yakowazi
JF-Expert Member
- Feb 9, 2012
- 1,771
- 627
Sema nani yuko kwa maslahi ya taifa si ndio hao waliofunga mikataba ya madini halafu leo wanalalama eti nchi inaibiwa au mbona tunajitia ujinga wakati tayari tumeshamalizwa ee maskini nchi yanguHaiwezi kumumiiza kwa sababu hayupo kwa maslahi ya wapiga kura wake.Ni hili liwe fundisho kwa watu wa kawe,mbunge wenu kasema haumii kwa kufukuzwa,kazi kwenu