Konda wa bodaboda
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,981
- 4,174
Kamati ya ccm hiyo ni ya kudharauliwa kama ccm inavyodharauliwa.Mdee unaendeleza dharau,Kamati ya Uongozi inatoa tamko unaita ...Porojo..mmmh Haya bwana
Kamati ya ccm hiyo ni ya kudharauliwa kama ccm inavyodharauliwa.Mdee unaendeleza dharau,Kamati ya Uongozi inatoa tamko unaita ...Porojo..mmmh Haya bwana
Cc;mkorintoKamati ya ccm hiyo ni ya kudharauliwa kama ccm inavyodharauliwa.
Nadhani umendika bila kutafakari. Take time kidogo kunywa maji fikiri hivi nine lipo kwenye mstari?Wachache nilio wanukuu MJITAFAKARI NA KUCHUKUA HATUA, ili mrejeshe uungwana wenu. Lakini kwa kuwa mnaandika nyuma ya keyboard na ID feki, mnaona ni sahihi kuunga mkono upuuzi wa Halima na Esther. Lakini, naamini moyoni mwenu hao wabunge siyo tu wanajidharirisha, pia wanadharirisha CHADEMA na heshima zenu humu JF
Kwa upumbavu unaofanyika, Bashite alikuwa sawa kuwadharau. Harafu Ndugai sijui yupoje siku hizi. Kuna kitu hakipo sawa kichwani mwake.Kina Makonda wakidharau bunge Wabunge wanakasirika
Hivi hawa maspika hawanaga hata aibu?? . Maana kuna maisha nje ya bunge.
Kupiga meza mtu akiropokaHivi mbali na kupata sitting allowance,kuna kitu kingine chochote cha maana kinachofanywa pale!
Wewe bwana unaye?? K A H A B A WEWE!!Huyo anataka apewe adhabu ingine kali, atajiju mwanamke huyu hana nidhamu kabisa. Sijui mnachaguaje wabunge wenu wanatia aibu.
Hivi ana bwama huyu?
Wachache nilio wanukuu MJITAFAKARI NA KUCHUKUA HATUA, ili mrejeshe uungwana wenu. Lakini kwa kuwa mnaandika nyuma ya keyboard na ID feki, mnaona ni sahihi kuunga mkono upuuzi wa Halima na Esther. Lakini, naamini moyoni mwenu hao wabunge siyo tu wanajidharirisha, pia wanadharirisha CHADEMA na heshima zenu humu JF
We unaye?halima mdee ni kubwa jinga hivi ana mme kweli
Una kiherehere kama mke wa balozKamati kuna mtu wa maana, wako kichama ccm
Porojo kabisa.Mdee unaendeleza dharau,Kamati ya Uongozi inatoa tamko unaita ...Porojo..mmmh Haya bwana
Kosa lipi kama c polojo?Mdee unaendeleza dharau,Kamati ya Uongozi inatoa tamko unaita ...Porojo..mmmh Haya bwana
Ni kweli ulio dhahiri kwamba Mdee na Bulaya hawakutenda kama ambavyo wewe ungetaka au mimi na wengine. Lakini kwa mtu mwenye kutaka kutoa hukumu ya haki ulipaswa uungwana wako ujielekeze kwenye kiini cha tatizo...
Hebu tujiulize leo kabisa kama watu wazima, kwenye kundi la wabunge chini ya 90 wa upinzani humo ndio kuna watovu saana wa nidhamu ambao kila siku kamati ya kina Mkuchika inaona makosa yao...