Halima Mdee ahamishiwa central police baada ya masaa 72

Halima Mdee ahamishiwa central police baada ya masaa 72

Serikali ya kidhalimu ya makaburu pale SA, utawala wa Idd Amin, Bokassa, na tawala zinazofanana na hizo zilikuwa zinawafanyia hivi hivi wapinzani wao. Iotesheni mbegu hiyo? ipalilieni, imwagilieni maji istawi.....
Ila mtambue siyo kila mahali ataibuka Mandela wa kuja kuwasamehe wadhalimu na wasaliti.

Hivi kwa miaka thelathini ni nani wameiuza nchi hii kwa mabwanyenye?! Na hao walioiuza leo hii wako wapi, nani anawalinda na kwa nia gani?
Ni nani chini ya uangalizi wao taifa hili limeraruliwa vipandevipande? Hao wazembe na wasaliti wako ndani? Hao ambao hawakutunza viapo vyao wako wapi?
Udhalimu una mwisho mbaya mno, na mwisho wa huu uzao haramu utafika tu.
Tuwaombee watu hawa maisha marefu ili wakati ukifika waje washuhudie nchi hii ikiinuka tena, waje waone fahari ya mtanganyika ikitamalaki.
..nyie ni wapinzani au wanakilimanjaro?..
 
Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi @ Mheshimiwa Halima Mdee! Mungu akupe kustahamili ! Na nyie wote wenye kufurahia udhalimu mjue Kuna Mungu ambae kila Hatma ya mwanadamu iko mikononi mwake, wote mnaoshabikia udhalimu mjue Mungu anawaona! Kila jambo lina mwisho wake! Tujifunze kupendana jamani! Sifa mojawapo ya upendo ni kutokufurahia udhalimu!
 
Tatizo hata tukipiga kura ya kuwaondoa madarakan hapo 2020 .Hawa mafa.la wa kijan wataiba tuh hizo kura au kuleta figisu figisu kama zile za jecha kule visiwani

Nawaza bila tume huru hivi hawa wehu wataachia dola kweli?
 
Tatizo hata tukipiga kura ya kuwaondoa madarakan hapo 2020 .Hawa mafa.la wa kijan wataiba tuh hizo kura au kuleta figisu figisu kama zile za jecha kule visiwani

Nawaza bila tume huru hivi hawa wehu wataachia dola kweli?
 
akitoka huko atakuwa mwanamke anaejiheshimu..na anayeheshimu jamhuri.

Rais wa jamhuri sio raihisi rahisi kama wanavyodhani..huwezi kumdhalilisha Mheshimiwa kwa kumkosea adabu..

anyooshwe tu hamna namna..
Vp zile kauli tata za mkuu wa kaya,nazo zile hazimdharirishi??
 
Bunge kaz yake ni kutetea wananchi bungeni na sio kaz yake kujenga barabara wala maji. Hiyo ni kaz ya serikal
Bunge kazi yake kutetea wananchi? Hahaha.. Wananchi tumeshtakiwa kwa kosa gani? Remove the letter "k" from your name and think about your life all over again
Not every human being fit the real definition of human being; and the number of real human beings today,if any,that number itself is not real-Binadamu leo hii ni wachache sana na huenda hakuna kabisa.

Mtu unaridhika kulala ndani na familia yako huku mwenzako umemuweka jela kwasababu zisizoeleweka na wala nafsi haikusuti alafu kila siku uko kanisani /msikitini eti unaomba Mungu/unaomba uombewe!

Soon tutaacha hata kuzikana kutokana na aina hii ya sisiasa!

Mwenyemuzi Mungu ingilia kati.
 
..jifariji tu nyamafu,..

Nyamafu ni wewe....

Siyo ishu ya kujifariji ama kufarijiana hapa bali huo ndiyo ukweli halisi.....

Mwisho wa ubaya, siku zote ni fedheha na aibu tu !!

Ndiko anakoelekea Rais wako Makufyuli....!!
 
Hapo sasa kama ni kupelekwa mahakamani ni jumatatu au jumanne! KAMA bado yuko kwenye hunger strike jumanne watampeleka hospitali siyo mahakamani maana afya yake itakuwa si nzuri, labda jumatano hakimu atamsomea mashitaka akiwa kitandani. Very sad!

Hivyo ndivyo wanavyofanyiwa wapinzani na wote wanaothubutu kuusema ukweli mchungu.

Mlioko Dar tuwakilisheni vizuri na mwambieni kamanda Halima Mdee kuwa sisi tunaojua ukweli na thamani ya anachosimamia tunaendelea kumuombea kwa mwenyezi Mungu amfanyie wepesi katika kipindi hiki kigumu anapoumia kwa ajili ya wengi.

Huu udhalimu hatimaye utafikia mwisho!
Huyu anateseka kwa matendo ya Dhambi anayoyafanya. Na bado atazidi kuteseka.
 
Mrangi,
Wewe ni kati ya watu makini humu JF lakini nashangaa sijui umepatwa na nini siku hizi kwa kushindwa kusimamia ukweli na kukemea UHUNI!
Ina maana wewe unaunga mkono kwa huyo Binti Halima Mdee kuwatukana watu wazima achilia mbali Viongozi wa nchi!!???? Au ni kwa sababu wanaotukanwa na kupokea dharau ni CCM!? Kuna njia bora na sahihi za kukosoa mtu au serikali. Anachofanya Halima na baadhi ya WAHUNI wa Chadema ni utovu wa Nidhamu.

Mbona Wabunge wa vyama vingine vya Upinzani wamesoma alama za nyakati! Nilishawahi kusema humu JF na nitaendelea kusema......hii Katiba ya Tanzania tukipata Rais ambaye ataitumia ipasavyo ataonekana "Kavu". Kwa sababu Watanzania tunaishi kwa mazoea na sio kwa alama za nyakati au kila zama na kitabu chake.
Mlizoea kumtukana Mh. J.M Kikwete kwa kuwa aliwavumilia.
Well na nyinyi sasa imefika muda wenu wa KUIVUMILIA taasisi ya URAIS WA JAMHURI YA TANZANIA .

Maana kwa ufinyu na upuuzi wa watu Kama kina Halima Mdee na wenzake Wanafikiri ni kwamba wanapambana na Mh. J.P Magufuli (aliyekuwa Waziri wa Ujenzi). Wanasahau JPM sasa ni RAIS wa JMT.
Msipojifunza kuwa na Nidhamu mtanyooka kwa mujibu ya Sheria na Kanuni za Nchi kupitia Katiba ya JMT.

Hatishwi mtu hapa. Hata mtumie mabavu kama ya Hitler na Idd Amin, tutawakosoa tu. Bahati nzuri, uncle ameshaanza kujulikana huko nje kama problematic. Baadaye atalinganishwa na Mugabe. Dikteta uchwara lazima apingwe kwa nguvu zote. Udikteta ni huko chattle, walikoweka traffic lights kwa ajili ya fisi na mbweha.
 
Ngoja si wengine tuhame nchi ya ngosha,Tanzania sio mama yangu twende zetu bondeni kwa madiba
 
Yaan ninapokuona kuwa we ni mnafiki ni pale unapoleta maneno yako yakutaka kutuaminisha kuwa serikali hii inafanya uonevu Kwa raia pale tu unapoona wapinzani wakishughulikiwa.

Lakini wanaposhughulikiwa wana ccm huwa unafurahi huku ukitoa maneno ya kejeli!!Tulia.
..bira kusahau wacha waisome namba...
 
Kinachomtofautosha binadamu na wanyama wengine ni ukweli kuwa anaweza kufikiri, kutambua baya na zuri na hatimae kufanya maamuzi mazuri.

Kuja kwa teknolojia hii kumepambanua kuwa binadamu wengi sasa hatutumii huo uwezo tuliopewa wa kupambanua jema/baya, lipi linafaa kuzungumza na lipi halifai, mahali gani tunaweza kuongea jambo na kwa namna gani.

Wakati Mh. Lema akiwa mahabusu nilirudia kusema kuwa atajifunza "kujipambanua na wanyama wengine", bahati nzuri lile funzo limempa mda wa kujitafakari, kuchuja lipi la kuongea na lipi halifai. Halima will follow the same trend, mark my words.

Na hili lipo kwa sisi wote, regardless our political/religious affiliations.

Hakuna cha mark my words. Lema ni yule yule tunayemjua siku zote. Acheni kujifariji kwa kujipendekeza ili mpate walau u-das. Shwain.
 
Njaa zinakusumbua unahisi kila mtu yuko jf kutetea chama.
We fanya siasa mimi sifanyi siasa na sitetei mwanasiasa hata siku moja.

Wewe nawe! Bandiko lako la mwanzo katika uzi huu, limejaa uoga kama matamko ya john cheyo. Huna lolote, Unaweza kufyata tu mkia wako. Acha harakati ziendelee. Udikteta uchwara piga chini.
 
Huelewi maana ya "Siasa", that's my point !!

Na kama wataka kujua msimamo na hoja yangu kabisa, ni kwamba....

Sikubaliani na uongozi wa kihuni na kiimla wa Rais John Pombe Magufuli !!

Na kama wewe unaelewa kwelikweli, hebu tueleze ni kosa gani hasa lililomfanya Halima Mdee (MB) wa Kawe kuwekwa ndani bila kufikishwa mahakamani !?

Je, sheria inasemaje wewe ndugu yangu "usiye na chama" Mtetezi tu wa nchi usiye na upande ??

Ukijibu Hayo, karibu kwa maswali mengine.....
..ila unakubaliana na uongozi wa Mbooye...
 
Hakuna cha mark my words. Lema ni yule yule tunayemjua siku zote. Acheni kujifariji kwa kujipendekeza ili mpate walau u-das. Shwain.
You could be thickhead mkuu, really. Kupata u-das? Who told you so? Jadili hoja acha kuleta porojo za kindezi you bozo!!
 
Back
Top Bottom