Haloo!!! Hapana chezeya kuwa dumped. Unaweza kunywa sumu

Namsifu huyo bibie kwa kumpiga chini...7 years ya kuzini bila kumhakikishia security mwanamke, lazima akupige hini.

women need security. that is a long period ya kukaa uhawara tu while you are both single.
 
Ukipata kiwanja ambacho hakijapimwa hutakiwi kujenga ghorofa au nyumba ya gharama kubwa, jenga kibanda tu ili hata wakivunja usipate hasara kubwa au hakikisha kiwanja kinapimwa na hati unapata ili hata wakiamua kubadilisha matumizi watakulipa fidia.

Mwambie pombe haisaidii kitu na msipokuwa washauri wazuri mtampoteza, akubali tu kwamba maji yamemwagika kama ni kwenye sakafu ya udongo ajaze mchanga pakauke aendelee kuishi na kama ni sakafu ya cement au tiles atafute dekio akaushe aendelee na maisha mengine.
 
amu bado tu unaendelea kunihujumu hazalani kisa nimekupiga chini? Kha!

mwenzako anakunywa mipombe mikaliii nawewe kama overweight sijui obesity jitahidi bana utaishia kuchunwa na kina amu afu mambo huwezi kama unabisha jichungulie chini ya mtumbo wake kama huna kidude kiduchuuuuuu
 
Last edited by a moderator:
vizuri kujadili mapema aina ya mahusiano mnayotaka kuwa nayo!
 
ooops! Hlo shamba darasa labda kwa kufeli. 7yrs?? Hell NO. He cant be serious.
 
lakini pia wao walipoanza mahusiano hyo miaka 7 nyuma walilenga nin?? Au walkuwa wanaenda kama kuku aliekatwa kichwa.
 
Pole mzazi!! Mapenzi kama hesabu za probability!! Ongeza sample space afu chagua tena
Mjumbe kwa hilo hitimisho lako hapo chini ni kama vile hujawahi kupenda hivyo hujui huo ugonjwa unavyomaliza taratibu…I have been there I can imagine how the brother feels. Mwanaume ukipenda, siku ukitendwa maisha yanabadilika. Nina miezi kama mitatu tangu mtu niliyekuwa na mahusiano naye tangu December, 2007 anitamkie kwamba ananipenda lakini hatuwezi kuwa na ‘future’ pamoja kwani ‘ndugu zake hawapendi mahusiano yetu’ na ameamua kuolewa na mtu ambaye kashajitambulisha kwao. Na amefanya haya nikiwa nimeshamtambulisha kwetu na ilikua zamu ya mimi kwenda kwao. INAUMA!!! Nilijaribu kunywa pombe, kuvuta sigara vyote havijanisaidia. Kwa sasa nawaheshimu wanawake kama mama zangu na dada zangu, tu! Lakini ninawachukia na hata sifikirii kuingia kwenye taasisi hiyo anytime soon japo umri umeanza kunikimbia.
MPE POLE BINAMU
 
hawa wanawake sio kuwapa garantee, yaan wakisikia neno kuolewa ndoto zake zote znaishia hapo!!!!
 
aaa wapi umechemka.Sitaki kusema mengii ila mioverweight ....hell no kwanza kidude kinamezwa na tumbo inshort kinarudi ndani kinakuwa mtoto wa kibamia

Ha ha ha ha ha ha ha!
 
Mjumbe kwa hilo hitimisho lako hapo chini ni kama vile hujawahi kupenda hivyo hujui huo ugonjwa unavyomaliza taratibu…I have been there I can imagine how the brother feels. Mwanaume ukipenda, siku ukitendwa maisha yanabadilika. Nina miezi kama mitatu tangu mtu niliyekuwa na mahusiano naye tangu December, 2007 anitamkie kwamba ananipenda lakini hatuwezi kuwa na ‘future’ pamoja kwani ‘ndugu zake hawapendi mahusiano yetu’ na ameamua kuolewa na mtu ambaye kashajitambulisha kwao. Na amefanya haya nikiwa nimeshamtambulisha kwetu na ilikua zamu ya mimi kwenda kwao. INAUMA!!! Nilijaribu kunywa pombe, kuvuta sigara vyote havijanisaidia. Kwa sasa nawaheshimu wanawake kama mama zangu na dada zangu, tu! Lakini ninawachukia na hata sifikirii kuingia kwenye taasisi hiyo anytime soon japo umri umeanza kunikimbia.
MPE POLE BINAMU

Mimi nilibwagwa na demu wangu kipindi ambacho ni vigumu kusimulia,halafu baadaye akaja home akisema anakuja kunisalimia huku akiwa na mimba ya huyo mchumba wake ambaye mimi nilikuwa sijui kwamba ndiye alisababisha yote,iILA ALIKUJA KWA LENGO LA KUTAKA KUNIKABIDHI ILE MIMBA MAANA KWAO ALISEMA KWAMBA NI MIMBA YA KWANGU NA ALISHASABABISHA MIMI NIONEKANE MBAYA KWAO KWA KUMPA MIMBA NA KUMTEREKEZA KUMBE KIJANA WA WATU NILIKUWA KWENYE MAUMIVU MAKALI YASIYOTAMKIKA,MAANA NILIKUWA NINA TAYARI MIAKA MITATU KSORO HATUJADUU SASA HIYO MIMBA MIMI NIL;IMPA VIPI,ila ninajua ni kwa sababu ya hali ya maisha niliyokuwa nayo ingawa yeye akawa anasema kwamba eti aliambiwa kwamba nina msiochana mwingine,Mimi kitu nilichomwambia ni kwamba je yeye alichukua hatua gani,maana mimi binafsi nilijitahidi kutaka kusuluhisha tena kwa kumtumia dada yake tuliyekuwa tunasoma nae chuo,lakini ikawa ngumu,mwisho wa siku mimi kwa klweli niliamua kuchukua mke baada ya kukamilisha taratibu zote za kimila. Yeye akawa bado anataka mawasiliano na mimi,nimeamua kumkatili mawasiliano mazima na mara ya mwisho nilimwambia wazi kwamba sina chochote kizuri cha kukumbuka kutoka kwake zaidi ya maumivu ya muda mrefu,maana kwa kweli alinitesa sana,na hilo anatambua mpaka kesho maana nilimpenda sana yule binti wa Kinyakyusa,ingawa kwa sasa anaishi Mtwara na huyo Bwana wake,fikiria unakuwa na mahusiano na binti kwa miaka mitatu na kipindi hicho chotye unapitwa na VIMWANA WENGI TU WAZURI AMBAO WANGEFAA KUWA WAKE ZANGU,NA WENGINE WALIKUWA NA INTEREST NA MIMI,BUT MWISHO WA SIKU UAMINIFU WAKO UNAKUWA SAWA NA BURE!!!!!NIMEMSAMEHE LAKINI SITASAHAU.
 
Mjumbe kwa hilo hitimisho lako hapo chini ni kama vile hujawahi kupenda hivyo hujui huo ugonjwa unavyomaliza taratibu…I have been there I can imagine how the brother feels. Mwanaume ukipenda, siku ukitendwa maisha yanabadilika. Nina miezi kama mitatu tangu mtu niliyekuwa na mahusiano naye tangu December, 2007 anitamkie kwamba ananipenda lakini hatuwezi kuwa na ‘future’ pamoja kwani ‘ndugu zake hawapendi mahusiano yetu’ na ameamua kuolewa na mtu ambaye kashajitambulisha kwao. Na amefanya haya nikiwa nimeshamtambulisha kwetu na ilikua zamu ya mimi kwenda kwao. INAUMA!!! Nilijaribu kunywa pombe, kuvuta sigara vyote havijanisaidia. Kwa sasa nawaheshimu wanawake kama mama zangu na dada zangu, tu! Lakini ninawachukia na hata sifikirii kuingia kwenye taasisi hiyo anytime soon japo umri umeanza kunikimbia.
MPE POLE BINAMU

Pole na wewe pia...... Umemwambia ukweli kwani waswahili walisema "Ukitaka kujua utamu wa ngoma, uingie ucheze" Mie yalinikumba pia ila nilijinyanyua na kujipukuta kisha nikaangalia ustaarabu mwingine na sasa nimeshasahau na pengine kushukuru kwa yaliyotokea kwani nipo pazuri zaidi.
 
Mjumbe kwa hilo hitimisho lako hapo chini ni kama vile hujawahi kupenda hivyo hujui huo ugonjwa unavyomaliza taratibu…I have been there I can imagine how the brother feels. Mwanaume ukipenda, siku ukitendwa maisha yanabadilika. Nina miezi kama mitatu tangu mtu niliyekuwa na mahusiano naye tangu December, 2007 anitamkie kwamba ananipenda lakini hatuwezi kuwa na ‘future’ pamoja kwani ‘ndugu zake hawapendi mahusiano yetu’ na ameamua kuolewa na mtu ambaye kashajitambulisha kwao. Na amefanya haya nikiwa nimeshamtambulisha kwetu na ilikua zamu ya mimi kwenda kwao. INAUMA!!! Nilijaribu kunywa pombe, kuvuta sigara vyote havijanisaidia. Kwa sasa nawaheshimu wanawake kama mama zangu na dada zangu, tu! Lakini ninawachukia na hata sifikirii kuingia kwenye taasisi hiyo anytime soon japo umri umeanza kunikimbia.
MPE POLE BINAMU
Kibavu, ni bora mwanamke akuache kwenye uchumba kuliko kuishi ndoa ya taabu. je ungemuoa akakucheat na aliyemuoa ungefanyaje? tafadhali, nakuomba mfute yule mdada akilini, omba Mungu akupe mwingine,anaweza kuja kuwa mzuri kuliko huyo mdada, na ukawa na ndoa nzuri sana. Ushauri wangu ni uangalie tu usije ukawa mume mbaya kwa mkeo ajaye kwa kutumia bad experience ya nyuma! It is you and your children that will suffer. Halafu angalia usientertain sana kuwaza hiyo kitu, inaweza kukuathiri nguvu za kiume na hata kwenye uzazi.
 
overweight?mwambie anywe mipombe sana na diet awe makini bora mdada alivyomtosa kisa cha kuolewa na muoverweight ni nini?kisa cha kujambiwajambiwa na mibonge nyanya ni nini?hapo alikuwa anavumiliwa tu kama alikuwa na mkwanja mrefu baaas

we amu wee! kwi kwi kwiii
 
Maumivu ya mapenzi jamani ni zaidi ya kipandauso. wanawake guava wanakosa uvumilivu hasa wkt mwanaume anapopitia kipindi kutumia cha mpito cha kutafuta kazi hasa kwa graduates. Hua wanaolewa na vibabu,wanaenda kunyanyasika kwa kukosa uhuru maana mapenzi yale huaga sio mutual. Vibabu hvyo hua ni patrons not Lovers / hubbys. Hapa ndo wanawake hukumbuka wapenzi wao walowasaliti. wakati huo wasalitiwa maisha yamewanyookea,wamepata wapenzi wanaowapenda kwa dhati na maumivu waliyoachiwa yashapona...!!
Maisha ni safari, usimtende mtu ukadhani utabaki salama....just matter of Time.
 
Kha! Miaka saba mingi jamani tukisie dada alianza nae. mahusiano akiwa na 22 + 7 = 29
Huyo binamu yako anataka mwanamke hadi afikie 35 ndio amuoe au dada ameangalia mbali kaona hakuna future hapo

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Namsifu huyo bibie kwa kumpiga chini...7 years ya kuzini bila kumhakikishia security mwanamke, lazima akupige hini.

women need security. that is a long period ya kukaa uhawara tu while you are both single.

Asante kaka
 
vizuri kujadili mapema aina ya mahusiano mnayotaka kuwa nayo!

Baaaaasi,umemaliza kila kituq
Mambo ya kukaa kiboyaboya,kupotezeana muda sio kabisa!
...ila hapa wanaume huwa hawapendi,ukimuuliza utaona anakwepa kujibu,ukiona hivyo jiondoe taratibu
 
overweight?mwambie anywe mipombe sana na diet awe makini bora mdada alivyomtosa kisa cha kuolewa na muoverweight ni nini?kisa cha kujambiwajambiwa na mibonge nyanya ni nini?hapo alikuwa anavumiliwa tu kama alikuwa na mkwanja mrefu baaas

amu, huko nyuma hukuwa umeharibika hivi!
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: amu

Similar Discussions

Back
Top Bottom