Halima Mdee ahamishiwa central police baada ya masaa 72

Halima Mdee ahamishiwa central police baada ya masaa 72

Mpaka Ngosha akimaliza awamu zake za utawala.
Nawasihi wananchi wenzangu mcheze ngoma mkiangalia jua vinginevyo mtaumia zaidi.

Sina chama wala sihitaji siasa, huu ni ushauri wa bure nawapa.
Akili mbofu
 
akitoka huko atakuwa mwanamke anaejiheshimu..na anayeheshimu jamhuri.

Rais wa jamhuri sio raihisi rahisi kama wanavyodhani..huwezi kumdhalilisha Mheshimiwa kwa kumkosea adabu..

anyooshwe tu hamna namna..
Acha utaaira kama wanaume hapi
 
Kwa huku Kawe Halima ni reject, hakuna anayemhurumia jimboni kwake maana hana alichosaidia.

Aendelee kugombana na wakubwa huko huko na kama mada inavyosema CHADEMA waendelee kumuona huko selo Central.
Na ajabu wanaenda kumpa moyo kwa kumtukana Rais.

Maneno yako ya kanga haya yameshazoeleka. Wakati Halima anagombea kwa mara ya kwanza, maneno yalikuwa haya haya. Akamgalagaza mtu wenu. Uchaguzi wa mwisho maneno ni hayo hayo. Tena mkamleta Kippi. Akamdondosha mtoto wa yule mnafiq kwa ushindi wa kishindo.
Kwa hiyo, hiyo mipasho yako peleka lumumba wakaitungie wimbo katika bendi ya toti.
 
Binadam anaefurahia shida ya binadam mwenzake . ni mjinga kuliko anavyofikiri yeye. Hapa duniani ni mapito tu . hakuna MTU atakaye ishi miaka milioni. Yamepita mengi machungu .dhuluma uonevu. Lakini Mungu ametushindia.baada ya haya waonevu watabaki na wasfiwasi kwa maana hawatadumu na nafasi hizi milele. Kwani kina Mlongo wako wapi. Mungu hawezi kuwaacha mkaendelea na uonevu wenu. Huu uonevu ni wa muda tu.
 
Mwl aliona mbali kuzuia baadhi ya makabila kupewa madaraka makubwa.

Nikweli mkuu ila mi bado nailaumu taasisi hata sijui vetting hua inafanyikaje? urais unahitaji hekima na subira iliotukuka kama huna hivyo vyote utaumiza watu.... maana katika nchi akitoka Mungu kua na mamlaka anaefuatia ni rais wa nchi... sasa hapo tuna mtihani mzito wengi watakufa kabla ya 2020.
 
You could be thickhead mkuu, really. Kupata u-das? Who told you so? Jadili hoja acha kuleta porojo za kindezi you bozo!!

Wewe fafa tu huna lolote. U-das ni maendeleo makubwa sana kwako. Endelea kujjgaraguza tu kama teshiba.
 
Nikweli mkuu ila mi bado nailaumu taasisi hata sijui vetting hua inafanyikaje? urais unahitaji hekima na subira iliotukuka kama huna hivyo vyote utaumiza watu.... maana katika nchi akitoka Mungu kua na mamlaka anaefuatia ni rais wa nchi... sasa hapo tuna mtihani mzito wengi watakufa kabla ya 2020.
True
 
Huyo ndio jembe la kawe anakata mpaka wafuasi wa magufuli wanataka kupatia kiki na kwa sababu mkulu kapaniki kwa kusanya mapata ya bilioni 700 badala ya trilioni lazima adivert attention makinikia kaufyata, viwanda kurudisha kaufyata, ndege bomdaier mbovu kaufyata, uwanja wa ndege usioisha kaufyata, standard gauge ya reli kukosa fedha ya kuanzia kazi kaufyata,bandari kukosa soko kaufyata, elimu bure kubuma kaufyata anataka kupambana na toto janja la mjini Halima atamuweza kwa kumuweka ndani halafu ndio taifa litamuheshimu mtu anajiita kiongozi asiye na siha ya kuw kiongozi anatukana kuliko binadamu yeyote wa Tanzania Magufuli ajitafakali aache frustration zake ziharibu na kugawa hili taifa vipande eti uchochezi wakati yeye ndie anayefanya uchochezi
 
Yote yanapita na yanamuda wake ulitarajia nape kutolewa bastola??Vuvuzela kama yule??Akili za UVCCM ni sawa na kichwa,cha kuku

Raha yenu matusi hamkomi? unafananisha akili za binadamu na kichwa cha kuku,loo acha ulimwengu uwafunze.
 
::TAARIFA::

Taarifa kwa Wanachama wa Chadema na Wananchi wa Jimbo la Kawe, Mhe Halima Mdee Mbunge wa Kawe aliyekuwa akishikiliwa na Jeshi la Police Kituo cha Osterbay tokea siku ya Jumanne jioni mpaka sasa Amehamishiwa Central Police.

Kwa wale wote mnaotaka kumjulia hali Mbunge kwasasa tuelekee Central Police....

BY HENRY KILEWO
KATIBU CDM DSM
Huu ni uonevu na ukiukwaji wa demokrasia na kwa mwendo huu ni wazi uvunjifu wa haki za binadamu na utawala bora vinaanza kuonekana kutoweka. Nashangaa vyombo vinavojinasibu na kusimamia haki za binadamu vimekaa kimya!!
 
Hapo sasa kama ni kupelekwa mahakamani ni jumatatu au jumanne! KAMA bado yuko kwenye hunger strike jumanne watampeleka hospitali siyo mahakamani maana afya yake itakuwa si nzuri, labda jumatano hakimu atamsomea mashitaka akiwa kitandani. Very sad!

Hivyo ndivyo wanavyofanyiwa wapinzani na wote wanaothubutu kuusema ukweli mchungu.

Mlioko Dar tuwakilisheni vizuri na mwambieni kamanda Halima Mdee kuwa sisi tunaojua ukweli na thamani ya anachosimamia tunaendelea kumuombea kwa mwenyezi Mungu amfanyie wepesi katika kipindi hiki kigumu anapoumia kwa ajili ya wengi.

Huu udhalimu hatimaye utafikia mwisho!
.

Ungane naye au mkanye.
 
::TAARIFA::

Taarifa kwa Wanachama wa Chadema na Wananchi wa Jimbo la Kawe, Mhe Halima Mdee Mbunge wa Kawe aliyekuwa akishikiliwa na Jeshi la Police Kituo cha Osterbay tokea siku ya Jumanne jioni mpaka sasa Amehamishiwa Central Police.

Kwa wale wote mnaotaka kumjulia hali Mbunge kwasasa tuelekee Central Police....

BY HENRY KILEWO
KATIBU CDM DSM
Mhhh akitoka atakuwa kajifunza kuheshimu mamlaka na viongozi sasa. Tukamuone ili iweje? Isiyefunzwa na mamaye ...
 
Back
Top Bottom