mansakankanmusa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 4,161
- 802
mbumbumbu kwelikweliAmeshapata kiki ya kuingilia msibani kwake yatosha.
Haiwezi kumumiiza kwa sababu hayupo kwa maslahi ya wapiga kura wake.Ni hili liwe fundisho kwa watu wa kawe,mbunge wenu kasema haumii kwa kufukuzwa,kazi kwenu