Halima Mdee: Porojo za Dodoma haziniumizi

Halima Mdee: Porojo za Dodoma haziniumizi

[HASHTAG]#Wabunge[/HASHTAG] wa shanga
 
Huyo anataka apewe adhabu ingine kali, atajiju mwanamke huyu hana nidhamu kabisa. Sijui mnachaguaje wabunge wenu wanatia aibu.

Hivi ana bwama huyu?
Labda umekosea, ulimaanisha bwana?? Ili nikupe majibu??
 
Ameshapata kiki ya kuingilia msibani kwake yatosha.
Haiwezi kumumiiza kwa sababu hayupo kwa maslahi ya wapiga kura wake.Ni hili liwe fundisho kwa watu wa kawe,mbunge wenu kasema haumii kwa kufukuzwa,kazi kwenu
Msibani kuna kiki sikuhizi?
 
Ameshapata kiki ya kuingilia msibani kwake yatosha.
Haiwezi kumumiiza kwa sababu hayupo kwa maslahi ya wapiga kura wake.Ni hili liwe fundisho kwa watu wa kawe,mbunge wenu kasema haumii kwa kufukuzwa,kazi kwenu
Mimi mgeni Dar, hivi kawe hakuna kanisa la walokole wanaokemea watu wanaoishi kinyume na maumbile hadi wakaachia watu wamchague Halima na Bullaya kuwa wabunge wao?
 
Kapata muda wa kufanya mambo ya maendeleo sasa
Waswahili mu wanafiki kweli kweli, ni mambo gani huyu mnafiki anaweza fanya zaidi ya kuwa mtukanaji? Ndiyo maana kakosa hata boyfriend
 
Nimemsikia mmoja akisema wafungiwe maisha na ubunge wavuliwe hiii wameuwa?
 
Hujui usemalo, pole saana laiti ungejuwa usingeinua mdomo wako kama hivyo.
Ma vifaranga alirejeshwa toka SADC kumdhibiti jamaa wakati naibu. Akapelekwa kutanua ili mpitishe hoja zenu. Ndugai na Magufuli mtawaelewa tu ni suala la muda. Muda wa miaka 10 kikatiba umesaidia sana sasa tuna rais tuliyekuwa tunamtaka. Shikamoo Janeth.
 
Nafikiri wavuta bangi ni wale walioketi kwenye vikao vya baraza la mawaziri chini ya Mwenyekiti wao,wakajadili na kuridhia mikataba ya kinyonyaji inayolitafuna Taifa hadi leo tunagombania mchanga,hao ndiyo wavuta bangi halisi.

Wagonga meza wa ccm waliwahi kumtimua Mh.Zitto aliyekuwa anapambana kuzuia unyonyaji wa Buzwagi,kwa kiburi cha wingi wao walimtimua bungeni kama walivyowatimua Halima na Bulaya,cha ajabu wavutabangi hao waliomfukuza Zitto bungeni kipindi kile anapambana kuuzuia uporaji wa Buzwagi/ACACIA,leo hii wanalia na kuomboleza na Rais wao na kuunda tume za kugombea mchanga,hizo kama si bangi ni nini?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji106] [emoji106] [emoji106] Dah!!? Umesema sahihi kabisa
 
Mdee unaendeleza dharau,Kamati ya Uongozi inatoa tamko unaita ...Porojo..mmmh Haya bwana
Umefundishwa nidhamu ya uoga tangu utotoni, si kosa lako pekee, tulia mashujaa wasonge mbelee.
 
'Porojo za Dodoma haziniumizi - Mdee, Baada ya kusomwa kwa adhabu yake.

Naunga mƙono ni porojo tuuu. Maana hakuna jipya bunge halina meno ni vijembe, kebehi, mikwala mbuzi, tuuu plus majungu

Hata sisi wananchi tumeona ni porojo za ndugai na tulia, sio siri

Safi kabisa

Bunge limeisha hata hivyo who cares! Halima Mdee umenena hizo ni porojo zisikukoseshe amani.

Wachache nilio wanukuu MJITAFAKARI NA KUCHUKUA HATUA, ili mrejeshe uungwana wenu. Lakini kwa kuwa mnaandika nyuma ya keyboard na ID feki, mnaona ni sahihi kuunga mkono upuuzi wa Halima na Esther. Lakini, naamini moyoni mwenu hao wabunge siyo tu wanajidharirisha, pia wanadharirisha CHADEMA na heshima zenu humu JF
 
Bahati mbaya Sana bunge limekosa uongozi, shamelessly,a chief of...advertise personal disorder publicly, what happen kama atapewa madaraka makubwa c ataua watu huyu ndugu.Hivi unawatofautishaje kwa mfano aliowahukumu na yeye?kwangu jibu moja tu mmoja ana madaraka wengine hawana.Kama wabunge watahitaji kupimwa basi mtu wa kwanza ni kiongozi wao, ni vyema akapimwa personal disorder alizonazo.Ni maajabu kuwa na familia yenye baba fyatu na watoto fyatu.
 
Wachache nilio wanukuu MJITAFAKARI NA KUCHUKUA HATUA, ili mrejeshe uungwana wenu. Lakini kwa kuwa mnaandika nyuma ya keyboard na ID feki, mnaona ni sahihi kuunga mkono upuuzi wa Halima na Esther. Lakini, naamini moyoni mwenu hao wabunge siyo tu wanajidharirisha, pia wanadharirisha CHADEMA na heshima zenu humu JF
Kwa mtazamo wako usitupangie mawazo yetu! Wewe umeandika kwenye mpera au mchungwa acha kujidanganya. Nawe upo nyuma ya keyboard. Sijapewa pesa na ccm mkanipangia nini cha kuandika JF. Ni haki yangu kusema ninaloamini usinipangie.? Msg delivered!
 
Wachache nilio wanukuu MJITAFAKARI NA KUCHUKUA HATUA, ili mrejeshe uungwana wenu. Lakini kwa kuwa mnaandika nyuma ya keyboard na ID feki, mnaona ni sahihi kuunga mkono upuuzi wa Halima na Esther. Lakini, naamini moyoni mwenu hao wabunge siyo tu wanajidharirisha, pia wanadharirisha CHADEMA na heshima zenu humu JF
Na wew unajiona umestaarabika katikati ya ulemavu wa kufikiri.Bahati mbaya sana katka bara letu tuna viongozi wasioweza kujitathimini,ukiona unaongoza watu wasiokutii lazima ujitafakari Kama unatosha.One among of the earliest Chinese philosopher once said "If a leader is not virtue,even though you give order will not be accepted""Kushabikia uongozi wa aina hii ni kujitaangza ujinga wa hali ya juu.
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Ni wakati wa spika kujifunza kupitia mabunge mengine hapa Afrika mashariki! Upinzani ukinusa tu kwamba kuna harufu ya upendeleo..ni ngumu sana kuweza kumuelewa spika husika!
 
Back
Top Bottom