Halima Mdee: Porojo za Dodoma haziniumizi

Halima Mdee: Porojo za Dodoma haziniumizi

Mimi nadhani wangeahirisha bunge lote ili tuokoe pesa tufanyie mambo mengine. Maana hawa jamaa huko mjengoni hakuna chcochote wanafanya kulisaidia taifa wamebaki kuitikia NDIOOO.

Leo wanalalmikia mikataba mibovu ya madini wakati wao ndio waliitikia NDIOOO.
We una wabunge kama kina Lusinde ambao hata madaktari walishindwa kugundua tatizo la ubongo wake unategemea nini
 
Ameshapata kiki ya kuingilia msibani kwake yatosha.
Haiwezi kumumiiza kwa sababu hayupo kwa maslahi ya wapiga kura wake.Ni hili liwe fundisho kwa watu wa kawe,mbunge wenu kasema haumii kwa kufukuzwa,kazi kwenu
Tutamchagua tena 2020!Mbunge wa ccm anayemkaribia Mdee bungeni kwa kuisimamia serikali labda Bashe tu,wengine wote wasindikizaji!
 
Ni Porojo kweli mana Ndugai anashikiwa akili na akina Shonza ma useless..kweli India waliondoka na akili za Spika na mibunge mizwazwa ikishangilia
Wakati anaagiza Makonda aitwe kwenye kamati hiyo hiyo ya maadili, alikuwa hajaenda india au? Maana mlimsifia sana humu
 
Ameshapata kiki ya kuingilia msibani kwake yatosha.
Haiwezi kumumiiza kwa sababu hayupo kwa maslahi ya wapiga kura wake.Ni hili liwe fundisho kwa watu wa kawe,mbunge wenu kasema haumii kwa kufukuzwa,kazi kwenu

Mkuu huwezi kuamini, watu wa Kawe wanamshangaa mbunge wao kwenda bungeni kupitisha mikataba ya madini ya 4% kwa nchi. Nadhani baada ya kufukuzwa watakuwa wameshukuru ile mbaya.

Hata mimi huwa nalidharau bunge ile mbaya, kila siku unasikia naunga mkono hoja lakini mbunge anataja matatizo hayohayo kila mwaka. Huwa wanapitisha bonge la bajet kwa vigelegele lakini hata panadol hospitalini huwa ni shida
 
Kwa hiyo Mdee anakubaliana na Makonda kuwa bungeni ni porojo tu na kusinzia
 
Wakati anaagiza Makonda aitwe kwenye kamati hiyo hiyo ya maadili, alikuwa hajaenda india au? Maana mlimsifia sana humu
Ushasema "wakati"..na thibitisha kuwa tulimsifia mana matomaso mpo wengi
 
Nakumbuka wakati wa Makinda watu walimkumbuka marehemu Sita, sijui sahivi Makinda naye ataanza kukumbukwa? ... heri ya jana?!...
 
Ndio faida kubwa ya bange! U're always free of stress...
 
Huyu Mdee na virasta vyake vile [emoji15] [emoji15]
 
Back
Top Bottom