Halima Mdee on ITV Asubuhi Hii!.

Halima Mdee on ITV Asubuhi Hii!.

Ungekuwa mwanamke ungelinganishwa na wale wa kona bar..we si ukisema umemchagua mnyika mara hii umehamia kawe...acha umangimeza

Mkuu wewe mtoto wa kiume usiwe na tabia za umbea.

Uzuri JF inahifadhi mabandiko ya kila member ukiweka bandika langu ambalo nimesema nimemchagua Mnyika, kuanzia leo najitoa JF.

Usipoweka kuanzia leo nakuweka kwenye kundi la wazadiki wa JF.
 
Hahaha pasco, sasa mtafutie kipindi maana wewe najua utapromote tu ila pale ni hoja tu kwenda mbele hata nyerere wengine hawakumwelewa hadi kesho akiwemo mkuu wa kaya, pole sana zangu nimechelewa.
 
Ulimpigia kura wewe gamba!Ritz acha kuchekesha wana jf asubuh hii bwana!

Kweli kura yangu nilimpa Mdee, rais JK. yule mpinzani wa Mdee alikuwa mwanamke pia akunivutia.
 
Hahaha pasco, sasa mtafutie kipindi maana wewe najua utapromote tu ila pale ni hoja tu kwenda mbele hata nyerere wengine hawakumwelewa hadi kesho akiwemo mkuu wa kaya, pole sana zangu nimechelewa.
Mkuu Malunde-Malundi, mimi naishi jimboni kwake, 2015 nilijipanga kutest zali, ila kila nikimuona tuu!, naishia kumkodolea macho!. Wengine sisi tiumejaaliwa uwezo mkubwa wa "high state of mind suggestibility", hivyo kwa kwa macho tuu!, nikimtafutia kipindi kumpromoti, itabidi ...(nitashindwa!).
P.
 
Kiukweli, kila mtu anauwezo wa kuuona uzuri kutokana na macho yake!, mimi mwenzeni nimeshindwa ku update chochote Mdee anachosungumza, nimebaki nikimkodolea macho tuu!, na kukusaidia, hiyo sio wigi, hizo ni nywele zake na zimempendeza sana mpaka wengine kushindwa ku update anachozungumza!.

Sorry wanabody wengine kushindwa ku update, na mimi ni binadamu tuu!.

Pasco.

Watu wenye sauti kwenye jamii badala ya kusaidia kwenye kuhamasisha nafasi na uwezo wa mwanamke kwenye nafasi za maamuzi, uchumi na siasa mnaanza kusambaza sifa za uzuri wake

Ni aibu
 
NGOSWE! Yani tunakutuma kazi ushazama kwenye mapenzi!
 
Pasco mada hii umeleta kizandiki so far wewe ni gamba
Hili nalo tatizo la kitaifa,lahitaji mjadala wa kitaifa pia! Yani mtu akiwa CCM haruhusiwi kupongeza ya CDM? And vice versa? Tukubali kukosolewa/kupongezwa kwani watu wote wanaokosoa/kupongeza wana lengo moja tu,ni kujenga Democracy. Tubadilike wadau tuache siasa za kijima.
 
Pasco mada hii umeleta kizandiki so far wewe ni gamba
Mkuu Chifu Emeka Anyaoku, mtu ukiwa kama ni gamba kiukweli na unajitambua kuwa ni gamba ila unajifanya sio gamba, ukiitwa gamba, hilo litakutatiza!.

Lakini mtu ambae sio gamba kiukweli, na anajitambua sio gamba, ila kutokana na michango yake humu, akadhaniwa kuwa ni gamba, anapoitwa gamba, hilo halimtatizi!.

"Pasco wa jf ni gamba gumu kuliko hata la kombe!, halibanduki!".

Pasco.
 
Kiukweli, kila mtu anauwezo wa kuuona uzuri kutokana na macho yake!, mimi mwenzeni nimeshindwa ku update chochote Mdee anachosungumza, nimebaki nikimkodolea macho tuu!, na kukusaidia, hiyo sio wigi, hizo ni nywele zake na zimempendeza sana mpaka wengine kushindwa ku update anachozungumza!.

Sorry wanabody wengine kushindwa ku update, na mimi ni binadamu tuu!.

Pasco.

...acha kuzunguka mbuyu,siuseme tu!...
 
Kuna mambo ya msingi ya kujadili, inakuwaje wanajadili michuano ya mibunge ya jumuiya ya madola yenye back up ya mafreemason?
Inatusaidia nini sisi watanzania?
 
Watu wenye sauti kwenye jamii badala ya kusaidia kwenye kuhamasisha nafasi na uwezo wa mwanamke kwenye nafasi za maamuzi, uchumi na siasa mnaanza kusambaza sifa za uzuri wake

Ni aibu
Mkuu Gaijin, humu amesifiwa hadi Mama Salma, itakuwa Mdee!, we are all humans na tuna weaknesses zetu!. Kama ni kumsifu, nimemsifu kwenye thread starter nikasema ndiye mbunge pekee wa kike wa upinzani aliyesimama jimboni!, wengine wote wamebebwa!.

Katika kuelekea kwenye haki sawa, its about time hii affirmative action ya kubebwa na kupewa ubunge wa mdondo, uishe!, viti vya wanawake vifutwe!, wanawake muonyeshe uwezo kuwa mnaweza hata bila ya kubebwa!. Mchini Finland, nafasi ya urais imekuwa ikishikwa na wanawake kwa muda mrefu, siku alipotokea rais mwaume, watoto wakauliza "hivi kumbe hata mwanaume anaweza kuwa rais?!".
Nasisi Tanzania sasa twendeni tufike huko!, wanawake simameni kwa miguu yenu wenyewe kama Mhe. Mdee, msisubiri kubebwa!, tena kuna za chini chini, baada ya kumbeba mwanamke kwenye uspika, kuna mwanamke anafanyiwa grooming, abebwe kwenye urais!.

Pasco.
 
Kweli kura yangu nilimpa Mdee, rais JK. yule mpinzani wa Mdee alikuwa mwanamke pia akunivutia.
Ritz una lako jambo,nakumbuka mpinzani mkuu wa Mdee alikuwa Mbatia jee???? ... Mnh haya bwana!
 
Kwa ref. tuu, Halima Mdee ndie mbunge pekee wa kike wa upinzani iliyeingia bungeni kwa merrits!. Wengine wote "wamebebwa!".Pasco.

Mkuu Pasco hapo umeteleza kidogo, Halima mdee siyo mbunge pekee wa kike wa upinzani aliyeingia bungeni kwa merits,kwani kuna mbunge wa kike wa Kasulu vijijini anaitwa Buyogera Zaituni Agripina wa NCCR-MAGEUZI,huyu ameingia bunge kwa kuchaguliwa baada ya kumshinda Daniel Nsanzuzwako wa CCM!
 
Ndio namuona.wigi lime mpunguzia uzuri wake.
Wakati mwingine.....
Kiukweli, kila mtu anauwezo wa kuuona uzuri kutokana na macho yake!, mimi mwenzeni nimeshindwa ku update chochote Mdee anachosungumza, nimebaki nikimkodolea macho tuu!, na kukusaidia, hiyo sio wigi, hizo ni nywele zake na zimempendeza sana mpaka wengine kushindwa ku update anachozungumza!.

Sorry wanabody wengine kushindwa ku update, na mimi ni binadamu tuu!.

Pasco.

Nimeamini,nilidhani masikhara....ha ha ha!

Mahojiano yamemalizika, sanahanini sikufanikiwa kusikia kitu!, akili ziliniruka!.
P.
Weekend njema!
 
Mkuu Pasco hapo umeteleza kidogo, Halima mdee siyo mbunge pekee wa kike wa upinzani aliyeingia bungeni kwa merits,kwani kuna mbunge wa kike wa Kasulu vijijini anaitwa Buyogera Zaituni Agripina wa NCCR-MAGEUZI,huyu ameingia bunge kwa kuchaguliwa baada ya kumshinda Daniel Nsanzuzwako wa CCM!

Msamehe pasco ana maradhi ya nyoyo!
 
Back
Top Bottom