Halima Mdee ahamishiwa central police baada ya masaa 72

Halima Mdee ahamishiwa central police baada ya masaa 72

Ustahamilivu wa Jakaya ulipelekea Watu wakachukulia Poa hadhi, Mamlaka, nguvu na Uwezo wa Rais!

Akishatumikia Kifungo Miezi minne atakuwa na adabu Kama Godbless Lema ambae sasa amekuwa Mwanasiasa Mzuri.

Mola AMPE Ujasiri na Mnyika nae amtukane Magu Kama alivyokuwa anamtusi Muungwana Jakaya ili ajifunze kwa Vitendo Nidhamu
 
Dawa iliyobaki ni kuiondoa serikali hii madarakani vinginevyo watu wa kawe na kungineko kwenye majimbo yanayoongozwa na upinzani tutaendelea kuumia hata baada ya 2020.

Vumilia mdau! Udhalimu una mwisho!

Ujasiri wa kutumia Verified name huna unajifaragua kuondoa Serikali Madarakani? Unadhan hao kina Mbowe hawatamani kuindoa Serikali Madarakani ?
Ukijaribu kulegeza Koki ujiandae kuloweshwa kabla ya kuing'oa hiyo Koki!
 
Hapo sasa kama ni kupelekwa mahakamani ni jumatatu au jumanne! KAMA bado yuko kwenye hunger strike jumanne watampeleka hospitali siyo mahakamani maana afya yake itakuwa si nzuri, labda jumatano hakimu atamsomea mashitaka akiwa kitandani. Very sad!

Hivyo ndivyo wanavyofanyiwa wapinzani na wote wanaothubutu kuusema ukweli mchungu.

Mlioko Dar tuwakilisheni vizuri na mwambieni kamanda Halima Mdee kuwa sisi tunaojua ukweli na thamani ya anachosimamia tunaendelea kumuombea kwa mwenyezi Mungu amfanyie wepesi katika kipindi hiki kigumu anapoumia kwa ajili ya wengi.

Huu udhalimu hatimaye utafikia mwisho!
Naskia kosa lake ni kutetea watoto wanaojazwa mimba za utotoni na mibaba kupata haki ya kupata elimu
 
Acheni kumfariji ujinga, Huwezi kusema ukweli kwa kuhatarisha usalama wa nchi. Mdomo sio wa kuropoka ropoka kila kinachokujia kinywani.
Ukweli ni ukweli tu, jana, leo na siku zote. Ukweli ni ukweli, hapa au kule na KAMWE hauna maficho ya kudumu. Mungu akuweke hai ili siku moja 'muda' utakapokuwa ukiongea, usikie na kukumbuka uzi huu!
 
Ujasiri wa kutumia Verified name huna unajifaragua kuondoa Serikali Madarakani? Unadhan hao kina Mbowe hawatamani kuindoa Serikali Madarakani ?
Ukijaribu kulegeza Koki ujiandae kuloweshwa kabla ya kuing'oa hiyo Koki!
Ok
 
Ustahamilivu wa Jakaya ulipelekea Watu wakachukulia Poa hadhi, Mamlaka, nguvu na Uwezo wa Rais!

Akishatumikia Kifungo Miezi minne atakuwa na adabu Kama Godbless Lema ambae sasa amekuwa Mwanasiasa Mzuri.

Mola AMPE Ujasiri na Mnyika nae amtukane Magu Kama alivyokuwa anamtusi Muungwana Jakaya ili ajifunze kwa Vitendo Nidhamu
Umemaliza kila kitu na ninaomba mjadala ufungwe!
 
Hivi usalama wa nchi ni wa magufuli kujifanya Mungu mtu ana nini haswa mpaka atulizwe wakati kashindwa katika kila nyanja
acha ushabiki kwa taarifa yako kumtukana rahisi au kumkashifu hadharani pasipo kutumia akili ni kuatarisha usalama wa inch pia,,, ulifikiria ni alshababu ndio huatarifa usalam wa nchi vipo vitu ving mkuuu
 
::TAARIFA::

Taarifa kwa Wanachama wa Chadema na Wananchi wa Jimbo la Kawe, Mhe Halima Mdee Mbunge wa Kawe aliyekuwa akishikiliwa na Jeshi la Police Kituo cha Osterbay tokea siku ya Jumanne jioni mpaka sasa Amehamishiwa Central Police.

Kwa wale wote mnaotaka kumjulia hali Mbunge kwasasa tuelekee Central Police....

BY HENRY KILEWO
KATIBU CDM DSM

Hapo ukute wanampekua kila sehemu ili wapate dosari na kuweza kumfungulia mashitaka. Kumpekua kila sehemu maana yake wanaangalia ni sheria ipi atakuwa amevunja ambayo inaendana na jinai.

Mtindo huu ni terminal cancer kwenye demokrasia ya kweli.
 
anasimamia nn? huku kawe Barabara mbovu, Maji shida,
Kama baada ya miaka 50 na shee serikali ya Ccm ilishindwa kutengeneza miundombinu ya Kawe Mdee hawezi kuwa mbuzi wa kafara.
Na kwa usawa huu wa bajeti kutokamilika kwa walau 40% fedha za maendeleo tutegemee janga la kitaifa sio Kawe tu.
 
Acheni kumfariji ujinga, Huwezi kusema ukweli kwa kuhatarisha usalama wa nchi. Mdomo sio wa kuropoka ropoka kila kinachokujia kinywani.
Huo ni ujinga mkubwa unajivesha. Mdee kahatarisha usalama gani na kwa kauli gani? Mnalishwa maneno nanyi mnakula tuu bila hata kuchambua.
Mara eti kamtukana Rais, wapi katukana? Wameona hoja yake kuhusu elimu ya watoto wa kike wanao pata mimba kwa ujinga wa watu wazima ina mmaliza kabisa Sizonje, basi hoja inahujumiwa kwa kusingizia uongo na kumtesa kiakili.
Yatakapo warudi haya mambo ndio mtabaki mnashangaa.
 
Hapo ukute wanampekua kila sehemu ili wapate dosari na kuweza kumfungulia mashitaka. Kumpekua kila sehemu maana yake wanaangalia ni sheria ipi atakuwa amevunja ambayo inaendana na jinai.

Mtindo huu ni terminal cancer kwenye demokrasia ya kweli.

Hawa Wanasiasa Watoto walioingia kwny Siasa wakat wa Jakaya hawajui hadhi ya Rais!

Mtei, Hayati Ndesamburo, Hayati Bob Makani Mbona waliweza kuwa Wanasiasa wazuri bila ya kutukana Mamlaka za Nchi?
 
Back
Top Bottom