last edited by a moderator:
khaaa miaka 7?

Acha tu ameagwe

mdada alikuwa anataka ndoa,mjamaa anachelewesha mdada kapata wa kumuoa mjamaa anaanza kulalamika eti kama ulikuwa unataka ndoa ungeniambia tuharakishe.
Mdada yupo sahihi kabisaaaa
 
amu duu kazi kweli kweli. Tambua vibonge kwenye shughuli wapo vyema, fat, protin za kutosha.

aaa wapi umechemka.Sitaki kusema mengii ila mioverweight ....hell no kwanza kidude kinamezwa na tumbo inshort kinarudi ndani kinakuwa mtoto wa kibamia
 
Last edited by a moderator:
Shamba darasa la miaka 7? Manake limezidi hata kipindi cha uongozi wa rais, manake mipango ya miaka 5 tu unatangazia ilani.

Huyo afadhali aliachwa siku nyingi hakujijua, akawa busy a kuzawadia mapenzi
khaaa miaka 7?

Acha tu ameagwe
 
overweight?mwambie anywe mipombe sana na diet awe makini bora mdada alivyomtosa kisa cha kuolewa na muoverweight ni nini?kisa cha kujambiwajambiwa na mibonge nyanya ni nini?hapo alikuwa anavumiliwa tu kama alikuwa na mkwanja mrefu baaas

amu!
amu!
amu!
Unanisimanga eh!
 
Last edited by a moderator:
aaa wapi umechemka.Sitaki kusema mengii ila mioverweight ....hell no kwanza kidude kinamezwa na tumbo inshort kinarudi ndani kinakuwa mtoto wa kibamia

amu bado tu unaendelea kunihujumu hazalani kisa nimekupiga chini? Kha!
 
Last edited by a moderator:
Nina mwaka sasa tangu nilipoacha kuyachukulia mapenz serious na mishe znaenda poa.demu njoo,ukchoka unaenda anakuja mwngne. Maisha yenyewe yako wapi hadi tuumzane.
Mwanamke haaminiwi kama mungu!
 
aaa wapi umechemka.Sitaki kusema mengii ila mioverweight ....hell no kwanza kidude kinamezwa na tumbo inshort kinarudi ndani kinakuwa mtoto wa kibamia

Nimecheka mpk ofisi niliopo wamegeuka kuniangalia. Humu ndani kuna vichwa vinatunanga hasa wanaume, Hahahaha!! Asante dada.
 
miaka 7!!! hapo si mtoto keshakua na kujua herufi zote???? hiyo miaka ni mingi ndo maana dada kaona husomeki kakumwaga!!
wanawake tunaweza oyeeee!!! ukipata wa kumtenda unatenda... halafu wanaume wanene wanapumua vibaya usiku kama nguruwe pori!!!! na ukute hajui kutumia hicho kubamia lol utajuta!!!!
 
Kikubwa ambacho naona kinamsaidia ni kupungua kilo coz jamaa alikuwa overweight.

duh angalieni asiozeshe figo,mapafu na maini wakati mwenzie anakula bata huko kwa raha zake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom