Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 57,144
- 128,786
- Thread starter
- #41
Mkuu TUKUTUKU , huku sio kuteleza kidogo, ni kuteleza kukubwa!, amini usiamini, pamoja na zile ziara zangu kibao kule mjengoni, nilimdhania huyi mama ni wa viti maalum!, sijabahatia kuisikia michango yake akimwaga cheche bungeni!. Kuna maeneo CCM imepigwa chini kwa sababu wameichoka mpaka basi!, inamaana Chadema hata wangesimamisha jiwe lingepita!. Nimewashauri wasirudie makosa, 2015 wasimamishe kila jimbo, ila lazima wakubali kuachiana baadhi ya majimbo ambayo vyama vingine vya upinzani wina strong candidate!.Mkuu Pasco hapo umeteleza kidogo Halima mdee siyo mbunge pekee wa kike wa upinzania aliyeingia bungeni kwa merits,kwani kuna mbunge wa kike wa Kasulu vijijini anaitwa Buyogera Zaituni Agripina wa NCCR-MAGEUZI,huyu ameingia bunge kwa kuchaguliwa baada ya kumshinda Daniel Nsanzuzwako wa CCM!
P.