Halima Mdee: Porojo za Dodoma haziniumizi

Halima Mdee: Porojo za Dodoma haziniumizi

...

Nilichokiona kwa Ndugai na yeye anataka kumuiga Magufuli eti kwamba hachekicheki...
Bora umetambua ukweli kwamba hii Tanzania mpya ya "cheo ni dhamana", maana yake kuwajibika. Vivyo hivyo iwe kwa Bunge, Serikali au Mahakama, watendaji wake wakuu waheshima na kuzitendea ipasavyo nafasi zao za madaraka.

Mdee na Bulaya wasijiweke juu ya kiti cha spika na kutenda watendao.

Naamini Bulaya na Mdee wakirudi Bungeni watakuwa wamejifunza. Na sisi humu jamvini tuandike yoyote yale ambayo lakini hayatabadilisha kamwe kanuni za bunge.
 
'Porojo za Dodoma haziniumizi - Mdee, Baada ya kusomwa kwa adhabu yake.


Mwendawazimu,huyo anayemsindikiza nyumba ya milele,pamoja na utajiri wake ,umaarufu wake alikuwa mzee wa kujiheshimu sana,ungemtendea haki kama ungekuwa unajiheshimu,kwanza ungejiuliza mzee Ndesa kama aliwahi kufanya hayo unayoyafanya bungeni,hata binti wake hajawahi kufanya hayo unayoyafanya,unakuwa kama chokraa.
 
'Porojo za Dodoma haziniumizi - Mdee, Baada ya kusomwa kwa adhabu yake.


Kwa hiyo nae ni mpiga porojo,ala kumbe ubunge ni upiga porojo,wakati wa uchaguzi yeye na mama yake wlikuwa wanatoa machozi wakidai wameibiwa ili akose ubunge ,leo anaita ni porojo tu,nadhani angewaonea huruma watu wa jimbo lake,sasa atapiga porojo vizuri na huyo Buafrika wake.Hizo porojo sasa zitamfanya angalau aonekane jimboni mwake,siku hizi akipita anafunga madirisha yote ,safari ndio isha anza hivoo
 
Kwa hiyo nae ni mpiga porojo,ala kumbe ubunge ni upiga porojo,wakati wa uchaguzi yeye na mama yake wlikuwa wanatoa machozi wakidai wameibiwa ili akose ubunge ,leo anaita ni porojo tu,nadhani angewaonea huruma watu wa jimbo lake,sasa atapiga porojo vizuri na huyo Buafrika wake.Hizo porojo sasa zitamfanya angalau aonekane jimboni mwake,siku hizi akipita anafunga madirisha yote ,safari ndio isha anza hivoo

Wakati wa uchaguzi wewe ukiwa tandahimba as tulimpigia kuwa,kanikia la ccm lilibwagwa kama nyumbu
 
Ameshapata kiki ya kuingilia msibani kwake yatosha.
Haiwezi kumumiiza kwa sababu hayupo kwa maslahi ya wapiga kura wake.Ni hili liwe fundisho kwa watu wa kawe,mbunge wenu kasema haumii kwa kufukuzwa,kazi kwenu
Nawe unaleta porojo za umbea
 
Ukitafakari sana utagundua kuwa hii nchi kama imelaaniwa vile maana mambo yanayofanyika katika nchi hii hayafanyiki pengine popote pale ulimwenguni. Huwezi kutambua/kuona tofauti ya mtu aliyekwenda shule n.a.aseykwenda shule. Hivi hawa waheshiniwa ni kosa gani kubwa sana walilokosa hata kuadhibiwa kiasi hiki. Je kukosekana kwao bungeni kutabadilisha nini Tanzania. Hizi ni tabia za woga.
 
Kusimama kwa juliana shonza na kumshawishi spika atoe adhabu kubwa kwa wanawake wenzie inadhiirisha bado ana bifu na chadema na ni dhahiri dhana ya kwamba wanawake hawapendani imedhihirika wazi.Pengine kwa kuwa spika ni mwanachama mwenzao ndio maana ccm wavunjapo sheria hawachukuliwi hatua yoyote
 
Nafikiri wavuta bangi ni wale walioketi kwenye vikao vya baraza la mawaziri chini ya Mwenyekiti wao,wakajadili na kuridhia mikataba ya kinyonyaji inayolitafuna Taifa hadi leo tunagombania mchanga,hao ndiyo wavuta bangi halisi.

Wagonga meza wa ccm waliwahi kumtimua Mh.Zitto aliyekuwa anapambana kuzuia unyonyaji wa Buzwagi,kwa kiburi cha wingi wao walimtimua bungeni kama walivyowatimua Halima na Bulaya,cha ajabu wavutabangi hao waliomfukuza Zitto bungeni kipindi kile anapambana kuuzuia uporaji wa Buzwagi/ACACIA,leo hii wanalia na kuomboleza na Rais wao na kuunda tume za kugombea mchanga,hizo kama si bangi ni nini?
Kama mdau hapa. Nakuunga mko..o mkuu.
Nakuunga mkono mkuu!!

Hata mimi Nakojoaa
Link Rais Magufuli, kauli yako inaenda kuizika elimu ya juu

utaratibu wa Magufuli ni mbaya sana, ila mimi napenda maovu au mambo mabaya yawe mengii ili 2020 kazi iwe nyepesi.
 
Tangu lini ZB wakaunda kamati iliyo huru na yenye kusimamia haki!? ZERO BRAINS au ZUZU BRAINS kila siku maamuzi yao ni kuwaadhibu wabunge wa upinzani tu! Wabunge wa chama cha wahuni CCM walipokea rushwa ya milioni kila mmoja October 2016. Cha kustaajabisha hadi hii leo hatujasikia kamati ya maadili imuadhibu yoyote yule! Au Wabunge wa CCM moja ya maadili yao ni kupokea rushwa pia!?

Mdee unaendeleza dharau,Kamati ya Uongozi inatoa tamko unaita ...Porojo..mmmh Haya bwana
 
Ester Bulaya nakumbuka tukiwahi kuwa pamoja kampeni za Ngara 2010 nikakutakia mafanikio endapo endapo ungefaulu kuteuliwa kupitia Vijana., nikakwambia unapowawakilisha watu jiweke kwenye nafasi yao ukichukua historia ya Ester wa Biblia, utabadili mwenendo na mtazamo wa uwakilishi wako. WanaBunda walikuchagua si kwa sababu unafaa sana ila kwa kuwa walichoka kuongozwa na wasira usihangaike na porojo za Bungeni hazikujengi zinakubomoa, mwisho wa siku utabakia peke yako. Na hata bila wewe Bunda itaendelea kuwepo. Utaacha legacy ipi ndicho cha msingi ujumbe huu mmegee na Halima. Unatoka kinywani mwa mtu wa Mungu.
 
Bunge linalolinda maslahi ya chama na matumbo yao tu,kweli zile ni porojo tu na mihamko ya Spika kushindwa kuzuia hasira za kitoto,nakumbuka alivyompiga fimbo mgombea mweza!huyu jamaa anatatizo la kupanic au pressure ya kupanda
 
Kuna pipo znatoa mapovu kuhusu mdee lakn anashndwa kutoa povu kwa mbunge wake ambaye kila cku bungen ni ndiooooooo
 
[HASHTAG]#Wimbo[/HASHTAG]
kwahyo unataka akae kimya bungeni hata kama kuna uonevu? Hv kwel mnahangaika na akina mdee lakn saut ya kibajaji anapomtukana mnyika hamkusikia? Ebu tutolee upumbav wako hapa. Ester anajitambua sio kama madume suruali ya ccm ambayo kaz ni kupga makofi uchafu unaopitishwa bungeni.
 
[HASHTAG]#Wimbo[/HASHTAG]
kwahyo unataka akae kimya bungeni hata kama kuna uonevu? Hv kwel mnahangaika na akina mdee lakn saut ya kibajaji anapomtukana mnyika hamkusikia? Ebu tutolee upumbav wako hapa. Ester anajitambua sio kama madume suruali ya ccm ambayo kaz ni kupga makofi uchafu unaopitishwa bungeni.
Duh! Kazi kweli kweli/KKK.
 
Back
Top Bottom