Halima Mdee ahamishiwa central police baada ya masaa 72

Halima Mdee ahamishiwa central police baada ya masaa 72

Saafi sana, mamlaka za nchi lazima ziheshimike. Akitoka huko akili itakuwa imemkaa sawa. Hii ndio laana ya kumtukana Spika Ndugai, kakutana na kisiki Mzirankende.
Viongozi wa kiafrika hawataki kukosolewa na ndio maana afrika imeendelea sana kuliko mabara yote.kauli za viongozi wa afrika zinataka kuwa Kama zimetoka kinywani mwa Mungu.
 
Halima mdee ni jembe tu hata kama watamlaza ndani wiki nzima
 
::TAARIFA::

Taarifa kwa Wanachama wa Chadema na Wananchi wa Jimbo la Kawe, Mhe Halima Mdee Mbunge wa Kawe aliyekuwa akishikiliwa na Jeshi la Police Kituo cha Osterbay tokea siku ya Jumanne jioni mpaka sasa Amehamishiwa Central Police.

Kwa wale wote mnaotaka kumjulia hali Mbunge kwasasa tuelekee Central Police....

BY HENRY KILEWO
KATIBU CDM DSM
Afu jioni kuna posho kulisha familia zetu?
 
akitoka huko atakuwa mwanamke anaejiheshimu..na anayeheshimu jamhuri.

Rais wa jamhuri sio raihisi rahisi kama wanavyodhani..huwezi kumdhalilisha Mheshimiwa kwa kumkosea adabu..

anyooshwe tu hamna namna..
Walikuwepo akina Hitler wako wapi Ndugu? Hakuna mmliki wa hii Dunia, zaidi zaidi yatawarudia tu wenye Uonevu kwa binadamu wenzao!
 
Sawa...lkn tambua Ya kuwa mpinzani kazi yake ni kukosoa serikali khsu kutumia lugha kali kwa
Mkuu wa nchi hyo ni mzuka naona ulipandaa hapo sasa inabidi wapinzani wabadilike maana tunajuaa mpaka 2019 kuna mkakati wa kukaweka ndani wapinzani kudhofisha ushiriki wao ktk chaguzi unaokuja....

Ova
Sijakataa na wala sipingani na wewe katika hilo suala la upinzani mkuu. Tatizo ni hizo lugha na matusi yanayotumika...haswa kwa Viongozi wa serikali.
Ndio maana hata Kama wapinzani wanaonewa kwa kuswekwa ndani lakini ukiangalia mambo yanayopelekea hayo makadhia yote yanatokana na wapinzani wenyewe.
Ni sawa sawa unamlea mtoto wa kambo na inajulikana hana tabia nzuri lakini hauna jinsi wala sababu ya kumlamba fimbo. Unatafuta mbinu ya kuwa unamtegeshea shilingi mia mia ukijua ataichukua....na kweli anaichukua na unamkamata red handed. Ukimlamba fimbo hapo utakuwa sahihi mbele ya jamii...ilhali ulimtegeshea kwa makusudi.
 
Maneno yako ya kanga haya yameshazoeleka. Wakati Halima anagombea kwa mara ya kwanza, maneno yalikuwa haya haya. Akamgalagaza mtu wenu. Uchaguzi wa mwisho maneno ni hayo hayo. Tena mkamleta Kippi. Akamdondosha mtoto wa yule mnafiq kwa ushindi wa kishindo.
Kwa hiyo, hiyo mipasho yako peleka lumumba wakaitungie wimbo katika bendi ya toti.
Role model wenu kamtukana Rais, kampeni moyo pale Central aendelee na moyo huo huo.
 
Sijakataa na wala sipingani na wewe katika hilo suala la upinzani mkuu. Tatizo ni hizo lugha na matusi yanayotumika...haswa kwa Viongozi wa serikali.
Ndio maana hata Kama wapinzani wanaonewa kwa kuswekwa ndani lakini ukiangalia mambo yanayopelekea hayo makadhia yote yanatokana na wapinzani wenyewe.
Ni sawa sawa unamlea mtoto wa kambo na inajulikana hana tabia nzuri lakini hauna jinsi wala sababu ya kumlamba fimbo. Unatafuta mbinu ya kuwa unamtegeshea shilingi mia mia ukijua ataichukua....na kweli anaichukua na unamkamata red handed. Ukimlamba fimbo hapo utakuwa sahihi mbele ya jamii...ilhali ulimtegeshea kwa makusudi.
Sawa basi kwann wasimpeleke mdee mahakamani tu!

Ova
 
::TAARIFA::

Taarifa kwa Wanachama wa Chadema na Wananchi wa Jimbo la Kawe, Mhe Halima Mdee Mbunge wa Kawe aliyekuwa akishikiliwa na Jeshi la Police Kituo cha Osterbay tokea siku ya Jumanne jioni mpaka sasa Amehamishiwa Central Police.

Kwa wale wote mnaotaka kumjulia hali Mbunge kwasasa tuelekee Central Police....

BY HENRY KILEWO
KATIBU CDM DSM
Vipi Mkuu nadhani hajala Siku ya nne leo hatembelei wheelchair kweli?
 
Role model wenu kamtukana Rais, kampeni moyo pale Central aendelee na moyo huo huo.

Halima hajamtukana raisi. Huo ni uelewa wako. Tafsiri ya matusi inatolewa na mahakama. Kama wewe na wajinga wenzako mnajiamini, mpelekani mahakamani basi. Waoga kama kunguru. Shame.
 
Hivi kwanini wengi ambao wanachangie ni ID mpya?
 
Back
Top Bottom