Ruppy karenston
JF-Expert Member
- Jun 5, 2011
- 412
- 73
Alishindwa Adamu aliyeumbwa na Mungu mwenyewe kwa kufinywagwa!, tutakuwa sie?!.
P.
Pasco, u have made my day.
Alishindwa Adamu aliyeumbwa na Mungu mwenyewe kwa kufinywagwa!, tutakuwa sie?!.
P.
what the hell!!!?? yawezekana ni mwisho wa mwaka... tunakuwa distracted kirahisi sana... ndio maana kuna mtu aliingia Ikulu kwa sababu alikuwa "so handsome"...
Mbunge wangu, ameadimika sana jimboni hadi tumemsahau kama yupo!
Naona makamanda mnaropoka ovyo tu mtadhani mmekatwa vichwa, nimewambia leteni ushahidi lini nilisema mbunge wangu Mnyika...kumbe nikimchana Mnyika apeleke maji Kimara Bonyokwa mnadhani ni mbunge wangu.
Mbunge wangu huyu nilimpigia kura lakini bahati mbaya anakutana na upinzani mkubwa ndani ya chama chake kati yake na Josephine, nani sijui atapitishwa na chama kugombea jimbo la Kawe.
Sijawahi kupiga kura Ubungo, kumwambia Mnyika watu wa Kimara wanataka maji ndiyo kupiga kura.
Wewe ni gamba inawezekanaje mgombea ubunge wa jimbo lako kupitia mabwepande usi mjue au ndiyoo unazidi kujianika kuwa wewe ni mnafiki kama mwenyekiti wako mhaongwa suti na mpiga dili za madawa ya kulevya...
Mbunge wangu huyu nilimpigia kura lakini bahati mbaya anakutana na upinzani mkubwa ndani ya chama chake kati yake na Josephine, nani sijui atapitishwa na chama kugombea jimbo la Kawe.
Mkuu Malunde-Malundi, Mimi naishi jimboni kwake, 2015 nilijipanga kutest zali, ila kila nikimuona tuu!, naishia kumkodolea macho!. Wengine sisi tiumejaaliwa uwezo mkubwa wa "high state of mind suggestibility", hivyo kwa kwa macho tuu!, nikimtafutia kipindi kumpromoti, itabidi ...(nitashindwa!).
P.
Uchaguzi ujao jimbo la kawe mgombea atakuwa diwani wa kunduchi, wa kawe au josephine. Halima haelewani na slaa
Mkuu TUKUTUKU, huku sio kuteleza kidogo, ni kuteleza kukubwa!, amini usiamini, pamoja na zile ziara zangu kibao kule mjengoni, nilimdhania huyi mama ni wa viti maalum!, sijabahatia kuisikia michango yake akimwaga cheche bungeni!. Kuna maeneo CCM imepigwa chini kwa sababu wameichoka mpaka basi!, inamaana Chadema hata wangesimamisha jiwe lingepita!. Nimewashauri wasirudie makosa, 2015 wasimamishe kila jimbo, ila lazima wakubali kuachiana baadhi ya majimbo ambayo vyama vingine vya upinzani wina strong candidate!.
P.
Mahojiano yamemalizika, sanahanini sikufanikiwa kusikia kitu!, akili ziliniruka!.
P.
Wanadodi,
Kwa ref. tuu, Halima Mdee ndie mbunge pekee wa kike wa upinzani iliyeingia bungeni kwa merrits!. Wengine wote "wamebebwa!".