Halima Mdee on ITV Asubuhi Hii!.

Halima Mdee on ITV Asubuhi Hii!.

Wanadodi,

Mbunge wa Kawe, Mhe. Halima Mdee, yuko ITV akihojiwa live!.

Kwa kuanzia, anazungumzia ushiriki wa timu ya Bunge la Tanzania katika michuonao ya timu za mabunge ya nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki, ambao timu ya bunge la Tanzania iliibuka kidedea!.

Kwa ref. tuu, Halima Mdee ndie mbunge pekee wa kike wa upinzani iliyeingia bungeni kwa merrits!. Wengine wote "wamebebwa!".

Tuendelee kumsikiliza

Please keep on watching!

Pasco.

Kupenda kubaya...haya tumekusikia
 
Halina kuitwa Iron Lady hajakosewa, hizo poropaganda zenu za kumgombanisha na Dr. zitafika mwisho tu siku moja.
 
Makamanda mnanifurahisha sana. msigombane, kujenga chama kunaendana na kila mmoja wenu kuheshimu mawazo ya mwenzake.
 
Nampenda sana huyu mdada wa ukweli kisiasa vile vile wa ukweli ki..
Mkuu BLACKTIGER , hiyo inaitwa "expressing yourself", kupenda ni jambo zuri na kupendwa ni jambo la kheri na haswa mdada anapokuwa wa ukweli, kwenye siasa huku amesimama mwenyewe kwa miguu yake miwili!.
P
 
Pasco always check your grammar, mara uandike wanadodi mara samanini,ndio kiswahili gani hiki?una haraka gani?kwann hutulizi akili yako?
Mkuu T2015CCM, a.k.a unyakhae, kwanza asante kwa kuligundua kosa hilo!, ni mpaka ulipoligundua ndipo na mimi nikaliona, thanks!.
Hili la kutuliza akili nalo neno!, ila hata hizo akili zenyewe za kutulizwa ziwepo!, mimi zilihama!.
P.
 
Mkuu Pasco kweli Mheshimiwa yuko njema sana sema sauti inamwangusha sana sijui zamani alikuwa anakula msoba ha ha ha ha.
Mkuu Ngongo , nikisema naizimikia mpaka sauti, mtasema nimezidisha!. Ile inaitwa "Strong Authoritative Voice!", ile ni sauti ya kisiasa na sio sauti ya...
P.
 
ungesema "we only animals".... kwani mwanadamu ana faculties zinazomfanya aweze kutawala passions zake. Vitu vingine tunatakiwa kuvimezea hata kama tunaviona.
Mkuu Mzee Mwanakijiji , humans are animals by nature!. Ila pia tuna tofauti kubwa baina yetu katika uwezo wa kutawala passion zetu ndio maana kuna wengine wenye good self control, wanaweza kuona na kumezea!, wengine kama sisi ni dhaifu!, na tatizo lingine tuko too frank, kwenye ukweli tunasema no matter what!, ila uzuri wetu, tunaishia kuona na kusema tuu!, na kuna wenzetu ndio dhaifu zaidi, hao wakiona, wanaweza wasiseme kama sisi bali wanafutilia kabisa, hawapitwi na kitu hakikatishi!.

Mode: Hizi zinaitwa light politics, watu mmezoe heavy politics only, na wanapowaona hawa waheshimiwa wetu, wanadhani kupendwa ni kuwakosea heshima/adabu, no way!, they are only humans too!.
P.
 
Wanadodi,

Mbunge wa Kawe, Mhe. Halima Mdee, yuko ITV akihojiwa live!.

Kwa kuanzia, anazungumzia ushiriki wa timu ya Bunge la Tanzania katika michuonao ya timu za mabunge ya nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki, ambao timu ya bunge la Tanzania iliibuka kidedea!.

Kwa ref. tuu, Halima Mdee ndie mbunge pekee wa kike wa upinzani iliyeingia bungeni kwa merrits!. Wengine wote "wamebebwa!".

Tuendelee kumsikiliza

Please keep on watching!

Pasco.

Mode: Hizi zinaitwa light politics, watu mmezoe heavy politics only, na wanapowaona hawa waheshimiwa wetu, wanadhani kupendwa ni kuwakosea heshima/adabu, no way!, they are only humans too!.
P.
Kuna watu ni wageni humu kila uchao, hawajui humu kuna watu na watu wao, hawajui watu wameanzia wapi na watu wao wanaowakubali, leo linatokea jambo la kijinga jinga, unaposimama kwenye mstari kunyoosha jambo, wasiojua ndio wanadhania umeanza leo!.

Nimelikumbuka bandiko hili ni la 10 years back, mtu unamzimikia, hujawahi kumtokea wala kumwambia, ikitokea, ukaona kuna watu, tena wenye 'foleni' ndefu hao, wanataka kumletea uhuni!, lazima utasimama nae!.

Halima Mdee, keep up the fight, kuna millions huku mtaani watasimamama na wewe, na hata ikitokea ukakosa haki yako, bado kuna karma, itasimama na wewe, na itasimama nao!.
P
 
Wanadodi,

Mbunge wa Kawe, Mhe. Halima Mdee, yuko ITV akihojiwa live!.

Kwa kuanzia, anazungumzia ushiriki wa timu ya Bunge la Tanzania katika michuonao ya timu za mabunge ya nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki, ambao timu ya bunge la Tanzania iliibuka kidedea!.

Kwa ref. tuu, Halima Mdee ndie mbunge pekee wa kike wa upinzani iliyeingia bungeni kwa merrits!. Wengine wote "wamebebwa!".

Tuendelee kumsikiliza

Please keep on watching!

Pasco.

Mode: Hizi zinaitwa light politics, watu mmezoe heavy politics only, na wanapowaona hawa waheshimiwa wetu, wanadhani kupendwa ni kuwakosea heshima/adabu, no way!, they are only humans too!.
P.
Kuna watu ni wageni humu kila uchao, hawajui humu kuna watu na watu wao, hawajui watu wameanzia wapi na watu wao wanaowakubali, leo linatokea jambo la kijinga jinga, unaposimama kwenye mstari kunyoosha jambo, wasiojua ndio wanadhania umeanza leo!.

Nimelikumbuka bandiko hili ni la 10 years back, mtu unamzimikia, hujawahi kumtokea wala kumwambia, ikitokea, ukaona kuna watu, tena wenye 'foleni' ndefu hao, wanataka kumletea uhuni!, lazima utasimama nae!.

Halima Mdee, keep up the fight, kuna millions huku mtaani watasimamama na wewe, na hata ikitokea ukakosa haki yako, bado kuna karma, itasimama na wewe, na itasisima nao!.

Wewe ile karma ya Wajumbe waliokutosa Ubunge itampata nani?
 
Wewe ile karma ya Wajumbe waliokutosa Ubunge itampata nani?
Kwanza sio kila kitu kina karma, ukitoswa popote kwenye jambo lolote, hiyo inaitwa kukataliwa, ukikataliwa, ukaumia kwa kukataliwa, ukilia machozi ya ndani, yule aliyesababisha ukataliwe ndio karma itamkuta. Lakini ukiomba kitu fulani, hata tunda tuu la fulani, unetamani kumega, ukaambiwa ili umege, ninunulie chips kuku, nikugaiye tunda umege, wewe huna senti tano ya kununua chips kuku, hivyo unakataliwa, hupewi tunda kumega, hata ulie machozi nusu ndoo, hakuna karma yoyote itamfika huyo aliyekunyima tunda.

Kwenye kura za maoni za CCM, unakuwa umeishaambiwa kila kitu, unapaswa kunyoosha mkono kwa wajumbe, japo nauli na maji ya kunywa!, wewe hujanyoosha mkono kwa yeyote ukiamini ni CCM ya Nyerere, kumbe mkono mtupu haurambwi, katika mazingira hayo, hata uumie vipi, hakuna karma yoyote will take place.

Na kitu ulichotegemea wewe ni "umaarufu", unajulikana mpaka kwa "Kaka Mkubwa", unatoka "The Royal Tribe", hivyo unaamua hunyooshi mkono hata milimita moja!. Kumbe kupitia umaarufu wako, na wewe ulipendwaga na wengi na ukawakatalia, hivyo kule kukataliwa, ndiko malipo yenyewe ya karma ya kuwakataa uliowakatalia!, hivyo hakuna tena madeni ya karma.
Sasa subiria hiyo nyomi ya 2025
P
 
Wanadodi,

Mbunge wa Kawe, Mhe. Halima Mdee, yuko ITV akihojiwa live!.

Kwa kuanzia, anazungumzia ushiriki wa timu ya Bunge la Tanzania katika michuonao ya timu za mabunge ya nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki, ambao timu ya bunge la Tanzania iliibuka kidedea!.

Kwa ref. tuu, Halima Mdee ndie mbunge pekee wa kike wa Chadema aliyeingia bungeni kwa merrits za kushinda jimbo!. Wabunge wanawake wengine wote wa Chadema ni wale wa "wamebebwa!", yaani ni wa viti maalum, hivyo miongoni mwao kuna baadhi ni vitu vya watu kwa matumizi yale mengine ya kile kitu walichonacho na sio kwa ajili ya kuchangia hoja!.

Tuendelee kumsikiliza

Please keep on watching!

Pasco.

Mkuu Malunde-Malundi, mimi naishi jimboni kwake, 2015 nilijipanga kutest zali, ila kila nikimuona tuu!, naishia kumkodolea macho!. Wengine sisi tiumejaaliwa uwezo mkubwa wa "high state of mind suggestibility", hivyo ukimwangalia tuu mtu kwa macho tuu, kisha ukamu imagine..., kwisha kazi!, hivyo nikimtafutia kipindi kumpromoti, naweza kujikuta itabidi hata... niipromoti (nitashindwa!).

Mkuu Chifu Emeka Anyaoku, mtu ukiwa kama ni gamba kiukweli na unajitambua kuwa ni gamba ila unajifanya sio gamba, ukiitwa gamba, hilo litakutatiza!.

Lakini mtu ambae sio gamba kiukweli, na anajitambua sio gamba, ila kutokana na michango yake humu, akadhaniwa kuwa ni gamba, anapoitwa gamba, hilo halimtatizi!.

"Pasco wa jf ni gamba gumu kuliko hata la kombe!, halibanduki!".

Pasco.

Mkuu Gaijin, humu amesifiwa hadi Mama Salma, itakuwa Mdee!, we are all humans na tuna weaknesses zetu!. Kama ni kumsifu, nimemsifu kwenye thread starter nikasema ndiye mbunge pekee wa kike wa upinzani aliyesimama jimboni!, wengine wote wamebebwa!.

Katika kuelekea kwenye haki sawa, its about time hii affirmative action ya kubebwa na kupewa ubunge wa mdondo, uishe!, viti vya wanawake vifutwe!, wanawake muonyeshe uwezo kuwa mnaweza hata bila ya kubebwa!. Mchini Finland, nafasi ya urais imekuwa ikishikwa na wanawake kwa muda mrefu, siku alipotokea rais mwaume, watoto wakauliza "hivi kumbe hata mwanaume anaweza kuwa rais?!".
Nasisi Tanzania sasa twendeni tufike huko!, wanawake simameni kwa miguu yenu wenyewe kama Mhe. Mdee, msisubiri kubebwa!, tena kuna za chini chini, baada ya kumbeba mwanamke kwenye uspika, kuna mwanamke anafanyiwa grooming, abebwe kwenye urais!, mwanamke huyo nimemtaja kwenye uzi huu New Cabinet: Baadhi ya Majina ni Haya Hapa!

Pasco.

Mkuu Sabung'ori mbona nimesema kila kitu!.
P.

Mkuu TUKUTUKU , huku sio kuteleza kidogo, ni kuteleza kukubwa!, amini usiamini, pamoja na zile ziara zangu kibao kule mjengoni, nilimdhania huyi mama ni wa viti maalum!, sijabahatia kuisikia michango yake akimwaga cheche bungeni!. Kuna maeneo CCM imepigwa chini kwa sababu wameichoka mpaka basi!, inamaana Chadema hata wangesimamisha jiwe lingepita!. Nimewashauri wasirudie makosa, 2015 wasimamishe kila jimbo, ila lazima wakubali kuachiana baadhi ya majimbo ambayo vyama vingine vya upinzani wina strong candidate!.
P.

Mkuu Tume ya Katiba, mbona nilishakiri udhaifu!, sisi wengine tuoneni hivi hivi..tu wagonjwa!.
P.

Mkuu 1800, usiwe na wasiwasi, mimi ... kwa macho tuu, mwenzio tayari long time ago, ni father of six!, mchana umeshapita sasa naelekea jioni!, hapo ni kazi kwenu vijana!.

Siku moja niliwaona wabunge vijana masingle pale Club 94. Halima alikuwa na Esta, na kale kabinti ka Kigoma, huku vijana Nasari na wengine wawili, huwezi amini, japo niliingia mle kusafisha macho tuu, niliishia kuwakodolea tuu macho na ukiwaona hizo dresing zao huko club,,wee acha tuu!.
P.

No Mkuu Ben, high profile politicians kama huyu dada, anything she does ni politics, topic imedeviate kidogo kutokana na weaknesses zetu sisi wengine!. Siwaoni waliosikiliza nondo za amesema nini?!.

Mara ya kwanza kukutana nae face to face, ilikuwa ni uchaguzi mdogo wa Busanda, baadae ule wa Biharamulo, kule kuna vumbi usipime, sasa ukimuona na zile combat na ile beauty na nyele vumbi, anaonekana kama camandoo fulani..

Ngoja nijinyamazee tusizidi kupotea, ila huyu Mbunge Binti, Mhe. Mdee... mimi basi tena, ..wee acha tuu!..
P.

No no no, Mkuu 1800, mimi kwishney mpaka maini!, nimebaki ...kwa macho tuu!.
Ila nyie vijana wa siku hizi sijui vipi!?!, mnakua waoga waoga tuu kujaribu, sisi enzi zetu, moyo ukimdondokea mtu, unamtokea, unajaribu, ukikataliwa unasonga mbele lakini angalau ulijaribu!. Wewe kama ni bado kijana, na hayo usemayo ni kweli, jaribu bahati yako huwezi jua!, zali la mentali linaweza kukudondokea, ila be carefull, huyu mdada ni comandoo angalia usije ukataka kuleta za kuleta!, utatoka manundu!.
P.

Mkuu Mzee Mwanakijiji, We are only human!.
P

Mkuu BLACKTIGER , hiyo inaitwa "expressing yourself", kupenda ni jambo zuri na kupendwa ni jambo la kheri na haswa mdada anapokuwa wa ukweli, kwenye siasa huku amesimama mwenyewe kwa miguu yake miwili!.
P

Mkuu T2015CCM, a.k.a unyakhae, kwanza asante kwa kuligundua kosa hilo!, ni mpaka ulipoligundua ndipo na mimi nikaliona, thanks!.
Hili la kutuliza akili nalo neno!, ila hata hizo akili zenyewe za kutulizwa ziwepo!, mimi zilihama!.
P.

Mkuu Ngongo , nikisema naizimikia mpaka sauti, mtasema nimezidisha!. Ile inaitwa "Strong Authoritative Voice!", ile ni sauti ya kisiasa na sio sauti ya...
P.

Mkuu Mzee Mwanakijiji , humans are animals by nature!. Ila pia tuna tofauti kubwa baina yetu katika uwezo wa kutawala passion zetu ndio maana kuna wengine wenye good self control, wanaweza kuona na kumezea!, wengine kama sisi ni dhaifu!, na tatizo lingine tuko too frank, kwenye ukweli tunasema ukweli huo no matter what!, ila uzuri wetu, tunaishia kuona na kusema tuu!, na kuna wenzetu ndio dhaifu zaidi, hao wakiona, wanaweza wasiseme kama sisi bali wanafutilia kabisa, hawapitwi na kitu hakikatishi!.

Mode: Hizi zinaitwa light politics, with a light torch, watu mmezoe heavy politics only, na wanapowaona hawa waheshimiwa wetu, wanadhani hawa sio binadamu hivyo hawahitaji kupendwa, ama ukiwatokea ni kuwakosea heshima/adabu, no way!, they are only humans too!, they need love and be loved!.
P.
Kinachokufurahisha ni nini Pascal, wakati wewe ni Kijani?!!
Mkuu Kimwa, Kimwakaleli , angalia tarehe ya bandiko hili, na hoja zake, utaelewa!.
P
 
Wanadodi,

Mbunge wa Kawe, Mhe. Halima Mdee, yuko ITV akihojiwa live!.

Kwa kuanzia, anazungumzia ushiriki wa timu ya Bunge la Tanzania katika michuonao ya timu za mabunge ya nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki, ambao timu ya bunge la Tanzania iliibuka kidedea!.

Kwa ref. tuu, Halima Mdee ndie mbunge pekee wa kike wa Chadema aliyeingia bungeni kwa merrits za kushinda jimbo!. Wabunge wanawake wengine wote wa Chadema ni wale wa "wamebebwa!", yaani ni wa viti maalum, hivyo miongoni mwao kuna baadhi ni vitu vya watu kwa matumizi yale mengine ya kile kitu walichonacho na sio kwa ajili ya kuchangia hoja Bungeni!.

Pasco.
How trustworthy is she? Her treachery will never be forgotten, once bitten twice shy.
Mkuu Monsta, M O N S T E R, kwa kilichotokea, hili sio swali, trustworthy ya mtu unaipima machoni!, kati ya Bulaya, Matiko na Mdee, nani jembe CCM wangemtamani sana?. Angekuwa sio trustworthy, angerudi Chadema kufanya nini badala ya kwenda CCM kwenye fursa?.
P
 
Mkuu Monsta, Monster , kwa kilichotokea, hili sio swali, trustworthy ya mtu unaipima machoni!, kati ya Bulaya, Matiko na Mdee, nani jembe CCM wangemtamani sana?. Angekuwa sio trustworthy, angerudi Chadema kufanya nini badala ya kwenda CCM kwenye fursa?.
P
Wale wenzake at least walikuwa na u-CCM hivyo(my thoughts) labda yeye CCM hakuaminika kama wenzake(I might be wrong on this one) au kukawa na sababu ambazo sisi tunaouangalia mchezo tukiwa nje ya uwanja tukawa hatuzifahamu.
Inawezekana kabisa wholeheartedly amerudi pasina hidden agenda lakini kuwa cautious kwa mtu ambaye ameshawahi kukuchoma kisu cha mgongo ni muhimu, it doesn't cost much to be cautious.
 
Wale wenzake at least walikuwa na u-CCM hivyo(my thoughts) labda yeye CCM hawakuaminika kama wenzake(I might be wrong on this one)
Si kweli, CCM ni kumbakumba, moja wa watu wa Chadema ambao CCM ingewatamani sana ni huyu, amekuwa firm amegoma kununuliwa!, angekuwa cheap au mtu wa tamaa za fursa, angekwenda CCM na saa hizi angekuwa full minister kama wenzake!. Huyu ni born and breed Chadema, na kama angekataliwa kurejea Chadema, angebaki bila chama!.
au kukawa na sababu ambazo sisi tunaouangalia mchezo tukiwa nje ya uwanja tukawa hatuzifahamu.
Ni kweli wengi wa watazamaji sio wa nje tuu hawaufahamu mchezo, hata wa ndani hawakuufahamu nchezo akiwemo KM wa Chadema, JJ. Nnyika, hakuufahamu mchezo. Huyu she is a woman of integrity, yeye ndie master mind, ila alifanya consultations, akapata go ahead, akaproceed, akiamini they are doing a good thing and indeed its a good thing!, akitegemea moto ukiwaka, yule Godfather atawakingia kifua!, moto ulipowaka, Godfather aka kausha kama sio yeye!. Halima hilo akalibeba, akakubali kuubeba msalaba bila kumchoma aliye facilitate, mimi niliwatajia Voices From Within: Unaweza usiamini! Aliyetoa A Go ahead kwa Mdee na Wenzake ni Kigogo wa Chadema!. Alikuwepo Ukumbini na Vikaoni! Je, ni nani?, mpaka leo mpaka kesho amemlinda, huu ni ushujaa mkubwa sana!, she is an iron lady!.
Inawezekana kabisa wholeheartedly amerudi pasina hidden agenda lakini kuwa cautious kwa mtu ambaye ameshawahi kukuchoma kisu cha mgongo ni muhimu, it doesn't cost much to be cautious.
Naunga mkono hoja ya to be cautious, ila mtu uliyemfukuza, akapata fursa ya kulamba bingo ya CCM, akaacha fursa na kurejea kwenye dhiki ya Chadema, hawezi kuwa na any hidden agenda!.
P
 
Back
Top Bottom