Halima Mdee: Porojo za Dodoma haziniumizi

Halima Mdee: Porojo za Dodoma haziniumizi

Huyu ndugai si alikuwa anasifiwa hapa juzi juzi Tu.
 
Mdee unaendeleza dharau,Kamati ya Uongozi inatoa tamko unaita ...Porojo..mmmh Haya bwana
Ni mtovu wa Nidhamu sana huyu binti. Adhabu aliyopewa nafikiri haijamkolea.
 
Mdee unaendeleza dharau,Kamati ya Uongozi inatoa tamko unaita ...Porojo..mmmh Haya bwana
Dharau iko wapi? Kusema Kelele za DOM? Kwani Kusema kelele za Dom ni dharau kwa nani. Najua wewe umejielekeza kwamba anasemee Bunge. Hapa mimi sioni kama kasema hivyo na hata wakampeleka kwa maneno hayo atawaruka kitaa maana hajatamka kitu kama hicho
 
Jamaa anaendesha bunge kienyeji sana. Utafikiri ni Kijiwe cha wahuni.
 
Vipi aliyemwita mh. Mnyika mwizi hajapatikana?
 
Uozo mtupu badala ya kuwasimamisha wabunge waliopitisha miswaada madini,hovyooooo kabisa speaker
 
CCM kwisha habari yao wajiandae kutafuta mbinu mpya za kuiba kura, stupid!
 
Ndugai yeye alimoiga finbo vipi. Je amewahi kushtakiwa? Mbona hatujawahi kusokia ile kesi. Alistahili kufungwa kabisa ama kwa kuwa ni wa kwao!
 
Hatali sana wanasahau kwamba taifa linapitia kipindi kigum sana wanaleta utoto
 
Huyo anataka apewe adhabu ingine kali, atajiju mwanamke huyu hana nidhamu kabisa. Sijui mnachaguaje wabunge wenu wanatia aibu.

Hivi ana bwama huyu?
 
Back
Top Bottom