'Porojo za Dodoma haziniumizi - Mdee, Baada ya kusomwa kwa adhabu yake.
Tangu Esthee Bulaya ahamie Chadema, huyu mbunge wetu wa Kawe amekuwa tatizo kubwa sana.Mdee unaendeleza dharau,Kamati ya Uongozi inatoa tamko unaita ...Porojo..mmmh Haya bwana
Na vurugu nyingi utawakuta wamapiga 'kolabo'.