Halima Mdee: Porojo za Dodoma haziniumizi

Halima Mdee: Porojo za Dodoma haziniumizi

Ni Porojo kweli mana Ndugai anashikiwa akili na akina Shonza ma useless..kweli India waliondoka na akili za Spika na mibunge mizwazwa ikishangilia

Mimi nadhani wangeahirisha bunge lote ili tuokoe pesa tufanyie mambo mengine. Maana hawa jamaa huko mjengoni hakuna chcochote wanafanya kulisaidia taifa wamebaki kuitikia NDIOOO.

Leo wanalalmikia mikataba mibovu ya madini wakati wao ndio waliitikia NDIOOO.
 
'Porojo za Dodoma haziniumizi - Mdee, Baada ya kusomwa kwa adhabu yake.


Ameshapata kiki ya kuingilia msibani kwake yatosha.
Haiwezi kumumiiza kwa sababu hayupo kwa maslahi ya wapiga kura wake.Ni hili liwe fundisho kwa watu wa kawe,mbunge wenu kasema haumii kwa kufukuzwa,kazi kwenu
 
Huyo mvuta bangi alitaka zimuumize ili Akalazwe Muhimbili!!



Nafikiri wavuta bangi ni wale walioketi kwenye vikao vya baraza la mawaziri chini ya Mwenyekiti wao,wakajadili na kuridhia mikataba ya kinyonyaji inayolitafuna Taifa hadi leo tunagombania mchanga,hao ndiyo wavuta bangi halisi.

Wagonga meza wa ccm waliwahi kumtimua Mh.Zitto aliyekuwa anapambana kuzuia unyonyaji wa Buzwagi,kwa kiburi cha wingi wao walimtimua bungeni kama walivyowatimua Halima na Bulaya,cha ajabu wavutabangi hao waliomfukuza Zitto bungeni kipindi kile anapambana kuuzuia uporaji wa Buzwagi/ACACIA,leo hii wanalia na kuomboleza na Rais wao na kuunda tume za kugombea mchanga,hizo kama si bangi ni nini?
 
Back
Top Bottom